Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet
id
stringlengths
11
11
verse_id
stringlengths
7
9
audio
audioduration (s)
1.52
47.2
verse_text
stringlengths
31
498
transcript
stringlengths
30
523
EZK_001_001
EZK 1:1
Katika mwaka wa thelathini, mwezi wa nne, siku ya tano ya mwezi, wakati nilipokuwa miongoni mwa hao waliokuwa uhamishoni kando ya Mto Kebari, mbingu zilifunguka nami nikaona maono ya Mungu.
katika mwaka wa thelathini mwezi wa nne siku ya tano ya mwezi wakati nilipokuwa miongoni mwa hao waliokuwa uhamishoni kando ya mto kebari mbingu zilifunguka nami nikaona maono ya mungu
EZK_001_002
EZK 1:2
Katika siku ya tano ya mwezi, ilikuwa mwaka wa tano wa kuhamishwa kwa Mfalme Yehayakini,
katika siku ya tano ya mwezi ilikuwa mwaka wa tano wa kuhamishwa kwa mfalme yehayakini
EZK_001_003
EZK 1:3
neno la BWANA lilimjia Ezekieli kuhani, mwana wa Buzi, kando ya Mto Kebari, katika nchi ya Wakaldayo. Huko mkono wa BWANA ulikuwa juu yake.
neno la bwana lilimjia ezekieli kuhani mwana wa buzi kando ya mto kebari katika nchi ya wakaldayo huko mkono wa bwana ulikuwa juu yake
EZK_001_004
EZK 1:4
Nilitazama, nikaona dhoruba kubwa ikitoka kaskazini, wingu kubwa sana pamoja likiwa na umeme wa radi likiwa limezungukwa na mwanga mkali. Katikati ya huo moto kulikuwa kama rangi ya manjano ya chuma kinapokuwa ndani ya moto.
nilitazama nikaona dhoruba kubwa ikitoka kaskazini wingu kubwa sana pamoja likiwa na umeme wa radi likiwa limezungukwa na mwanga mkali katikati ya huo moto kulikuwa kama rangi ya manjano ya chuma kinapokuwa ndani ya moto
EZK_001_005
EZK 1:5
Katika ule moto kulikuwa na kitu kinachofanana na viumbe vinne vyenye uhai. Katika kuonekana kwake vilikuwa na umbo mfano wa mwanadamu,
katika ule moto kulikuwa na kitu kinachofanana na viumbe vinne vyenye uhai katika kuonekana kwake vilikuwa na umbo mfano wa mwanadamu
EZK_001_006
EZK 1:6
lakini kila kimoja kilikuwa na nyuso nne na mabawa manne.
lakini kila kimoja kilikuwa na nyuso nne na mabawa manne
EZK_001_007
EZK 1:7
Miguu yao ilikuwa imenyooka, nyayo za miguu yao zilikuwa kama kwato za miguu ya ndama, nazo zilimetameta kama shaba iliyosuguliwa.
miguu yao ilikuwa imenyooka nyayo za miguu yao zilikuwa kama kwato za miguu ya ndama nazo zilimetameta kama shaba iliyosuguliwa
EZK_001_008
EZK 1:8
Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa,
chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa
EZK_001_009
EZK 1:9
nayo mabawa yao yaligusana. Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja, hawakugeuka walipokuwa wanatembea.
nayo mabawa yao yaligusana kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja hawakugeuka walipokuwa wanatembea
EZK_001_010
EZK 1:10
Kuonekana kwa nyuso zao kulikuwa hivi: Kila mmoja wa wale wanne alikuwa na uso wa mwanadamu na kwa upande wa kulia kila mmoja alikuwa na uso wa simba, upande wa kushoto alikuwa na uso wa ngʼombe pia kila mmoja alikuwa na uso wa tai.
kuonekana kwa nyuso zao kulikuwa hivi kila mmoja wa wale wanne alikuwa na uso wa mwanadamu na kwa upande wa kulia kila mmoja alikuwa na uso wa simba upande wa kushoto alikuwa na uso wa ngombe pia kila mmoja alikuwa na uso wa tai
EZK_001_011
EZK 1:11
Hivyo ndivyo zilivyokuwa nyuso zao. Mabawa yao yalikunjuliwa kuelekea juu, kila mmoja alikuwa na mabawa mawili ambayo kila moja liligusa bawa la mwenzake kila upande na mabawa mengine mawili yakifunika mwili wake.
hivyo ndivyo zilivyokuwa nyuso zao mabawa yao yalikunjuliwa kuelekea juu kila mmoja alikuwa na mabawa mawili ambayo kila moja liligusa bawa la mwenzake kila upande na mabawa mengine mawili yakifunika mwili wake
EZK_001_012
EZK 1:12
Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja. Popote roho alipotaka kwenda, ndipo walipokwenda pasipo kugeuka.
kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja popote roho alipotaka kwenda ndipo walipokwenda pasipo kugeuka
EZK_001_013
EZK 1:13
Kuonekana kwa vile viumbe hai katikati kulikuwa kama makaa ya mawe yanayowaka au kama mienge. Moto ule ulikuwa ukienda mbele na nyuma katikati ya vile viumbe, ulikuwa na mwangaza mkali na katikati ya ule moto kulitoka kimulimuli kama umeme wa radi.
kuonekana kwa vile viumbe hai katikati kulikuwa kama makaa ya mawe yanayowaka au kama mienge moto ule ulikuwa ukienda mbele na nyuma katikati ya vile viumbe ulikuwa na mwangaza mkali na katikati ya ule moto kulitoka kimulimuli kama umeme wa radi
EZK_001_014
EZK 1:14
Vile viumbe vilipiga mbio kwenda na kurudi, kama vimulimuli vya umeme wa radi.
vile viumbe vilipiga mbio kwenda na kurudi kama vimulimuli vya umeme wa radi
EZK_001_015
EZK 1:15
Nilipokuwa nikitazama vile viumbe hai, niliona gurudumu moja juu ya ardhi kando ya kila kiumbe kikiwa na nyuso zake nne.
nilipokuwa nikitazama vile viumbe hai niliona gurudumu moja juu ya ardhi kando ya kila kiumbe kikiwa na nyuso zake nne
EZK_001_016
EZK 1:16
Hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa hayo magurudumu na muundo wake: yalingʼaa kama zabarajadi, nayo yote manne yalifanana. Kila gurudumu lilikuwa na gurudumu jingine ndani yake.
hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa hayo magurudumu na muundo wake yalingaa kama zabarajadi nayo yote manne yalifanana kila gurudumu lilikuwa na gurudumu jingine ndani yake
EZK_001_017
EZK 1:17
Yalipokwenda yalielekea upande wowote wa pande nne walipoelekea wale viumbe, magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda.
yalipokwenda yalielekea upande wowote wa pande nne walipoelekea wale viumbe magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda
EZK_001_018
EZK 1:18
Kingo zake zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote.
kingo zake zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha nazo zote nne zilijawa na macho pande zote
EZK_001_019
EZK 1:19
Vile viumbe hai vilipokwenda, magurudumu yaliyokuwa kando yao yalisogea na wakati hivyo viumbe hai vilipoinuka kutoka ardhini magurudumu nayo yaliinuka.
vile viumbe hai vilipokwenda magurudumu yaliyokuwa kando yao yalisogea na wakati hivyo viumbe hai vilipoinuka kutoka ardhini magurudumu nayo yaliinuka
EZK_001_020
EZK 1:20
Mahali popote roho alipokwenda wale viumbe nao walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja navyo, kwa sababu roho ya vile viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
mahali popote roho alipokwenda wale viumbe nao walikwenda nayo magurudumu yaliinuka pamoja navyo kwa sababu roho ya vile viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu
EZK_001_021
EZK 1:21
Wakati viumbe vile viliposogea, nayo magurudumu yalisogea, viumbe viliposimama kimya, nayo pia yalisimama kimya, viumbe vilipoinuka juu ya nchi magurudumu yaliinuliwa pamoja navyo kwa kuwa roho ya hivyo viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
wakati viumbe vile viliposogea nayo magurudumu yalisogea viumbe viliposimama kimya nayo pia yalisimama kimya viumbe vilipoinuka juu ya nchi magurudumu yaliinuliwa pamoja navyo kwa kuwa roho ya hivyo viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu
EZK_001_022
EZK 1:22
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa eneo lililokuwa wazi, lililokuwa angavu kabisa na lenye kutisha.
juu ya vichwa vya hao viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa eneo lililokuwa wazi lililokuwa angavu kabisa na lenye kutisha
EZK_001_023
EZK 1:23
Chini ya hiyo nafasi mabawa yao yalitanda moja kuelekea jingine, kila mmoja alikuwa na mabawa mengine mawili yaliyofunika mwili wake.
chini ya hiyo nafasi mabawa yao yalitanda moja kuelekea jingine kila mmoja alikuwa na mabawa mengine mawili yaliyofunika mwili wake
EZK_001_024
EZK 1:24
Viumbe wale waliposogea nilisikia sauti ya mabawa yao, kama ngurumo ya maji yaendayo kasi, kama sauti ya Mwenyezi, kama makelele ya jeshi. Waliposimama kimya walishusha mabawa yao.
viumbe wale waliposogea nilisikia sauti ya mabawa yao kama ngurumo ya maji yaendayo kasi kama sauti ya mwenyezi kama makelele ya jeshi waliposimama kimya walishusha mabawa yao
EZK_001_025
EZK 1:25
Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa.
ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa
EZK_001_027
EZK 1:27
Nikaona kwamba kutokana na kile nilichoona kama kiuno chake kuelekea juu alionekana kama chuma inayowaka kana kwamba imejaa moto na kuanzia kiuno kwenda chini alionekana kama moto na mwanga mkali ulimzunguka.
nikaona kwamba kutokana na kile nilichoona kama kiuno chake kuelekea juu alionekana kama chuma inayowaka kana kwamba imejaa moto na kuanzia kiuno kwenda chini alionekana kama moto na mwanga mkali ulimzunguka
EZK_001_028
EZK 1:28
Kama vile kuonekana kwa upinde wa mvua mawinguni siku ya mvua, ndivyo ulivyokuwa ule mngʼao uliomzunguka. Hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa utukufu wa BWANA. Nilipouona, nikaanguka kifudifudi, nikasikia sauti ya mtu anaongea.
kama vile kuonekana kwa upinde wa mvua mawinguni siku ya mvua ndivyo ulivyokuwa ule mngao uliomzunguka hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa utukufu wa bwana nilipouona nikaanguka kifudifudi nikasikia sauti ya mtu anaongea
EZK_002_001
EZK 2:1
Akaniambia, “Mwanadamu, simama kwa miguu yako nami nitasema nawe.”
akaniambia mwanadamu simama kwa miguu yako nami nitasema nawe
EZK_002_002
EZK 2:2
Alipokuwa akiongea nami, Roho akanijia na kunisimamisha wima, nikamsikia akisema nami.
alipokuwa akiongea nami roho akanijia na kunisimamisha wima nikamsikia akisema nami
EZK_002_003
EZK 2:3
Akaniambia: “Mwanadamu, ninakutuma kwa Waisraeli, kwa taifa asi ambalo limeniasi mimi, wao na baba zao wananikosea mimi hadi leo.
akaniambia mwanadamu ninakutuma kwa waisraeli kwa taifa asi ambalo limeniasi mimi wao na baba zao wananikosea mimi hadi leo
EZK_002_004
EZK 2:4
Watu ambao ninakutuma kwao ni wapotovu na wakaidi. Waambie, ‘Hivi ndivyo anavyosema BWANA Mwenyezi.’
watu ambao ninakutuma kwao ni wapotovu na wakaidi waambie hivi ndivyo anavyosema bwana mwenyezi
EZK_002_005
EZK 2:5
Kama watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi, watajua nabii amekuwa miongoni mwao.
kama watasikiliza au hawatasikiliza kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi watajua nabii amekuwa miongoni mwao
EZK_002_006
EZK 2:6
Nawe mwanadamu, usiwaogope wao wala maneno yao, usiogope, ingawa michongoma na miiba vinakuzunguka na unaishi katikati ya nge. Usiogope yale wasemayo wala usitishwe nao, ingawa wao ni nyumba ya uasi.
nawe mwanadamu usiwaogope wao wala maneno yao usiogope ingawa michongoma na miiba vinakuzunguka na unaishi katikati ya nge usiogope yale wasemayo wala usitishwe nao ingawa wao ni nyumba ya uasi
EZK_002_007
EZK 2:7
Wewe lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa wanasikiliza au hawasikilizi, kwa kuwa wao ni watu waasi.
wewe lazima uwaambie maneno yangu ikiwa wanasikiliza au hawasikilizi kwa kuwa wao ni watu waasi
EZK_002_008
EZK 2:8
Lakini wewe mwanadamu, sikiliza ninalokuambia. Usiwe mwenye kuasi kama hiyo nyumba ya kuasi. Fungua kinywa chako na ule nikupacho.”
lakini wewe mwanadamu sikiliza ninalokuambia usiwe mwenye kuasi kama hiyo nyumba ya kuasi fungua kinywa chako na ule nikupacho
EZK_002_009
EZK 2:9
Ndipo nikatazama, nami nikaona mkono ulionyooshwa kunielekea. Nao ulikuwa na ukurasa wa kitabu,
ndipo nikatazama nami nikaona mkono ulionyooshwa kunielekea nao ulikuwa na ukurasa wa kitabu
EZK_002_010
EZK 2:10
ambao aliukunjua mbele yangu. Pande zote mbili ulikuwa umeandikwa maneno ya maombolezo, vilio na ole.
ambao aliukunjua mbele yangu pande zote mbili ulikuwa umeandikwa maneno ya maombolezo vilio na ole
EZK_003_001
EZK 3:1
Naye akaniambia, “Mwanadamu, kula kile kilichoko mbele yako, kula huu ukurasa wa kitabu, kisha uende ukaseme na nyumba ya Israeli.”
naye akaniambia mwanadamu kula kile kilichoko mbele yako kula huu ukurasa wa kitabu kisha uende ukaseme na nyumba ya israeli
EZK_003_002
EZK 3:2
Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu.
ndipo nikafungua kinywa changu naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu
EZK_003_003
EZK 3:3
Ndipo akaniambia, “Mwanadamu, kula ukurasa huu wa kitabu ninaokupa ujaze tumbo lako.” Kwa hiyo nikaula, ulikuwa mtamu kama asali kinywani mwangu.
ndipo akaniambia mwanadamu kula ukurasa huu wa kitabu ninaokupa ujaze tumbo lako kwa hiyo nikaula ulikuwa mtamu kama asali kinywani mwangu
EZK_003_004
EZK 3:4
Kisha akaniambia, “Mwanadamu, sasa nenda katika nyumba ya Israeli ukaseme nao maneno yangu.
kisha akaniambia mwanadamu sasa nenda katika nyumba ya israeli ukaseme nao maneno yangu
EZK_003_005
EZK 3:5
Hukutumwa kwa taifa lenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu, bali kwa nyumba ya Israeli.
hukutumwa kwa taifa lenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu bali kwa nyumba ya israeli
EZK_003_006
EZK 3:6
Sikukutuma kwa mataifa mengi yenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu ambao maneno yao hutayaelewa. Hakika ningekutuma kwa watu hao, wangekusikiliza.
sikukutuma kwa mataifa mengi yenye maneno ya kutatiza na lugha ngumu ambao maneno yao hutayaelewa hakika ningekutuma kwa watu hao wangekusikiliza
EZK_003_007
EZK 3:7
Lakini nyumba ya Israeli haitakusikiliza kwa kuwa hawako radhi kunisikiliza mimi, kwa kuwa nyumba yote ya Israeli ni wenye vipaji vya nyuso vigumu na mioyo ya ukaidi.
lakini nyumba ya israeli haitakusikiliza kwa kuwa hawako radhi kunisikiliza mimi kwa kuwa nyumba yote ya israeli ni wenye vipaji vya nyuso vigumu na mioyo ya ukaidi
EZK_003_008
EZK 3:8
Tazama nimefanya uso wako mgumu dhidi ya nyuso zao na kipaji cha uso wako kigumu dhidi ya vipaji vya nyuso zao.
tazama nimefanya uso wako mgumu dhidi ya nyuso zao na kipaji cha uso wako kigumu dhidi ya vipaji vya nyuso zao
EZK_003_009
EZK 3:9
Kama vile almasi ilivyo ngumu kuliko gumegume, ndivyo nilivyokifanya kipaji cha uso wako. Usiwaogope wala usiwahofu, ijapokuwa ni nyumba ya kuasi.”
kama vile almasi ilivyo ngumu kuliko gumegume ndivyo nilivyokifanya kipaji cha uso wako usiwaogope wala usiwahofu ijapokuwa ni nyumba ya kuasi
EZK_003_010
EZK 3:10
Naye akaniambia, “Mwanadamu, sikiliza kwa makini na uyatie moyoni mwako maneno yote nitakayosema nawe.
naye akaniambia mwanadamu sikiliza kwa makini na uyatie moyoni mwako maneno yote nitakayosema nawe
EZK_003_011
EZK 3:11
Kisha nenda kwa watu wa taifa lako walio uhamishoni, ukaseme nao. Waambie, ‘Hivi ndivyo BWANA Mwenyezi asemavyo,’ kwamba watasikiliza au hawatasikiliza.”
kisha nenda kwa watu wa taifa lako walio uhamishoni ukaseme nao waambie hivi ndivyo bwana mwenyezi asemavyo kwamba watasikiliza au hawatasikiliza
EZK_003_012
EZK 3:12
Ndipo Roho akaniinua, nikasikia sauti kubwa nyuma yangu ya ngurumo. (Utukufu wa BWANA na utukuzwe katika mahali pa makao yake!)
ndipo roho akaniinua nikasikia sauti kubwa nyuma yangu ya ngurumo utukufu wa bwana na utukuzwe katika mahali pa makao yake
EZK_003_014
EZK 3:14
Ndipo Roho aliponiinua na kunipeleka mbali. Nikaenda nikiwa na uchungu na hasira moyoni mwangu, nao mkono wa BWANA ukiwa juu yangu.
ndipo roho aliponiinua na kunipeleka mbali nikaenda nikiwa na uchungu na hasira moyoni mwangu nao mkono wa bwana ukiwa juu yangu
EZK_003_015
EZK 3:15
Nikafika kwa wale watu waliokuwa uhamishoni huko Tel-Abibu karibu na Mto Kebari. Nikakaa miongoni mwao kwa muda wa siku saba, nikiwa nimejawa na mshangao.
nikafika kwa wale watu waliokuwa uhamishoni huko telabibu karibu na mto kebari nikakaa miongoni mwao kwa muda wa siku saba nikiwa nimejawa na mshangao
EZK_003_016
EZK 3:16
Mwishoni mwa hizo siku saba neno la BWANA likanijia kusema:
mwishoni mwa hizo siku saba neno la bwana likanijia kusema
EZK_003_017
EZK 3:17
“Mwanadamu, nimekufanya uwe mlinzi wa nyumba ya Israeli, kwa hiyo sikia neno nisemalo, ukawape onyo litokalo kwangu.
mwanadamu nimekufanya uwe mlinzi wa nyumba ya israeli kwa hiyo sikia neno nisemalo ukawape onyo litokalo kwangu
EZK_003_018
EZK 3:18
Nimwambiapo mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ na wewe usipomwonya mtu huyo au kumshauri aache njia zake mbaya ili kuokoa maisha yake, huyo mtu mwovu atakufa katika dhambi yake na damu yake nitaidai mkononi mwako.
nimwambiapo mtu mwovu hakika utakufa na wewe usipomwonya mtu huyo au kumshauri aache njia zake mbaya ili kuokoa maisha yake huyo mtu mwovu atakufa katika dhambi yake na damu yake nitaidai mkononi mwako
EZK_003_019
EZK 3:19
Lakini ukimwonya mtu mwovu naye akakataa kuacha uovu wake na njia zake mbaya, atakufa katika dhambi yake, lakini wewe utakuwa umejiokoa nafsi yako.
lakini ukimwonya mtu mwovu naye akakataa kuacha uovu wake na njia zake mbaya atakufa katika dhambi yake lakini wewe utakuwa umejiokoa nafsi yako
EZK_003_020
EZK 3:20
“Tena, mtu mwenye haki akiacha haki yake na kutenda maovu, nami nikaweka kikwazo mbele yake mtu huyo atakufa. Kwa kuwa hukumwonya, atakufa katika dhambi yake. Mambo ya haki aliyotenda, hayatakumbukwa, damu yake nitaidai mkononi mwako.
tena mtu mwenye haki akiacha haki yake na kutenda maovu nami nikaweka kikwazo mbele yake mtu huyo atakufa kwa kuwa hukumwonya atakufa katika dhambi yake mambo ya haki aliyotenda hayatakumbukwa damu yake nitaidai mkononi mwako
EZK_003_021
EZK 3:21
Lakini ukimwonya mwenye haki asitende dhambi na akaacha kutenda dhambi, hakika ataishi kwa sababu alipokea maonyo na utakuwa umejiokoa nafsi yako.”
lakini ukimwonya mwenye haki asitende dhambi na akaacha kutenda dhambi hakika ataishi kwa sababu alipokea maonyo na utakuwa umejiokoa nafsi yako
EZK_003_022
EZK 3:22
Mkono wa BWANA ulikuwa juu yangu huko, naye akaniambia, “Simama uende mpaka sehemu tambarare, nami nitasema nawe huko.”
mkono wa bwana ulikuwa juu yangu huko naye akaniambia simama uende mpaka sehemu tambarare nami nitasema nawe huko
EZK_003_023
EZK 3:23
Kwa hiyo niliinuka nikaenda mpaka mahali pa tambarare. Utukufu wa BWANA ulikuwa umesimama huko, kama utukufu ule niliouona kando ya Mto Kebari, nami nikaanguka kifudifudi.
kwa hiyo niliinuka nikaenda mpaka mahali pa tambarare utukufu wa bwana ulikuwa umesimama huko kama utukufu ule niliouona kando ya mto kebari nami nikaanguka kifudifudi
EZK_003_024
EZK 3:24
Ndipo Roho akaja ndani yangu akanisimamisha kwa miguu yangu. Akasema nami akaniambia: “Nenda ukajifungie ndani ya nyumba yako.
ndipo roho akaja ndani yangu akanisimamisha kwa miguu yangu akasema nami akaniambia nenda ukajifungie ndani ya nyumba yako
EZK_003_025
EZK 3:25
Nawe, ee mwanadamu, watakufunga kwa kamba, watakufunga ili usiweze kutoka na kuwaendea watu.
nawe ee mwanadamu watakufunga kwa kamba watakufunga ili usiweze kutoka na kuwaendea watu
EZK_003_026
EZK 3:26
Nitaufanya ulimi wako ushikamane kwenye kaa la kinywa chako, ili uwe kimya usiweze kuwakemea, wajapokuwa ni nyumba ya kuasi.
nitaufanya ulimi wako ushikamane kwenye kaa la kinywa chako ili uwe kimya usiweze kuwakemea wajapokuwa ni nyumba ya kuasi
EZK_003_027
EZK 3:27
Lakini nitakaposema nawe, nitafungua kinywa chako nawe utawaambia, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo.’ Yeyote atakayesikiliza na asikilize, na yeyote atakayekataa na akatae; kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi.
lakini nitakaposema nawe nitafungua kinywa chako nawe utawaambia hili ndilo bwana mwenyezi asemalo yeyote atakayesikiliza na asikilize na yeyote atakayekataa na akatae kwa kuwa wao ni nyumba ya kuasi
EZK_004_001
EZK 4:1
“Mwanadamu, sasa chukua tofali, uliweke mbele yako na uchore juu yake ramani ya mji wa Yerusalemu.
mwanadamu sasa chukua tofali uliweke mbele yako na uchore juu yake ramani ya mji wa yerusalemu
EZK_004_002
EZK 4:2
Kisha uuzingire: Simamisha askari dhidi yake kuuzunguka, uzunguke kwa majeshi, weka kambi dhidi yake pande zote pamoja na magogo ya kubomolea boma vitani.
kisha uuzingire simamisha askari dhidi yake kuuzunguka uzunguke kwa majeshi weka kambi dhidi yake pande zote pamoja na magogo ya kubomolea boma vitani
EZK_004_003
EZK 4:3
Kisha chukua bamba la chuma, ukalisimamishe liwe kama ukuta wa chuma kati yako na huo mji, nawe uuelekeze uso wako. Huo mji utakuwa katika hali ya kuzingirwa, nawe utauzingira. Hii itakuwa ishara kwa nyumba ya Israeli.
kisha chukua bamba la chuma ukalisimamishe liwe kama ukuta wa chuma kati yako na huo mji nawe uuelekeze uso wako huo mji utakuwa katika hali ya kuzingirwa nawe utauzingira hii itakuwa ishara kwa nyumba ya israeli
EZK_004_004
EZK 4:4
“Kisha ulale kwa upande wako wa kushoto na uweke dhambi za nyumba ya Israeli juu yake. Utazibeba dhambi zao kwa idadi ya siku utakazolala kwa huo upande mmoja.
kisha ulale kwa upande wako wa kushoto na uweke dhambi za nyumba ya israeli juu yake utazibeba dhambi zao kwa idadi ya siku utakazolala kwa huo upande mmoja
EZK_004_005
EZK 4:5
Nimekupangia idadi ya siku kama miaka ya dhambi yao. Kwa hiyo kwa siku 390 utabeba dhambi za nyumba ya Israeli.
nimekupangia idadi ya siku kama miaka ya dhambi yao kwa hiyo kwa siku mia tatu tisini utabeba dhambi za nyumba ya israeli
EZK_004_006
EZK 4:6
“Baada ya kumaliza hili, lala chini tena, wakati huu ulale chini kwa upande wa kuume, uchukue dhambi za nyumba ya Yuda. Nimekupangia siku arobaini, siku moja kwa kila mwaka mmoja.
baada ya kumaliza hili lala chini tena wakati huu ulale chini kwa upande wa kuume uchukue dhambi za nyumba ya yuda nimekupangia siku arobaini siku moja kwa kila mwaka mmoja
EZK_004_007
EZK 4:7
Geuza uso wako uelekeze kwenye kuzingirwa kwa Yerusalemu na mkono wako ambao haukuvikwa nguo tabiri dhidi yake.
geuza uso wako uelekeze kwenye kuzingirwa kwa yerusalemu na mkono wako ambao haukuvikwa nguo tabiri dhidi yake
EZK_004_008
EZK 4:8
Nitakufunga kwa kamba ili usiweze kugeuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine, mpaka hapo utakapokuwa umetimiza siku za kuzingirwa kwako.
nitakufunga kwa kamba ili usiweze kugeuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine mpaka hapo utakapokuwa umetimiza siku za kuzingirwa kwako
EZK_004_009
EZK 4:9
“Chukua ngano na shayiri, maharagwe na dengu, mtama na mawele, uviweke na kuvihifadhi vyote kwenye gudulia la kuhifadhia, na uvitumie kujitengenezea mkate. Utaula mkate huo kwa hizo siku 390 utakazokuwa umelala kwa upande mmoja.
chukua ngano na shayiri maharagwe na dengu mtama na mawele uviweke na kuvihifadhi vyote kwenye gudulia la kuhifadhia na uvitumie kujitengenezea mkate utaula mkate huo kwa hizo siku mia tatu tisini utakazokuwa umelala kwa upande mmoja
EZK_004_010
EZK 4:10
Pima shekeli ishirini za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa.
pima shekeli ishirini za chakula utakachokula kwa kila siku nawe utakula kwa wakati uliopangwa
EZK_004_011
EZK 4:11
Pia pima maji moja ya sita ya hini, nawe utakunywa kwa wakati uliopangwa.
pia pima maji moja ya sita ya hini nawe utakunywa kwa wakati uliopangwa
EZK_004_012
EZK 4:12
Nawe utakula chakula kama vile ambavyo ungekula mkate wa shayiri, uoke mkate mbele ya macho ya watu, ukitumia kinyesi cha mwanadamu.”
nawe utakula chakula kama vile ambavyo ungekula mkate wa shayiri uoke mkate mbele ya macho ya watu ukitumia kinyesi cha mwanadamu
EZK_004_013
EZK 4:13
BWANA akasema, “Hivi ndivyo watu wa Israeli watakavyokula chakula kilicho najisi miongoni mwa mataifa ninakowapeleka.”
bwana akasema hivi ndivyo watu wa israeli watakavyokula chakula kilicho najisi miongoni mwa mataifa ninakowapeleka
EZK_004_014
EZK 4:14
Ndipo nikasema, “Sivyo BWANA Mwenyezi! Kamwe mimi sijajitia unajisi. Tangu ujana wangu hadi sasa sijala kamwe kitu chochote kilichokufa au kilichoraruliwa na wanyama wa mwituni. Hakuna nyama yeyote najisi iliyoingia kinywani mwangu.”
ndipo nikasema sivyo bwana mwenyezi kamwe mimi sijajitia unajisi tangu ujana wangu hadi sasa sijala kamwe kitu chochote kilichokufa au kilichoraruliwa na wanyama wa mwituni hakuna nyama yeyote najisi iliyoingia kinywani mwangu
EZK_004_015
EZK 4:15
Akasema, “Vema sana, basi nitakuruhusu uoke mkate wako kwa kutumia kinyesi cha ngʼombe badala ya kinyesi cha mwanadamu.”
akasema vema sana basi nitakuruhusu uoke mkate wako kwa kutumia kinyesi cha ngombe badala ya kinyesi cha mwanadamu
EZK_004_016
EZK 4:16
Ndipo Mungu akaniambia, “Mwanadamu, mimi nitakatilia mbali upatikanaji wa chakula katika Yerusalemu. Watu watakula chakula cha kupimwa kwa wasiwasi pamoja na maji ya kupimiwa kwa kukata tamaa,
ndipo mungu akaniambia mwanadamu mimi nitakatilia mbali upatikanaji wa chakula katika yerusalemu watu watakula chakula cha kupimwa kwa wasiwasi pamoja na maji ya kupimiwa kwa kukata tamaa
EZK_004_017
EZK 4:17
kwa kuwa chakula na maji vitakuwa adimu. Watastajabiana kila mmoja, nao watadhoofika kwa sababu ya dhambi yao.
kwa kuwa chakula na maji vitakuwa adimu watastajabiana kila mmoja nao watadhoofika kwa sababu ya dhambi yao
EZK_005_001
EZK 5:1
“Mwanadamu, sasa chukua upanga mkali na uutumie kama wembe wa kinyozi ili kunyolea nywele za kichwa chako na ndevu zako. Kisha uchukue mizani ya kupimia ukazigawanye nywele hizo.
mwanadamu sasa chukua upanga mkali na uutumie kama wembe wa kinyozi ili kunyolea nywele za kichwa chako na ndevu zako kisha uchukue mizani ya kupimia ukazigawanye nywele hizo
EZK_005_002
EZK 5:2
Wakati siku zako za kuzingirwa zitakapokwisha, choma theluthi moja ya hizo nywele zako kwa moto ndani ya mji. Chukua theluthi nyingine ya hizo nywele uzipige kwa upanga kuuzunguka mji wote na theluthi nyingine ya mwisho utaitawanya kwa upepo. Kwa kuwa nitawafuatia kwa upanga uliofutwa.
wakati siku zako za kuzingirwa zitakapokwisha choma theluthi moja ya hizo nywele zako kwa moto ndani ya mji chukua theluthi nyingine ya hizo nywele uzipige kwa upanga kuuzunguka mji wote na theluthi nyingine ya mwisho utaitawanya kwa upepo kwa kuwa nitawafuatia kwa upanga uliofutwa
EZK_005_003
EZK 5:3
Lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako.
lakini chukua nywele chache uzifungie ndani ya pindo la vazi lako
EZK_005_004
EZK 5:4
Tena chukua nywele nyingine chache uzitupe motoni uziteketeze. Moto utaenea kutoka humo na kufika katika nyumba yote ya Israeli.
tena chukua nywele nyingine chache uzitupe motoni uziteketeze moto utaenea kutoka humo na kufika katika nyumba yote ya israeli
EZK_005_005
EZK 5:5
“Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Huu ndio Yerusalemu ambao nimeuweka katikati ya mataifa ukiwa umezungukwa na nchi pande zote.
hili ndilo bwana mwenyezi asemalo huu ndio yerusalemu ambao nimeuweka katikati ya mataifa ukiwa umezungukwa na nchi pande zote
EZK_005_006
EZK 5:6
Lakini katika uovu wake umeasi sheria na amri zangu kuliko mataifa na nchi zinazouzunguka. Umeasi sheria zangu wala haukufuata amri zangu.
lakini katika uovu wake umeasi sheria na amri zangu kuliko mataifa na nchi zinazouzunguka umeasi sheria zangu wala haukufuata amri zangu
EZK_005_007
EZK 5:7
“Kwa hiyo hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Ninyi mmekuwa wakaidi kuliko mataifa yanayowazunguka na hamkufuata amri zangu wala kuzishika sheria zangu. Wala hamkuweza hata kuzifuata kawaida za mataifa yanayowazunguka.
kwa hiyo hili ndilo bwana mwenyezi asemalo ninyi mmekuwa wakaidi kuliko mataifa yanayowazunguka na hamkufuata amri zangu wala kuzishika sheria zangu wala hamkuweza hata kuzifuata kawaida za mataifa yanayowazunguka
EZK_005_008
EZK 5:8
“Kwa hiyo, hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo, Mimi mwenyewe, niko kinyume nanyi Yerusalemu, nitawapiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa.
kwa hiyo hili ndilo bwana mwenyezi asemalo mimi mwenyewe niko kinyume nanyi yerusalemu nitawapiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa
EZK_005_009
EZK 5:9
Kwa ajili ya sanamu zenu zote za machukizo, nitawafanyia kile ambacho kamwe sijawafanyia kabla wala kamwe sitawafanyia tena.
kwa ajili ya sanamu zenu zote za machukizo nitawafanyia kile ambacho kamwe sijawafanyia kabla wala kamwe sitawafanyia tena
EZK_005_010
EZK 5:10
Kwa hiyo katikati yenu baba watakula watoto wao na watoto watakula baba zao. Nitawapiga kwa adhabu, nami nitawatawanya watu wenu walionusurika pande zote za dunia.
kwa hiyo katikati yenu baba watakula watoto wao na watoto watakula baba zao nitawapiga kwa adhabu nami nitawatawanya watu wenu walionusurika pande zote za dunia
EZK_005_011
EZK 5:11
Kwa hiyo hakika kama niishivyo, asema BWANA Mwenyezi, kwa kuwa mmenajisi mahali pangu patakatifu kwa sanamu zenu mbaya sana na desturi zenu za machukizo, mimi mwenyewe nitaondoa fadhili zangu kwenu.
kwa hiyo hakika kama niishivyo asema bwana mwenyezi kwa kuwa mmenajisi mahali pangu patakatifu kwa sanamu zenu mbaya sana na desturi zenu za machukizo mimi mwenyewe nitaondoa fadhili zangu kwenu
EZK_005_012
EZK 5:12
Theluthi ya watu wako watakufa kwa tauni au kwa njaa humu ndani yako, theluthi nyingine itaanguka kwa upanga nje ya kuta zako, nayo theluthi nyingine nitaitawanya kwenye pande nne kuwafuatia kwa upanga uliofutwa.
theluthi ya watu wako watakufa kwa tauni au kwa njaa humu ndani yako theluthi nyingine itaanguka kwa upanga nje ya kuta zako nayo theluthi nyingine nitaitawanya kwenye pande nne kuwafuatia kwa upanga uliofutwa
EZK_005_013
EZK 5:13
“Ndipo hasira yangu itakapokoma na ghadhabu yangu dhidi yao itatulia, nami nitakuwa nimelipiza kisasi. Baada ya kuimaliza ghadhabu yangu juu yao, watajua kuwa mimi BWANA nimenena katika wivu wangu.
ndipo hasira yangu itakapokoma na ghadhabu yangu dhidi yao itatulia nami nitakuwa nimelipiza kisasi baada ya kuimaliza ghadhabu yangu juu yao watajua kuwa mimi bwana nimenena katika wivu wangu
EZK_005_014
EZK 5:14
“Nitakuangamiza na kukufanya kitu cha kudharauliwa miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka, machoni pa watu wote wapitao karibu nawe.
nitakuangamiza na kukufanya kitu cha kudharauliwa miongoni mwa mataifa yanayokuzunguka machoni pa watu wote wapitao karibu nawe
EZK_005_015
EZK 5:15
Utakuwa kitu cha kudharauliwa na cha aibu, cha dhihaka, ovyo na kitu cha kutisha kwa mataifa yanayokuzunguka, nitakapokupiga kwa adhabu yangu katika hasira na ghadhabu yangu kwa kukukemea kwa ukali. Mimi BWANA nimesema.
utakuwa kitu cha kudharauliwa na cha aibu cha dhihaka ovyo na kitu cha kutisha kwa mataifa yanayokuzunguka nitakapokupiga kwa adhabu yangu katika hasira na ghadhabu yangu kwa kukukemea kwa ukali mimi bwana nimesema
EZK_005_016
EZK 5:16
Nitakapokupiga kwa mishale yangu ya kufisha na yenye kuharibu ya njaa, nitaipiga ili kukuangamiza. Nitaleta njaa zaidi na zaidi juu yako na kukomesha upatikanaji wa chakula kwako.
nitakapokupiga kwa mishale yangu ya kufisha na yenye kuharibu ya njaa nitaipiga ili kukuangamiza nitaleta njaa zaidi na zaidi juu yako na kukomesha upatikanaji wa chakula kwako
EZK_005_017
EZK 5:17
Nitapeleka njaa na wanyama wa mwituni dhidi yenu, navyo vitawaacha bila watoto. Tauni na umwagaji wa damu utapita katikati yenu, nami nitaleta upanga juu yenu. Mimi BWANA nimenena haya.”
nitapeleka njaa na wanyama wa mwituni dhidi yenu navyo vitawaacha bila watoto tauni na umwagaji wa damu utapita katikati yenu nami nitaleta upanga juu yenu mimi bwana nimenena haya
EZK_006_001
EZK 6:1
Neno la BWANA likanijia kusema,
neno la bwana likanijia kusema
EZK_006_002
EZK 6:2
“Mwanadamu, elekeza uso wako kukabili milima ya Israeli, utabiri dhidi yake
mwanadamu elekeza uso wako kukabili milima ya israeli utabiri dhidi yake
EZK_006_003
EZK 6:3
na useme: ‘Ee milima ya Israeli, sikia neno la BWANA Mwenyezi. Hili ndilo BWANA Mwenyezi aliambiayo milima na vilima, magenge na mabonde: Ninakaribia kuleta upanga dhidi yenu, nami nitapaharibu mahali penu pote pa juu pa kuabudia miungu.
na useme ee milima ya israeli sikia neno la bwana mwenyezi hili ndilo bwana mwenyezi aliambiayo milima na vilima magenge na mabonde ninakaribia kuleta upanga dhidi yenu nami nitapaharibu mahali penu pote pa juu pa kuabudia miungu
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
59