text
stringlengths
7
6.75k
picha : mkuu wa wilaya ya iringa, richard kasesela akipanda miti jana wilayani humo ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni ya kupanda miti. benki ya diamond trust tanzania imedhamini shughuli hiyo kwa kuchangia sh. milioni tano. picha kwa hisani ya dtb.
sio mamtoni kama tulivyozoea, hii ni kutoka kwa majirani zetu. huko uganda wamefanikiwa kutengeneza na kutambulisha rasmi basi la viti thelathini na tano linalotembea kwa kutumia nguvu ya umeme jua (solar energy).
basi hilo limetengenezwa na shirika la kiira motors corporation (kmc), ambalo linapata luzuku kutoka serikali ya uganda. hili si gari la kwanza kutengenezwa na shirika hilo, na nia yao kubwa ni kuhakikisha wanapata wateja ili kuwawezesha kutengeneza na kuuza mabasi hayo.
kupitia mabetri mawili ya umeme wa ziada basi hili litaweza kutembea umbali wa kilomita themanini kwa kutumia chaji iliyopo na ata zaidi kutokana na mabetri hayo kuendelea kuchajiwa kupitia ‘solar panels’ zilizowekwa juu ya basi hilo.
wanategemea kufikia mwaka elfu mbili na kumi na nane wataweza kuwa tayari kutengeneza na kuuza mabasi hayo kulingana na oda watakazozipata. lakini ili kufikia hatua hiyo shirika hilo linaitaji pesa kutoka kwa wawekezaji wengine nje ya luzuku ya serikali ambayo ni kwa ajili ya utafiti zaidi.
hiyo ndio bei wanayotegemea kuuzia mabasi hayo, hii ni bei ya juu bado ukilinganisha na kati ya $thelathini na tano,sifuri hadi $hamsini,sifuri inayoweza kukupatia mabasi mapya kwa sasa yenye kiwango cha viti thelathini na tano vya kukaa. dola hamsini,sifuri za kimarekani ni takribani tsh milioni mia moja na ishirini na sita _ kes milioni tano nukta tisa
je una maoni gani juu wa maendelea wanayofikia katika utengenezaji wa magari? tuambie kwenye eneo comment
habari na matukio: magazetini leo may kumi na sita, elfu mbili na kumi na saba; jpm aivunja cda ... waziri wa jk atishiwa kwa risasi ... hofu ya ebola yatanda nchini tanzania
swahili time: usiharibu harusi yako na make -up ya ajabu!
hiyo ni make-up gani tena? jamani jamani! ni kama make-up ya filam ya kutisha... horror movie, au labda filam ya vichekesho.
rapa mahiri wa nyimbo za injili kutoka kundi la borne kingz akifahamika kwa jina la elly joh siku ya tarehe nane nukta moja sifuri.elfu mbili na kumi na saba anatarajia kuachia albamu yake mpya inayobebwa na jina la ”pumzi” ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo ambazo zitakwenda kugusa nafsi za watu na kuwabariki wengi.
akiongea na gospomedia.com rapa elly joh amesema kuwa uzinduzi wa albamu hiyo ya “pumzi” itafanyika katika kanisa la wordalive centre, kimara baruti (kanisa jipya) kuanzia saa tisa mchana na kuendelea hivyo amewasihi wadau na mashabiki wote wa muziki wake kutoka pande zote za jiji la dar na mikoa ya jirani kuja kumpa sapoti na kumtia moyo katika kutangaza ufalme wa mungu na kushusha baraka kutoka kwa mungu baba kupitia jina la yesu kristo.
rappa elly joh kwasasa ameachia video yake mpya iitwayo ”misri” ikiwa inaendelea kufanya vyema sana kupitia mtandao wa gospomedia na vyombo vingine vya habari nchini ukiwa ni wimbo wa pekee unaozungumzia ukiri wa mwana wa mungu(kijana) ambaye ameamua kuachana na vitendo vya dhambi na kuamua kumkabidhi yesu maisha yake. kama bado hujawahi kutazama video hii, leo nakukaribisha kuitazama na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. usikose kufika siku ya uzinduzi huu na hakika utabarikiwa.
moja. kuzaliwa kwa yesu —- noeli tarehe ishirini na tano/kumi na mbili
mbili. pasaka —- ufufuko wa bwana yesu
tatu. kupaa yesu —- siku arobaini baada ya pasaka.
tano. sikukuu ya watakatifu wote moja/kumi na moja
⏪swali lililopita: katika amri ya kwanza ya kanisa tumeamriwa nini?
⏩swali linalofuata: katika amri ya kwanza ya kanisa tumekatazwa nini?
⏬⏬ endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉sikukuu zilizoamriwa ni zipi?👇
mmoja kati ya watano waliookolewa mgodini baada ya kufukiwa kwa siku arobaini na moja afariki dunia
meneja uhusiano wa wizara ya nishati na madini badra masoud
mmoja wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika hospitali ya wilaya ya kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku arobaini na moja chini ya mgodi na kuokolewa, onyiwa kaiwao (hamsini na tano) amefariki dunia.
mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya kahama mkoani shinyanga, joseph ngowi amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema kuwa chanzo cha mauti hayo ni kutokana na majeruhi huyo kutapika akiwa amelala hali ambayo ilifanya matapishi hayo kuingia katika njia ya hewa.
dk ngowi alisema kaiwao alifariki jana saa sita mchana na kuongeza kuwa pia alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa nimonia unaosababishwa baridi kali hali iliyomfanya kutokuwa katika hali ya kawaida tofauti na wenzake.
hata hivyo, dk ngowi alisema majeruhi huyo pia alikuwa na matatizo katika utumbo, na hivyo kila akienda haja kubwa alikuwa akitoa magome ya miti waliyokuwa wakiyatumia kama chakula wakati wakiwa chini ya ardhi.
alisema hali za majeruhi wengine wanne zinaendelea vizuri, na wanaendelea na mazoezi huku wakila wenyewe hali ambayo wamepanga kesho kuangalia uwezekano wa kuwafanyia vipimo kwa mara nyingine tena.
aidha, dk ngowi alisema endapo hali zao hazitakuwa nzuri na kubadilika, watawahamishia katika hospitali ya rufaa kwa ajili ya uangalizi wa juu hali ambayo watapata mabadiliko zaidi ya afya zao.
tazama matokeo ya kidato cha sita – mwanahalisi online
baraza la mitihani tanzania (necta) jana lilitangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, kama ulikosa matokeo hayo basi mwanahalisi online imekusogezea.
dk mandai: zifahamu sababu za mwanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa
zifahamu sababu za mwanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa
tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa mwanamme huweza kusababishwa na vitu mbalimbali.
miongoni mwa sababu hizo zinaweza kuwa ni zile sababu za kisaikolojia au kimaumbile.
kama unachoka sana kazini unaweza pia kukosa hamu ya kufanya mapenzi mara unaporudi nyumbani. hii ni kwa sababu mahusiano ya kimapenzi yanataka yatengewe muda wake na unaotosha.
matumizi ya pombe na madawa
matumizi ya baadhi ya madawa na unywaji wa pombe kupindukia huweza kuleta tatizo hili la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
kuandamwa na matatizo ya kiafya ya muda mrefu husababisha kupungua kwa hamu ya kufanya tendo la ndoa. mfano magonjwa kama kisukari na hata hali ya kuwa na unene wa kuzidi kiwango.
mahusiano kati ya mwanamme na mwanamke
matatizo ya mahusiano kati ya mwanamme na mwanamke yana mchango mkubwa sana katika kusababisha tatizo la kukosa hamu ya mapenzi, hii huweza kuwa sababu endapo hakuta kuwa na mahusiano mazuri kati ya mwanaume na mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi.
kama wewe ni mwanaume na unasumbuliwa na tatizo hili au tatizo la nguvu za kiume jitahidi ufike mandai herbalist clinc ili tukupatie tiba ya tatizo hilo na uweze kuwa vizuri kabisa katika masuala ya tendo la ndoa.
hii video mpya ya g nako ‘lucky me’ itazame hapa..
itazame hapa video mpya ya g nako ‘lucky me‘ enjoy na good music kutoka kwa weusiii…
• soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?. sita oct elfu mbili na kumi na tano kumi na sita:hamsini na tisa, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). soma hii, kama wewe ndio mzazi wa huyu msichana ungefanyaje?
• kituko-na-wahenga. kumi na nane aug elfu mbili na kumi na saba ishirini na tatu:ishirini na nne, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). kituko-na-wahenga
• tofauti kati ya binti wa kizungu na binti wa kibongo. ishirini na nane oct elfu mbili na kumi na sita nne:thelathini na nane, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). tofauti kati ya binti wa kizungu na binti wa kibongo
• huyu jamaa ni shida, chezea wimbo wa taifa!. sita aug elfu mbili na kumi na sita ishirini na tatu:thelathini na moja, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). huyu jamaa ni shida, chezea wimbo wa taifa!
zambarau nauwezo wake dhidi ya ugonjwa wa kisukari
habari za leo msomaji wetu wa www.dkmandai.com napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha katika muendelezo wetu wa kufahamishana namna mimea na matunda yanavyoweza kuwa msaada mzuri katika afya zetu.
leo napenda kuzungumzia namna zambarau inavyoweza kuwa msaada kwa mtu mwenye ugonjwa wa sukari.
lakini kwanza ni vyema ifahamike kuwa kisukari ni ugonjwa unaotokana na matatizo ya mfumo wa uyeyushwaji wa chakula ndani ya mwili. ukosefu au upungufu wa kemikali inayoitwa insulin husababisha ongezeko la kisukari inayojionesha kwa kiwango kikubwa katika mkojo wa mwathirika.
pia ni vyema ikafahamika kuwa matibabu ya ugonjwa wa kisukari hayalengi katika kuuponyesha ugonjwa, ila kumsaidia mgonjwa aweze kuishi maisha ya kwaida.
baada ya kufanya hivyo tumia nusu kijiko cha chai cha unga huo wa zambarau katika nusu glasi ya maji kila siku asubuhi kabla ya kula chakula chochote.
asante sana kwa kuendelea kuwa karibu nasi, kama unatatizo lolote la kiafya unaweza kufika ofisini kwetu ukonga, mongolandege jijini dar es salaam na pia unahaki ya kuwasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo, mia sita na hamsini na mbili mia moja na sitini na tatu mia nane na thelathini na nane, mia saba na hamsini na mbili mia moja na sitini na tatu mia nane na thelathini na nane, mia sita na themanini na mbili mia tatu na sitini na nane mia nne na arobaini na tatu. barua pepe, [email protected]. kisha utatuambia tatizo lako nasi tutakuwa tayari kuweza kukusaidia.
kinadada wengi huangaika mara kwa mara kwa lengo la kuhitaji kuwa na nywele nzuri zenye muonekano mzuri kila siku, lakini kwa bahati mbaya sana si wote wanabahatika kufanikiwa kuwa na nywele hizo nzuri.
kama wewe ni dada ambaye huenda unashida hiyo basi tambua kwamba moja ya sababu ya nywele kushindwa kukua vizuri ni pamoja na hii sababu ya kuwa na mba kichwani mwako.
sasa leo napenda kukupatia hii mbinu ya kumaliza shida ya mba kwa kutumia mchanganyiko wa mafuta ya nazi na ndimu ili baadaye uweze kuwa na nywele zenye afya bora.
weka mafuta ya nazi kwenye kibakuli kisha pima kijiko kimoja cha chakula chenye maji ya ndimu na ukoroge vyema. kisha tumia mchanganyiko huo kwa kuweka kichwani na uhakikishe unafika hadi kwenye mizizi ya nywele kabisa fanya hivyo kwa dakika kadhaa. kisha kaa na mchanganyiko huo bila kuosha kichwa kwa dakika kama ishirini hivi.
baada ya dakika hizo kupita osha kichwa chako vizuri, kisha ufanye zoezi hilo kwa mara mbili hadi tatu kwa wiki ili kupata matokeo mazuri zaidi.
ikiwa unahitaji kuuliza zaidi wasiliana nasi kwa simu namba mia saba na kumi na sita mia tatu mia mbili, mia saba na themanini na nne mia tatu mia tatu, mia saba na sitini na tisa mia nne mia nane au barua pepe [email protected] au fika ofisini kwetu tupo ukonga, mombasa maeneo ya mongolandege jijini dar es salaam
mkuu wa kitengo cha mawasiliano serikalini wa ofisi ya taifa ya takwimu (nbs)...
katibu mkuu wa ccm, dkt. bashiru ally akitoa salamu za chama cha mapinduzi ...
mkuu wa wilaya ya mbogwe mh martha mkupasi amezindua ujenzi wa zahanati ya shenda ambayo inatarajiwa kujengwa kwa nguvu za wananchi kwa kushirikiana na...
najua wengi tunaifahamu sana kabichi kama mboga na baadhi yetu tunaitumia sana katika maisha yetu ya kila siku.
moja ya faida za kabichi ni ule uwezo wake wa kuwasaida wale wenye nia au malengo ya kupunguza miili yao au wanene kupita kaisi. sifa hiyo inatokana na kalori ndogo zilizomo ndani ya kabichi pamoja na ufumwele mwingi.
aidha, ulaji wa kabichi pia huweza kumsaidia mwili kujenga kinga madhubuti dhidi ya magonjwa hatari ikiwemo saratani. kabichi imeonekana kuwa na uwezo wa kipekee wa kupambana na ugonjwa huu kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha aina tatu muhimu za mada za 'antioxidant', 'anti-inflammatory' na 'glucosinolates,' ambazo zina uwezo wa kudhibiti magonjwa kadhaa nyemelezi yanayosababisha saratani za aina mbalimbali mwilini.
hizi ni aina za kabichi
pamoja na kuwa mboga hii ya kabichi si mboga pendwa sana na watu wengi, lakini ni mboga yenye kiwango cha kutosha cha aina mbalimbali za vitamin hasa vitamini k, b1, b2, vitamin a na c. pia kabichi ina kiasi kingi cha ufumwele au kamba lishe kwa maana ya fiber, ambapo vyote hivyo ni kinga ya mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi.
hizi ni faida za kabichi nimeona ni vyema uzipate leo kutoka kwetu mandai herbalist clinic, lakini kwa maoni na ushauri zaidi unaweza kuwasiliana na dk.mandai kwa simu namba mia saba na kumi na sita mia tatu mia mbili, mia saba na hamsini na nne mia tatu na tisini na moja mia saba na arobaini na tatu, mia saba na themanini na nne mia tatu mia tatu. barua pepe [email protected] au fika ofisini kwetu ukonga, mongolandege jijini dar es salaam. karibu
tumekuwa tukipokea simu nyingi kutoka sehemu mbalimbali nchini wakihitaji kufahamu kuhusu faida za muembe katika tiba.
kwa ufupi naweza kusema kuwa majani yake yana nafasi kubwa katika kuzaidia kutibu ugonjwa wa kisukari hasa pale yanapokaushwa vizuri.
ikiwa utapenda kufahamu zaidi kuhusu tiba hii ya majani ya muembe unaweza kufika ofisini kwetu ukonga, mongolandege jijini dar es salaam au tupiga simu kwa namba zifuatazo ili kupata maelekezo zaidi jinsi ya kufika kwa urahisi mandai herbalist clinic mia saba na kumi na sita mia tatu mia mbili, mia saba na hamsini na nne mia tatu na tisini na moja mia saba na arobaini na tatu, mia saba na themanini na nne mia tatu mia tatu. barua pepe, dkmandaitz@gmail.
huu ni uharibifu wa mazingira unaofanywa kando kando ya mito ndani ya mita sitini wilaya ya iringa ~ mzee wa matukio daima
home » » huu ni uharibifu wa mazingira unaofanywa kando kando ya mito ndani ya mita sitini wilaya ya iringa
huu ni uharibifu wa mazingira unaofanywa kando kando ya mito ndani ya mita sitini wilaya ya iringa
vijana wakiendelea kufyatua tofali katika eneo la muwimbi wilaya ya iringa kando kando ya mto ,hivi sasa serikali imeagiza wote wanaoendesha shughuli hatarishi kwa mazingira ndani ya mita sitini kutoka katika kingo za mito kuondoka
hivi ndivyo mazingira yanavyoharibiwa eneo hili ambalo lipo kando kando ya barabara kuu ya iringa ,mbeya
eneo hili ni moja kati ya maeneo maarufu kwa ufyatuaji wa tofari katika wilaya ya iringa
home » » lowassa ahojiwa kwa saa nne,aachiwa kwa dhamana
waziri mkuu mstaafu, edward lowassa ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa saa nne katika ofisi ya mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai (dci).
lowassa ameondoka makao makuu ya polisi saa nane nukta moja tano na kuelekea nyumbani kwake.
akizungumza baada ya mahojiano hayo, mwanasheria wa chadema, peter kibatala amesema lowassa amejidhamini mwenyewe na ametakiwa kuripoti tena alhamisi saa sita nukta sifuri sifuri mchana.
"mzee amehojiwa kwa kile wanachokiita kauli ya uchochezi aliyoitoa juni ishirini na tatu, mwaka huu wakati wa futari iliyoandaliwa na waitara. baada ya kuhojiwa ameandika maelezo ya onyo na atatakiwa kuripoti tena alhamisi, juni ishirini na tisa," amesema.
jeshi lazima uasi madagascar _ wafanyakazi wa idhaa ya kiswahili _ dw _ ishirini na mbili nukta moja moja.elfu mbili na kumi
jeshi ambalo ni tiifu kwa uongozi wa serikali ya andry rajoelina limefanikiwa kuzima uasi uliofanywa na maafisa wa ngazi za chini katika kisiwa hiki cha bahari ya hindi
watu wa madagascar kwa mara nyingine wameshtushwa na uasi wa wanajeshi!
waziri mkuu wa madagascar, camille vital, amesema kuwa jaribio la kuiangusha serikali limezimwa bila ya damu kumwagika, baada ya maafisa kumi na sita wa kijeshi waliohusika na uasi huo wamejisalimisha.
hapo awali waasi walitangaza kuwa walikuwa wanatwaa mamlaka kutoka kwa kiongozi wa sasa, andry rajoelina, ambaye mwaka jana pia alitwaa uongozi kutokana na kuungwa mkono na wanajeshi. mamia ya wanajeshi watiifu walionekana wakikusanyika karibu na uwanja wa ndege ambapo waasi walikuwa wameweka kambi yao. maafisa waasi walikuwa wametangaza kuvunjwa idara zote za uongozi za madagascar na kusema kuwa wameunda baraza la uongozi la kijeshi.
waziri mkuu vital amesema licha ya kusikika milio ya silaha, hakuna mtu hata mmoja aliyejeruhiwa, na kwamba sasa hali imerejea kuwa shwari katika nchi hiyo.
watanzania wawili wametangazwa washindi wa tuzo ya kiswahili ya mabati-cornell ya fasihi ya afrika kwa mwaka elfu mbili na kumi na saba.
wawili hao watazawadiwa $tano,sifuri kila mmoja katika sherehe ambayo itafanyika jijini nairobi mwezi ujao.
waziri wa habari, utamaduni na sanaa tanzania dkt harrison mwakyembe amewapongeza wawili hao kwa ushindi huo na kusema ushindi wao "unachagiza juhudi za serikali kuibidhaisha lugha ya kiswahili."
"ushindi wa watanzania hawa ni ushindi wa taifa kwa ujumla," amesema dkt mwakyembe kupitia taarifa.
tuzo hiyo ilianzishwa mwaka elfu mbili na kumi na nne na dkt lizzy attree (mkurugenzi wa tuzo ya caine) na dkt mukoma wa ngugi (chuo kikuu cha cornell, marekani), kwa lengo la kuthamini uandishi kwa lugha za kiafrika.
aidha, tuzo hiyo inakusudiwa kuhimiza sanaa ya tafsiri baina ya lugha za kiafrika zenyewe kwa zenyewe, na pia kutafsiri maandishi ya lugha nyengine kwa lugha za kiafrika.
majaji walikuwa ken walibora waliaula (mwenyekiti wa majaji), mwanataaluma na mwandishi; daulat abdalla said, mwanataaluma na mwandishi, anayesomesha chuo kikuu cha taifa cha zanzibar; na ali attas, mwandishi na mwalimu wa kiswahili na kiingereza, wizara ya mambo ya nchi za nje, japan.
"licha ya kwamba matukio ya riwaya hii yanatokea katika kisiwa cha kubuni, maswala yanayojadiliwa humu ni miongoni mwa yale maswala sugu yanayoendelea kulisumbua bara la afrika kisiasa, kijamii na kiuchumi."
tuzo ya kiswahili ya mabati-cornell ya fasihi ya kiafrika, yenye thamani ya jumla ya dola za marekani kumi na tano,sifuri, hutolewa kila mwaka kwa miswada bora, au kwa vitabu vilivyochapishwa miaka miwili kabla ya mwaka wa kutolewa zawadi, katika fani za riwaya, ushairi, wasifu na riwaya za picha.
tuzo hii inadhaminiwa na kampuni ya mabati rolling mills, kenya, na kampuni ya alaf limited, tanzania na pia ofisi ya makamu wa mkuu wa masuala ya kimataifa katika chuo kikuu cha cornell, na idara ya taaluma za afrika ya chuo kikuu cha cornell, marekani.
swahili na waswahili: huyu na yule: mjadala kuhusu majukumu na wajibu wa kijana kwa nchi yake.‏