Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet
Swahili
stringlengths
9
495
emotion
stringclasses
7 values
Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu?
neutral
Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu.
neutral
"Saa (kufika kiama) imekaribia; na mwezi umepasuka.
neutral
Au samaki wote wa baharini watakusanywa pamoja kwa ajili yao, ili kuwatosha?
neutral
Namna kila mumoja wao alifikia kuwa rafiki ya Mungu inaweza kutufundisha nini?
neutral
Je, unaweza kusema, "Ndiyo, nina uzima wa milele.
neutral
Kisha mmoja wao akasema: "Na miongoni mwetu yupo Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ambaye anajua yatakayotokea kesho.
neutral
Na kwa msaada wa Mungu, Yusufu anawaambia maana ya ndoto zao.
neutral
Mikono ya Yosefu mwenyewe ndiyo itakayofunga macho yako."
neutral
Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye.
disgust
Ukiwa kijana, huenda nyakati fulani ukaogopa kufuata amri za Mungu.
fear
Akajibu, "Naam, na Imani ilikuwa ndani ya nyoyo zao kama milima."
neutral
takasika; na wao humo watadumu.
neutral
Yeye na wao walikuwa katika makabiliano ya kudumu maisha kati yao.
anger
Na huu ni mwezi wa toba hakika atakuwa amenisamehe.
neutral
Na waulize habari za mji uliokuwa kando ya bahari.
neutral
Ukweli wa kifo unafahamika kwa uongofu wa Quran.
fear
Kisha mikono ya wote walio pamoja nawe itatiwa nguvu."
neutral
wavulana, nimepata code ya kazi kutoka hapa!
surprise
Waumini hao tu ndio wangeingia mbinguni baada ya kifo, hii ina maana kuwa walikuwa wameokolewa.
neutral
Tunashukuru kama nini kwa sababu ya ujumbe wa Mungu ulio katika kitabu cha Isaya!
neutral
Atakula kila atakachokipata, na kama hatakipata, basi atakidai.
anger
Je, unajua kile ambacho waliwapa watu wengine? - Kilikuwa kitu bora zaidi ulimwenguni!
joy
naye atawapa Msaidizi Mwingine, ili akae nanyi hata milele."
neutral
Kama mtoto na baba yake yeye alitumika pamoja nami katika kuendeleza habari njema."
neutral
Au unadhani kwamba wengi wao wanasikia na wanafahamu?
neutral
Kwa yakini zilikuwepo katika (kisa cha) Yuwsuf na kaka zake Aayaat (ishara, dalili, zingatio) kwa waulizao.
neutral
Enyi mlio amini!Kwa nini mnasema msiyo yatenda?
anger
Jina la huyo mwanamume ni nani, katika New Zealand, na mimi husahau kila wakati?
neutral
Wanangojea jingine ila kama yaliyotokea siku za watu walio pita kabla yao?
neutral
Lau Tungelitaka, Tungeliyafanya ya chumvi kali chungu basi kwa nini hamshukuru?
anger
(Kwa kufanya kile unachokifanya sasa hivi, kujifunza neno la Mungu.
neutral
Kisha mapepo yakasema, "Hebu tufanye jambo jipya.
neutral
Basi huyo baba akagawanya mali yake kati yao.
neutral
Wanangojea jingine ila kama yaliyo tokea siku za watu walio pita kabla yao?
neutral
Akiwa Chanzo cha uhai, atakuwa Baba ya wote watakaofufuliwa.
neutral
Hata watenda-dhambi hufanya vivyo hivyo.
disgust
hatataka shauri kwa mwenye hekima.
neutral
na labda ndio sababu nitaondoka mara moja jua.
neutral
Hao ndio maadui, basi tahadhari nao.
fear
Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi
neutral
Akasema, Tangu utoto.
neutral
Wanyama au ardhi na jua pia vilionekana kati yao.
neutral
na jua hutambua wakati wake wa kutua.
neutral
kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo.
anger
Hata wale bora katika wafuasi wake hawakuweza kuonyesha imani kweli.
neutral
Miji Itapatilizwa kwa Hukumu za Mungu Wakati umekaribia ambapo miji mikubwa itapatilizwa kwa hukumu za Mungu.
neutral
Roger ana yake blog mwenyewe, pia!
neutral
kuwahubiria Waisraeli lakini hawakuwa kumsikiliza.
anger
Ila sio kuingilia kumsaidia mmoja wao.
sadness
(Allaah) Husema: "Je, ingekuwaje kama wangeuona Moto wangu!?"
anger
Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.
disgust
Humo watakuwa na maskani ya kudumu, ndiyo malipo yao
neutral
Katika nyakati za kale, watumishi washikamanifu wa Mungu walisema au kufanya mambo yaliyowaumiza wengine.
disgust
Hakika yeye alidhani hatarejea.
anger
Na wakaenda asubuhi hali wanadhani kuwa wanao uwezo wa kuzuia (masikini).
neutral
Je, hatutakuwa salama kwa kufuata kielelezo cha Baba na Mwana?
fear
Hauko peke yako; bado kuna watu wengi wanaomwamini Mungu.
neutral
Wale wanaoyajua maisha ya Mtume watalifahamu hilo vyema zaidi.
neutral
Po pote waishipo amekufanya wewe kuwa mtawala juu yao wote.
neutral
Je, unafikiri kwamba upendo la Petro ulikuwa halisi wakati huo?
surprise
hakika udongo (mchanga) ulio safi ni tahara ya muislamu hata kama hakupata maji kwa miaka kumi.
neutral
Hawwaa (Amani iwe juu yake), yeye ndiye wa mwanzo kuipata.
joy
Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya.
neutral
Na tulihitaji msaada kutoka mbinguni."
sadness
Danieli atafufuliwa wakati wa ufufuo wa waadilifu
neutral
Amri ya kwanza ya Amri Kumi inawataka watu kumwabudu Mungu wa kweli tu.
neutral
hakuna waliobarikiwa kuliko ninyi, hili kundi la watu.
neutral
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa,
joy
Basi akawakubali katika jambo hili, akawathibitisha kwa siku kumi.
neutral
Alisema hivi: "Katika nyumba ya Baba yangu mna makao mengi.
disgust
Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena.
anger
huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki.
neutral
Nina wasiwasi kuhusu kupoteza muda wangu bora nchini Hispania sasa.
fear
Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au
neutral
"Sisi pia tunaweza kuishi maisha mapya.")
neutral
Nitafanya ukumbusho wao usahauliwe kabisa miongoni mwa wanadamu,"
anger
"Si rahisi kuwa ndiwe wa mwisho wa aina yako katika sayari yetu.
neutral
"Watu wanakuuliza kuhusu Saa.
neutral
(Katika baadhi ya sehemu za Afrika, wanasema, 'Mke mmoja - tatizo moja.
disgust
Tangu sasa na kuendelea utakuwa ukiwavua watu wakiwa hai."
neutral
Mkutano na kuoa msichana wa Kichina ni kitu mimi kujua mengi kuhusu.
joy
"Wale wafanyao hayo (kuwapiga wake zao) si wabora wenu."
disgust
Naam; si kwa njia ya watu wa Mungu kuishi humo,
neutral
"Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye.
fear
na divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari.
joy
nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu;
neutral
Iko wapi, basi, nyumba ambayo ninyi mnaweza kunijengea, na pako wapi, basi, mahali pa kupumzika kwa ajili yangu?"
neutral
Na wana wa Amoni wakakusanyika kutoka miji yao, wakaja vitani.
neutral
Je, utachagua kuwa miongoni mwa wenye haki?
neutral
Na alikwisha wajieni Yusuf zamani kwa dalili zilizo wazi, lakini nyinyi
neutral
Vivyo hivyo, watu wa Mungu leo hawafundishi maoni yao wenyewe.
neutral
Unataka neno la wazi, rahisi, moja kwa moja kutoka kwa Bwana leo?
neutral
Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi,
joy
Watu kama hao wataishi milele katika mwangaza wa Mungu.
neutral
Na labda ulipendezwa na baraka fulani za Ufalme wa Mungu za wakati unaokuja zenye zilizungumuziwa katika habari hizo.
neutral
Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali.
neutral
(Suala si ndoa mbinguni, bali ni ufufuo.
neutral
Kupitia hii, tunakuwa warithi wake, wale wanaorithi uzima wa milele, na mengi zaidi.
neutral
Lakini Philo alipofafanua utu wa Mungu Mweza-Yote, alienda mbali sana na ukweli.
disgust
End of preview. Expand in Data Studio

Swahili Emotion Analysis Corpus

Dataset Description

This dataset contains emotion-labeled text data in Swahili for emotion classification (joy, sadness, anger, fear, surprise, disgust, neutral). Emotions were extracted and processed from the English meanings of the sentences using the model j-hartmann/emotion-english-distilroberta-base. The dataset is part of a larger collection of African language emotion analysis resources.

Dataset Statistics

  • Total samples: 2,000,000
  • Joy: 147146 (7.4%)
  • Sadness: 114445 (5.7%)
  • Anger: 125076 (6.3%)
  • Fear: 89559 (4.5%)
  • Surprise: 105550 (5.3%)
  • Disgust: 162737 (8.1%)
  • Neutral: 1255487 (62.8%)

Dataset Structure

Data Fields

  • Text Column: Contains the original text in Swahili
  • emotion: Emotion label (joy, sadness, anger, fear, surprise, disgust, neutral)

Data Splits

This dataset contains a single split with all the processed data.

Data Processing

The emotion labels were generated using:

  • Model: j-hartmann/emotion-english-distilroberta-base
  • Processing: Batch processing with optimization for efficiency
  • Deduplication: Duplicate entries were removed based on text content

Usage

from datasets import load_dataset

# Load the dataset
dataset = load_dataset("michsethowusu/swahili-emotions-corpus")

# Access the data
print(dataset['train'][0])

Citation

If you use this dataset in your research, please cite:

@dataset{swahili_emotions_corpus,
  title={Swahili Emotions Corpus},
  author={Mich-Seth Owusu},
  year={2025},
  url={https://huggingface.co/datasets/michsethowusu/swahili-emotions-corpus}
}

License

This dataset is released under the MIT License.

Contact

For questions or issues regarding this dataset, please open an issue on the dataset repository.

Dataset Creation

Date: 2025-07-04 Processing Pipeline: Automated emotion analysis using HuggingFace Transformers Quality Control: Deduplication and batch processing optimizations applied

Downloads last month
108

Collection including michsethowusu/swahili-emotions-corpus