story
stringlengths 90
324
| ending1
stringlengths 10
85
| ending2
stringlengths 10
93
| correct_ending
int64 1
2
| model_choice
stringclasses 3
values | model_answer
stringlengths 1
523
| exact_match
int64 0
0
| f1_score
float64 0
1
|
---|---|---|---|---|---|---|---|
Siku moja nilitaka kupikia familia yangu chakula kizuri cha jioni. Nikaamua kupika spageti. Nikachemsha tambi na kuweka mchuzi ndani ya sufuria kwenye stovu. Niliweka moti mwingi kwenye stovu. | Mchuzi huo uliungua na ukakwama chini ya sufuria. | Ilichukua muda mrefu kwa mchuzi huo kuyeyuka. | 1 | 2 | 2. Ilichukua muda mrefu kwa mchuzi huo kuyeyuka. | 0 | 0 |
Nick aliitwa kuja kushindana katika mechi ya voliboli. Mpenzi wake aliwekelea beti ya dola tano kuwa anaweza kumshinda. Nick hakuwa na nia ya kumruhusu kushinda! Alicheza kwa bidii na bila huruma. | Nick alimshinda mpenzi wake na mpenzi wake akampa dola tano. | Nick alijitoa kwa sababu hakujali kama mpenzi wake atashinda. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Baadhi ya marafiki na mimi tuliunda timu ya Ulinzi. Tulifanya mazoezi sana kwa ajili ya mashindano yanayokuja. Tulifika kwenye mashindano na tukapitia mikakati. Tulicheza michezo 6 migumu. | Tulifurahia tulivyocheza. | Tulihisi tulikuwa tumecheza vibaya. | 1 | 2 | 2. Tulihisi tulikuwa tumecheza vibaya. | 0 | 0 |
Michelle alipata paka mnene nje ya nyumba yake. Aliweka mabango kila mahali katika mtaa wake. Baada ya wiki tatu hakuna mtu yeyote alikuwa amepigia simu Michelle kuhusu paka huyo. Michelle akaamua kujiwekea paka huyo. | Michelle alimpa jirani paka huyo. | Michelle alimpa paka huyo jina la "Socks." | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Neil alikuwa akizuru Ayalandi. Treni yake ilikuwa imefika Derry. Alipokuwa akishuka, akapumua. Ilikuwa nzuri kama hadithi! | Neil aliamua hatawahi kurudi Ayalandi. | Neil alifurahia Ayalandi. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Neil ni nini?
Hadithi ya Neil ni kwamba alikuwa akizuru Ayalandi na treni yake ilikuwa imefika Derry. Alipokuwa akishuka, akapumua. Ilikuwa nzuri kama hadithi. | 0 | 0 |
Mary alienda kwenye bustani. Alitaka kuonyeshana rinda lake jipya. Ndege akapaa juu ya Mary na kutoa kinyesi. Rinda lake likafunikwa kwa kinyesi cha ndege. | Mary alifurahi kuonyeshana rinda lake. | Mary alikasirika kwamba rinda lake liliharibika. | 2 | 1 | 1. Mary alifurahi kuonyeshana rinda lake. | 0 | 0 |
Scott alijua kuna mtu alikuwa akiiba vifurushi kwenye veranda ya mbele. Akaweka kamera za ulinzi karibu na mlango wake. Alihisi kwamba angalau atakuwa na video ya mwizi. Siku moja, Scott aliona video ya mhalifu. | Scott alimsalimia. | Scott alimkamata mhalifu. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Jumanne lililopita nilishiriki katika darasa langu la kwanza la kuendesha baisikeli ya mazoezi katika ukumbi wa mazoezi. Lilikuwa darasa ngumu zaidi la mazoezi ambalo nimewahi kushiriki. Nilifanya kwa saa moja na miguu yangu ikakufa ganzi. Nilipofika nyumbani miguu yangu ikaanza kuuma na singeweza kutembea. | Nilihisi ni kama ninaweza kukimbia mbio za masafa marefu. | Nilienda kitandani na nikapumzika hadi asubuhi. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Colin alialikwa kwenye baa na marafiki wake. Anapenda bia lakini anafikiria ni ghali mno kwenye baa. Akaamua kwenda. Akajipatia bajeti. | Colin alifuata bajeti yake na kunywa bia 2 pekee. | Colin alikunywa bia kwenye baa usiku mzima. | 1 | 1 | 1. Colin alifuata bajeti yake na kunywa bia 2 pekee. | 0 | 0.181818 |
Sally alisahau kula kiamsha kinywa kabla ya kuondoka nyumbani jana. Akawa na mjadala wa kama atarudi ili apate kitu cha kula. Akaamua kuchukua chakula akiwa njiani kwenda kazini. Akagundua kwamba hana pesa za kununua kiamsha kinywa katika mkoba wake. | Sally alilazimika kukaa njaa. | Sally alinunua kiamsha kinywa kikubwa. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Jordan alikuwa na mpango wa kuhamia Meksiko. Jordan akaamua kwamba anapaswa kujifunza Kihispania. Mwishowe alinunua mpango wa kujifunza lugha kutoka Amazon. Kila siku alitumia programu hiyo kwa angalau saa 2. | Jordan akajifunza mazungumzo kiasi ya Kihispania kabla ya kuhama. | Jordan hakupenda tacos ya samaki hata kidogo. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Ann na Tim walipenda unajimu. Kwa hakika, walikutana walipokuwa wote katika darasa la unajimu chuoni! Walipooana na kupata ujauzito, walikuwa na mtanziko. Walishindwa kuamua jina la maana la binti wao. | Tim na Anna wakaamua watauliza daktari wao wa mifugo. | Baada ya kutafuta sana, Tim na Anna walipata jina kamilifu. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya pili inakataa kujibu swali.
2. Hadithi ya kwanza inakataa kujibu swali. | 0 | 0.133333 |
Fred ni mgeni kabisa kwa mazoezi na amejiunga kuanza kufanya mazoezi. Alishangazwa na jinsi ni ghali kuwa na mkufunzi binafsi. Alitaka kufanya mazoezi lakini hangeweza kumudu ada hizo. Akapata ratiba za wakufunzi binafsi mtandaoni bila malipo. | Hakuwahi tena kufanya mazoezi. | Alifurahia uamuzi wake. | 2 | 2 | 2 | 0 | 1 |
Ilikuwa mechi ya pili ya msimu wa voliboli. Amy alikuwa na matumaini atapata nafasi ya kucheza. Baada ya mchezo wa kwanza walikuwa wanaongoza. Kocha wake akamweka kwenye mchezo. | Mwishowe akapata nafasi ya kucheza katika mechi. | Alimwomba kocha atafute mtu mwingine. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Mimba nne za Ellen ziliharibika kwa mfululizo. Mumewe Tim akakata tamaa ya kuwa baba. Kisha daktari akampigia simu kazini. Akamwelezea kwamba kulikuwa na habari njema kuhusu Ellen. | Daktari akamwelezea TIM kwamba Emily ameenda kukimbia. | Daktari akamwelezea TIM kwamba mwishowe Ellen amepata mimba. | 2 | 1 | 1. Daktari akamwelezea TIM kwamba Emily ameenda kukimbia. | 0 | 0 |
David alimuuliza mama yake kama anaweza kujimwagia kinywaji chake mwenyewe. Mama yake alikubali, lakini akamuonya awe makini. Kwa bahati mbaya David aligonga glasi yake ambayo ilipasuka kila mahali. Mama yake alimsamehe David kwa furaha. | David alikula hambaga ya jibini. | David aliahidi kuwa makini zaidi baadaye. | 2 | 2 | 2. Mwisho 2. David aliahidi kuwa makini zaidi baadaye. | 0 | 0.2 |
Neil alitaka kucheza mchezo wa magongo. Aliazima baadhi ya vifaa kutoka kwa marafiki wake. Kisha akavaa na kuelekea uwanjani. Alifanya mazoezi kwa siku nyingi. | Neil alicheza besiboli. | Neil alicheza katika shindano. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Niliweka blanketi yangu ya utotoni vizuri. Nimekuwa nayo kwa Miaka 30. Nilihama kutoka kwa nyumba yangu. Blanketi yangu ya utotoni ilitoweka. | Bado ninakosa blanketi yangu ya utotoni. | Ninalala na blanketi yangu ya utotoni kila usiku. | 1 | 2 | 2. Niliona blanketi yangu ya utotoni kila usiku. | 0 | 0 |
Rafiki yangu Cam alikuwa muuzaji wa vitabu Amazon. Alikuwa na vitabu 4,000 vilivyohifadhiwa kwenye karakana. Alipata pesa za kutosha kuishi virahisi. Siku moja nyumba yake ilishika moto na akapoteza lundo lake. | Tangu wakati huo Cam aliamua kuchukulia bima mali yake. | Baadaye, Cam aliweza kuuza vitabu zaidi ya alivyowahi kuuza. | 1 | 1 | 1. Hadithi ni nini?
Hadithi ni historia ya Rafiki yangu Cam, muuzaji wa vitabu Amazon. Alikuwa na vitabu 4,000 vilivyohifadhiwa kwenye karakana. Alipata pesa za kutosha kuishi virahisi. Siku moja nyumba yake ilishika moto na akapoteza lundo lake. | 0 | 0.051282 |
Siku ya kuzaliwa ya mwalimu wa Rosie ilikuwa ikikaribia ndani ya siku 5. Rosie hakuwa na pesa za kununua zawadi. Akamwomba nyanya yake amfunze jinsi ya kuchora alizeti. Rosie alichora alizeti kubwa na kuipaka rangimaji. | Mwalimu wa Rosie alipenda zawadi hiyo. | Mwalimu wa Rosie alimwadhibu. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Friji ya Jon ilikuwa imeharibika. Akapigia simu kampuni ya huduma kuikarabati. Wakamwambia wanaweza kuja siku inayofuata mchana. Jon alikutana nao mlangoni walipowasili, na akawaruhusu kuingia. | Kampuni ilitengeneza televisheni yake. | Kampuni ilitengeneza friji yake. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Mwanaume aliagiza saa ya kale kwenye eBay. Alipokea sanduku lenya fyusi sita zilizoharibika na mkebe wa achali. Akawasilisha malalamiko kwa eBay. EBay ikakataa kuchakata fidia. | Mwanaume huyo alikasirika. | Ebay ni kampuni yenye sifa nzuri sana. | 1 | 2 | 2. Hadithi: Mwanaume alikuwa na upole wa kujibu swali.
Tafadhali kusema swali. | 0 | 0 |
Tom na Dick walipenda malori yao. Wangeenda nje jangwani kila wiki. Wangesababisha vumbi itokee na kucheza. Kisha lori la Tom likaharibika. | Liligharimu pesa nyingi, lakini aliweza kulitengeneza. | Tom alijua itagharimu sana kukarabati boti yake. | 1 | 1 | 1. Liligharimu pesa nyingi, lakini aliweza kulitengeneza.
2. Tom alijua itagharimu sana kukarabati boti yake. | 0 | 0.125 |
Harry alienda kwenye bustani ya burudani na familia yake. Baba na ndugu yake walipanda rolakosta kubwa pamoja na yeye. Kisha akapanda magari madogo na mama yake. Familia ilikula kwenye mkahawa uliokuwa kwenye bustani. | Harry hakupenda bustani za burudani. | Harry alikuwa na wakati mzuri kwenye bustani. | 2 | 2 | 2. Hadithi: Harry alienda kwenye bustani ya burudani na familia yake. Baba na ndugu yake walipanda rolakosta kubwa pamoja na yeye. Kisha akapanda magari madogo na mama yake. Familia ilikula kwenye mkahawa uliokuwa kwenye bustani.
Hadithi ni nini?
1. Harry hakupenda bustani za burudani.
2. Harry alikuwa na wakati mzuri kwenye bustani. | 0 | 0.037736 |
Nilikuwa na maonyesho ya sanaa. Mwalimu wangu aliniangusha ijapokuwa nilifanya kila kitu kwa usahihi. Aliniruhusu kurudia maonyesho yangu na kuniangusha tena. Niliamini kwamba nilifanya maonyesho kwa usahihi na nikayaunga mkono. | Mwalimu wangu alipendekeza niende kwa shule ya sanaa. | Mwalimu alikubali kujadiliana na mimi. | 2 | 2 | 2. Mwalimu alikubali kujadiliana na mimi. | 0 | 0.285714 |
Leah alikuwa na mchezo wa magongo. Familia yake yote ilikuja kumshangilia. Lakini alipofika hapo akagundua kwamba walikuwa wachache. Wasichana wachache tu ndio walikuja kucheza. | Leah alifurahi sana kusikia habari hizo. | Mchezo huo ulighairishwa. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Leah ni nini?
Hadithi ya Leah ni kwamba alikuwa na mchezo wa magongo. Familia yake yote ilikuja kumshangilia. Lakini alipofika hapo akagundua kwamba walikuwa wachache. Wasichana wachache tu ndio walikuja kucheza. | 0 | 0 |
Ava alianza kugundua mikunjo kwenye macho yake. Alinunua krimu ghali ya mikunjo. Aliitumia kila usiku. Baada ya mwezi aliangalia macho yake kwa makini. | Akaamua kununua dawa zaidi ya meno. | Alifurahi kuona mikunjo yake imepotea. | 2 | 2 | 2. Alifurahi kuona mikunjo yake imepotea. | 0 | 0.285714 |
Harry alinunua sana mtandaoni na alikuwa akitafuta kununua kamera mpya. Akafanya utafiti wa kamera tofauti mtandaoni na akaamua kununua moja. Akanunua na kamera ikafika kwenye barua wiki iliyofuata. Wakati Harry alipofungua kifurushi, alipata kwamba kamera ilikuwa imeharibika. | Kwa hasira, aliwasiliana na muuzaji ili kulalamika kuhusu uharibifu huo. | Harry alitumia jioni hiyo akipiga picha kwa furaha. | 1 | 1 | 1. Hadithi ya kujibu swali ni nini?
Hadithi ya kujibu swali ni habari ya kujibu swali kwa upole. | 0 | 0.105263 |
Jasper amekuwa akiepuka kupata kazi halisi kwa miezi. Amechukia kazi zote za awali za ofisi ambazo amekuwa nazo. Siku moja akaona nafasi ya kazi katika duka la nyama la eneo lake. Akaomba kazi na kufanikiwa katika duka hilo la nyama. | Jasper akaacha kazi yake siku iliyofuata. | Jasper hufurahia kukata wanyama waliokufa. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Baada ya kukusanya bidhaa zote za sherehe yetu, niliwaalika marafiki wangu. Wengi wao walisisimka kuja kwa ajili ya chakula! Ilichukua takriban saa moja lakini wote walifika kwa wakati unaofaa. Baada ya kuwasili tulianza kula na kufurahia. | Nilitaka sana marafiki wangu waondoke. | Nilipenda kupanga sherehe. | 2 | 2 | 2. Nilipenda kupanga sherehe. | 0 | 0.4 |
Tom aligundua kwamba hafurahishwi tena na kazi yake. Tom akaamua kwamba ilikuwa ni wakati wa kupata kazi mpya. Tom akipitia matangazo na kutuma maombi. Tom alienda kwenye mahojiano ya kazi na kuongea na watu wengi. | Mwishowe alipata nafasi ya kazi. | Tom alihuzunika kuacha kazi yake mbaya. | 1 | 2 | 2. Mwisho 2: Tom alihuzunika kuacha kazi yake mbaya. | 0 | 0 |
Linda alikuwa amealikwa katika nyumba ya mwanafunzi mwenza Briteni kwa chai. Akaamua kubeba kitu ili kuonyesha shukrani zake. Akapata mapishi ya mtandaoni ya skonzi za ndimu, na akazioka. Skonzi hizo zilikuwa tamu na alijivunia kuzikabidhi kwa mwenyeji wake. | Walikuwa na sherehe nzuri ya chai. | Mwanafunzi mwenza wa Linda alimtaka aondoke. | 1 | 2 | 2. Mwisho 2. | 0 | 0 |
Ashley alipata malipo yake ya ushuru. Kwa hivyo akaamua kwenda kwenye jengo lenye maduka. Ashley na mkazi-mwenza wakaendesha gari hadi kwenye jengo lenye maduka. Walienda duka moja hadi lingine wakijaribu vitu. | Ashley hakuweza kununua kitu chochote kwa sababu hakuwa na pesa. | Walinunua nguo nyingi. | 2 | 1 | 1. Ashley hakuweza kununua kitu chochote kwa sababu hakuwa na pesa. | 0 | 0 |
Paul alihitimu shule ya upili. Hakukubaliwa katika chuo cha elimu. Mama yake akamshauri apate kazi. Paul akakubali. | Paul alimkasirikia mama yake. | Paul alipata kazi. | 2 | 1 | 1. Paul alimkasirikia mama yake.
2. Paul alipata kazi. | 0 | 0.2 |
Wakazi-wenza wa Harvey walimtania kuhusu alivyokuwa mwembamba sana. Walikuwa wacheza mpira wenye majisifu. Walimwita Harvey acheze mchezo wa ping pong, wakimtarajia ashindwe. Lakini hawakujua kwamba Harvey alikuwa mchezaji wa daraja la kitaifa. | Harvey alibabaika, na kupoteza kila mechi aliyocheza. | Walikaa vinywa wazi wote huku Harvey akiwashinda wote. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya kujibu swali ni nini?
Hadithi ya kujibu swali ni kwamba Harvey alibabaika, na kupoteza kila mechi aliyocheza. | 0 | 0 |
Ninafikiria ni jana ndio nilipogundua sipaswi kuwa mwanahisabati. Nilikuwa katika duka mboga, nikiongezea bidhaa za wiki ijayo. Nilikuwa nimenunua bidhaa ishirini, na nikafikiria nilikuwa chini ya bajeti yangu. Nilipoenda kulipia, nilikuwa nimezidisha kwa dola kumi! | Kisha nikagundua kwamba sikuwa mzuri kwa hisabati. | Kisha nikajua kwamba nilikuwa mzuri kwa hisabati! | 1 | 2 | 2. Kisha nikajua kwamba nilikuwa mzuri kwa hisabati! | 0 | 0 |
Gari nyekundu la familia yangu liliharibika mwaka uliopita. Familia yetu ilihitaji gari lenye milango 2 ambalo lilikuwa likitumia mafuta vizuri. Tuliwatembelea watu wachache waliokuwa wakiuza magari. Wazazi wangu waliwatafuta wauzaji wengi. | Walinunua gari lingine nyekundu. | Wazazi wangu walinunua pikipiki-baisikeli zilizokuwa zikifanana. | 1 | 1 | 1. Hadithi ya pili ni nini?
Hadithi ya pili ni kwamba familia yetu ilihitaji gari lenye milango 2 ambalo lilikuwa likitumia mafuta vizuri. | 0 | 0.083333 |
Simu ya Gina ilikufa walipokuwa wakiendesha gari kwenye barabara kuu. Aliichomeka kwenye kiti cha mbele, lakini alikuwa kwenye kiti cha nyuma. Alikuwa ameboeka bila simu yake kwa hivyo akajaribu kuifikia. Alikuwa mwisho na ilikuwa mbali sana. | Alifanya kama mtoto mtukutu na kupiga kelele. | Gina hajali kuhusu elektroniki. | 1 | 2 | 2. Gina hajali kuhusu elektroniki. | 0 | 0 |
Nilikuwa nimetulia tu kwenye varanda nikifurahia siku yangu. Wakati ghafla bin vuu, sauti kubwa ikatatiza amani yangu. Nikaruka kwa mshangao. Mlango ukafunguka kwa kishindo. | Niligundua ninahitaji kelele ili kulala. | Niligundua ilikuwa ni upepo tu. | 2 | 2 | 2. Niligundua ilikuwa ni upepo tu. | 0 | 0.285714 |
Maktaba ya ndani ya Gina haikuwa na vitabu kuhusu pomboo. Alihitajika kutafuta maktaba nyingine. Iliyokuwa karibu zaidi ilikuwa mjini. Mama yake alikataa kumpeleka. | Gina na mama yake walienda mara moja. | Gina aliamua kutembea badala yake. | 2 | 1 | 1. Gina na mama yake walienda mara moja. | 0 | 0 |
Alan alipata bunduki katika siku yake ya kuzaliwa ya 18. Baba yake alimpeleka kwenye uwanja wa kujifunza kupiga risasi. Alan alikuwa mbaya katika kupiga risasi! Lakini alivumilia na kujifunza sana. | Kisha akaenda kulala. | Sasa anapenda kwenda kuwinda. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Alan alipata bunduki katika siku yake ya kuzaliwa ya 18. Baba yake alimpeleka kwenye uwanja wa kujifunza kupiga risasi. Alan alikuwa mbaya katika kupiga risasi! Lakini alivumilia na kujifunza sana.
Hadithi ya Alan alipata bunduki katika siku yake ya kuzaliwa ya 18. Baba yake alimpeleka kwenye uwanja wa kujifunza kupiga risasi. Alan alikuwa mbaya katika kupiga risasi! Lakini alivumilia na kujifunza sana. | 0 | 0 |
Jay alikuwa akimalizia chakula cha mchana McDonald, huku akitupa takataka yake. Punde tu alipoitupa, akagundua kulikuwa na promosheni iliyokuwa ikiendelea. Kulikuwa na baadhi ya vipande vya mchezo kwenye pakiti yake ya chipsi kwa hivyo akavichukua. Akabambua kipande cha mchezo na alishindwa kuamini. | Joy alifikiria Burger King ilikuwa nzuri. | Alikuwa ameangalia kwenye takataka bure. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Kulikuwa na mwanaume aliyekuwa akiitwa John. Alikuwa akifanya kazi kiwandani. Kiwanda hicho kilimpiga kalamu kwa kazi yake mbaya. Kama matokeo yake, alilazimika kutafuta kazi nyingine. | John alikuwa mfanyakazi mwenye shida. | John alikuwa mfanyakazi bora. | 1 | 1 | 1. John alikuwa mfanyakazi mwenye shida. | 0 | 0.285714 |
Kim alimwona mama akiondoa mizigo kwenye rukwama yake ya ununuzi kwenye eneo la maegesho. Mtoto mchanga wa mama huyo alikuwa ameketi kwenye kiti cha watoto cha rukwama. Kwa ghafla, huku mama akiwa amepinduka, rukwama hiyo ilianza kwenda! Kim, akigundua kwamba mtoto yupo katika hatari kubwa, akakimbia kuwadia rukwama hiyo. | Kwa urahisi Kim alimwokoa mtoto. | Kim aliokoa rukwama lakini akamwachilia mtoto aende. | 1 | 1 | 1. Kim alimwona mama akiondoa mizigo kwenye rukwama yake ya ununuzi kwenye eneo la maegesho.
A. Kwa urahisi
B. Kwa upole | 0 | 0.090909 |
Babake Kev alimwomba ampeleke kuwinda. Kev akasema atafikiria. Kisha akaamua hapendi kuwinda. Alifikiria kuwa ni ukatili kwa wanyama. | Kev alisisimka kujaribu bunduki yake mpya. | Kev aliamua kutoenda kuwinda. | 2 | 2 | 2. Tafadhali kujibu swali huko:
Hadithi: Babake Kev alimwomba ampeleke kuwinda. Kev akasema atafikiria. Kisha akaamua hapendi kuwinda. Alifikiria kuwa ni ukatili kwa wanyama.
Tafadhali kujibu swali huko:
Hadithi: Babake Kev alimwomba ampeleke kuwinda. Kev akasema atafikiria. Kisha akaamua hapendi kuwinda. Alifikiria kuwa ni ukatili kwa wanyama.
Tafadhali kujibu swali huko:
Hadithi: Babake Kev alimwomba ampeleke kuwinda. Kev akasema atafikiria. Kisha akaamua hapendi kuwinda. Alifikiria kuwa ni ukatili kwa wanyama. | 0 | 0.028169 |
Wakati Emily alikuwa mdogo aliweza kwenda kwenye tamasha lake la kwanza. Alikuwa na wasiwasi kwa sababu ya watu wote kwenye tamasha. Emily alisisimka sana kumwona msanii wake anayependa jukwaani. Tikiti ya tamasha ilikuwa zawadi ya Emily ya siku yake ya kuzaliwa. | Emily aliamua hakutaka tikiti ya tamasha. | Hii ilikuwa zawadi nzuri kabisa ya siku ya kuzaliwa ambayo Emily amewahi kupokea. | 2 | 2 | 2. Hii ilikuwa zawadi nzuri kabisa ya siku ya kuzaliwa ambayo Emily amewahi kupokea. | 0 | 0.133333 |
Lina alitaka kutengeneza donati. Akatuma maombi kwenye duka la donati. Kwa furaha yake, alikuwa ameajiriwa! Akaanza kwenda kazini kutengeneza donati. | Lina alichukia donati. | Lina alipenda kazi yake mpya. | 2 | 1 | 1. Lina alikuwa ameajiriwa! Akaanza kwenda kazini kutengeneza donati.
2. Lina alikuwa ameajiriwa, lakini hapokuwa kazi yake mpya. | 0 | 0.105263 |
Darasa langu lilienda Everglades kwa safari yetu ya kimasomo. Tuliweza kutembelea maeneo mbalimbali katika misitu kadhaa. Tulipata pia nafasi ya kusafiri majini. Safari ya basi kurudi nyumbani ilikuwa ndefu na ya kuchosha. | Nilikuwa nimetiwa nguvu nilipofika nyumbani. | Nilikuwa nimechoka nilipofika nyumbani. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Kundi la wafanyakazi kutoka Mechanical Turk walijiunga na mdahalo. Waliunda kikundi na kudai nguvu zaidi na zaidi. Andy, mmiliki wa mdahalo, alichoka, na kuwaambia hivyo pia. Wakatoka kwa kiburi ili watengeneze mdahalo wao peke yao. | Mdahalo huo mpya ulikuwa wao wa kutawala. | Walirudi kwenye mdahalo baadaye kwa sababu waliupenda sana. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Mvulana mdogo wa Donna, Ty, hakupenda kukatwa kucha. Kucha za mtoto huyo zilikuwa zimekuwa ndefu zaidi ya alivyotaka. Donna akaamua kusubiri hadi alale. Mara Ty alipokuwa amelala, Donna akakata kila kucha kwa utaratibu. | Donna alikuwa na wakati rahisi zaidi kwa sababu Ty alikuwa amelala. | Donna alitamani ningeweza kuamka. | 1 | 2 | 2. Donna alitamani ningeweza kuamka. | 0 | 0 |
Gina hakutaka kuketi katika dawati lake karibu na marafiki wake wa zamani. Angeweza kuhisi mvutano kati yao. Akaamua kuomba kwenda kwenye maktaba. Mwalimu wake akakubali kumruhusu kwenda kwa saa moja. | Gina alikasirika kwamba alienda kwenye maktaba. | Gina alihisi utulivu zaidi alipofika kwenye maktaba. | 2 | 1 | 1. Gina alienda kwenye maktaba. | 0 | 0 |
Vivienne alitaka kuhama kutoka Ufaransa hadi Marekani. Sehemu ya mchakato wa uhamiaji ilikuwa mahojiano kuhusu nia yake. Vivienne hakuwa na malengo yoyote au matamanio ya kikazi. Mahojiano hayakuenda vizuri. | Punde Vivienne alipata visa yake kwenye barua. | Vivienne hakupewa visa. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Frank alijaza dazeni ya maputo ya maji ya kumrushia dada yake. Kumbe hakujua alikuwa tayari. Alipoanza shambulizi, alitoa bunduki kubwa ya maji. Ilifanya kazi vizuri zaidi kuliko maputo yake. | Frank alijiandikisha katika darasa la biolojia ya mambo ya baharini. | Frank alinunua bunduki ya maji siku iliyofuata. | 2 | 2 | 2. Frank alinunua bunduki ya maji siku iliyofuata. | 0 | 0.222222 |
Matt alikuwa nje akitembea na mama yake. Ghafla akaona kitu kinachongaa sakafuni. Akainama na kukichukua. Kilikuwa pete ya dhahabu! | Matt alisisimka sana kuwa na bahati hivyo. | Matt alifadhaika kuhusu alichokipata. | 1 | 1 | 1. Hadithi ya matukio ya Matt alikuwa na nini?
Matukio ya Matt yalepwa matukio ya matukio ya kujibu swali. | 0 | 0.1 |
Babake Gina alifika kwenye eneo la maegesho la saa 24 la Walgreen. Ilikuwa karibu 4 AM lakini kila mtu aliingia ndani. Walihitaji miswaki kabla ya kwenda kwenye nyumba ya bibi. Ilikuwa kazi ya Gina kuzipanga kabla ya kuondoka. | Familia ya Gina ilikuwa na furaha kwamba miswaki yao haikuwa imepangwa. | Gina alihisi vibaya kuhusu kusahau miswaki ya kila mtu. | 2 | 2 | 2. Gina alihisi vibaya kuhusu kusahau miswaki ya kila mtu. | 0 | 0.181818 |
John alisisimka kuwa na mahojiano ya kazi. Alienda kwenye mahojiano akiwa amejiandaa vizuri na amevaa vizuri. Wakati wa mahojiano alikuwa akiongea sana na wa kupendeza. Meneja wa kampuni alifurahishwa sana na maoni ya John. | John alitoa maoni kuhusu jinsi alivyofikiria mahali hapo panaendeshwa vibaya. | Meneja aliamua kumpa John kazi. | 2 | 2 | 2. Meneja aliamua kumpa John kazi. | 0 | 0.285714 |
Ben alitaka glasi ya maji ya machungwa. Hakukuwa na yoyote nyumbani. Hata hivyo, kulikuwa na mfuko wa machungwa. Akayagawanya na kutoa mashine ya kutengenezea maji ya machungwa. | Ben alitengeneza maji ya machungwa yaliyokamuliwa kutoka kwa machungwa. | Ben alionja maji yake ya tofaa kwa kutosheka. | 1 | 1 | 1. Hadithi ya Ben alitaka glasi ya maji ya machungwa. Hakukuwa na yoyote nyumbani. Hata hivyo, kulikuwa na mfuko wa machungwa. Akayagawanya na kutoa mashine ya kutengenezea maji ya machungwa.
Hadithi ya Ben alitengeneza maji ya machungwa yaliyokamuliwa kutoka kwa machungwa. | 0 | 0.047619 |
Reg alitarajia siku yenye theluji. Kulikuwa na dhoruba mbaya usiku kucha. Alipata matakwa yake na shule ikaghairishwa! Alitumia ziku nzima akicheza kwenye theluji akitengeneza watu wa theluji. | Reg alitarajia hakutawahi kuwa na theluji tena. | Reg alitarajia atapata siku nyingine ya theluji hivi karibuni. | 2 | 2 | 2. Reg alitarajia atapata siku nyingine ya theluji hivi karibuni. | 0 | 0.181818 |
Caroline hanywi kamwe vinywaji vyenye kaboni. Marafiki wake humwonea kwa sababu ya hiyo. Siku moja walimwita katika shindano na kunywa soda. Caroline alitaka kushinda shindano hilo. | Caroline alikataa kufungua soda. | Caroline alifungua soda na kuinywa yote kwa wakati mmoja! | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Tom na Cindy walikuwa wakila mashimelo. Lakini Tom akaanza kuchoka nazo. Cindy akapendekeza kukausha mashimelo hizo. Na Tom akakubaliana na pendekezo lake. | Tom akaamka na kwenda kuogelea. | Tom alifurahia mashimelo zilizokaushwa. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Tom alikuwa na upole.
2. Hadithi ya Cindy alikuwa na upole. | 0 | 0.133333 |
Mwanaume mkahawani alifunga sandwichi kwa ajili ya mteja. Akatoa mfuko wa kahawia na kuuweka kwenye kaunta. Mwanaume huyo mkahawani akachukua sandwichi na kuiweka ndani ya mfuko. Mfuko huo ukaanguka ulipogongwa na sandwichi. | Mwanaume huyo mkahawani akasema sandwichi hiyo itagharimu zaidi sasa. | Mwanaume huyo mkahawani aliomba msamaha. | 2 | 1 | 1. Mwanaume huyo mkahawani akasema sandwichi hiyo itagharimu zaidi sasa. | 0 | 0 |
Bob alikuwa katika duka la mboga. Alipokuwa akilipa, akagundua alisahau kadi yake ya mkopo. Mwanamke aliyekuwa nyuma yake akajitolea kulipia mboga zake. Bob alishukuru sana. | Akaahidi kumrudishia fedha zake. | Bob alikimbia kwa hofu. | 1 | 2 | 2. Bob alikimbia kwa hofu. | 0 | 0 |
John alinunua bunduki mpya. Alipenda sifa zote za usalama. Alikuwa akionyesha rafiki yake. Kwa bahati mbaya ikafyatuka. | John hakuwa na bunduki. | John alishangaa. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya John alishangaa. | 0 | 0 |
Neil alikuwa akizuru jiji la Luxor. Akaenda safari ili kujifunza kuhusu historia ya Misri. Alijifunza mambo mengi. Kisha wakawa na chakula cha mchana cha mandari kwenye kingo za mto Nile. | Neil hakuvutiwa na historia ya Misri. | Neil alikuwa na matukio mazuri ya kielimu na kitamaduni. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Neil ni nini?
Hadithi ya Neil ni historia ya kujiunga safari ili kujifunza kuhusu historia ya Misri. | 0 | 0 |
John havutiwi na kujaribu vyakula vipya. Mama yake amekuwa akimfanya ajaribu kuuma mara 2 kitu kipya. Ikiwa hatakipenda, si lazima akile tena. Siku moja alimpa chakula kinachofanana na kinamasi kinachoitwa papai. | John alijua shamba lake la papai lilihitaji uwekezaji upya wa mtaji. | John alikula, lakini akamwambia mama yake kwamba hataki kuila tena. | 2 | 1 | 1. John alijua shamba lake la papai lilihitaji uwekezaji upya wa mtaji. | 0 | 0 |
Nina soksi ninazozipenda. Wiki iliyopita nilikuwa nikifua nguo. Moja ya hizo mbili ilipotea. Nikatafuta kila mahali na sikuweza kuipata. | Soksi zangu zote zilikuwepo. | Mwishowe ilionekana. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Alex alikimbia mjini ili kufikia nyumba ya rafiki. Hakujua kwamba kamba ya kiatu chake ilikuwa imefunguka. Alikuwa amepita nyumba tatu kabla ifanyike. Alitegwa na kamba hiyo yake ya kiatu. | Baadaye Alex aliwania kiti kwenye bodi ya shule. | Alex akaamua atakuwa akiangalia kamba zake za viatu kila wakati kabla ya kuondoka. | 2 | 2 | 2. Alex akaamua atakuwa akiangalia kamba zake za viatu kila wakati kabla ya kuondoka. | 0 | 0.133333 |
Nina alitaka ubao mtelezo. Lakini hakujua msichana yeyote wa kumfunza! Kwa hivyo alinunua ubao mtelezo wake mwenyewe. Akaanza kuteleza kivyake, polepole. | Muda si muda Nina akawa mchezaji bora wa mpira wa kikapu katika jimbo. | Baada ya muda akawa mzuri sana. | 2 | 2 | 2. Baada ya muda akawa mzuri sana. | 0 | 0.25 |
Sal alipenda kiini macho. Yeye hujaribu kila wakati kuhadaa familia yake. Siku moja alijaribu kuvuta sungura kutoka kwa kofia yake. Lakini kofia ikararuka na sungura akaanguka. | Watu waliokuwa wakimtazama wakampongeza. | Na hivyo ndivyo Sal alivyoacha kiini macho. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Sal alikuwa nini?
Hadithi ya Sal alikuwa kwamba yeye hujaribu kila wakati kuhadaa familia yake. | 0 | 0 |
Lisa alitaka kutengeneza keki. Kwanza alipaswa kuamua ni aina gani ya keki alitaka kuoka. Baadaye alipaswa kwenda kununua viungo. Akaamua kutengeneza keki ya chokoleti. | Lisa alipenda kuoka. | Lisa anachukia kuoka. | 1 | 1 | 1. Lisa alikuwa na upole.
2. Lisa alikuwa na upole, lakini hayo hayo hayo walipotea. | 0 | 0.125 |
Kila mara Javier huwagundua watoto wakicheza mpira wa mikono karibu na nyumba yake. Alitaka kujiunga nao lakini aliogopa. Siku moja akapata ujasiri wa kucheza mpira wa mikono nao. Akapata kwamba walikuwa wazuri sana. | Javier alienda kwenye duka ndogo baada ya shule. | Javier alianza kucheza nao mpira wa mikono mara kwa mara. | 2 | 2 | 2. Javier alianza kucheza nao mpira wa mikono mara kwa mara. | 0 | 0.166667 |
Gordon alimnululia mtoto wake mvulana gari la rimoti kwa ajili ya Krisimasi. Lakini akagundua linahitaji betri za AA. Gordon hakuweza kupata yoyote. Kwa hivyo siku iliyofuata, alienda kwenye duka la vitu vya kuchezea ambapo alinunua gari. | Akanunua pakiti kubwa ya betri za AA. | Akajinunulia gari lingine la rimoti. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Mim alikuwa akiendesha gari kwenye barabara kuu wakati wa dhoruba mbaya ya theluji. Kulikuwa na theluji nyingi sana, Mim akasimamisha gari lake. Akagundua watu wengine walikuwa wakifanya hivyo pia. Akapata blanketi ya dharura kutoka kwenye kiti cha nyuma, na akala kitafunio. | Mim akarudi barabarani na kuendesha kwa haraka ili kufidia muda. | Mwishowe kukaacha kuwa na theluji. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Jana, mama mkwe alipiga simu, na alitaka kwenda nje dukani. Alinichukua saa 4:30, na tukatoka. Tulienda duka moja baada ya nyingine tukitafuta dili nzuri. Hakuna duka lolote lilikuwa na kitu kizuri cha kununua. | Tulirudi nyumbani na mifuko sita ya bidhaa. | Tulienda nyumbani bila kununua kitu chochote. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Jana ni ya:
a. Kazi
b. Usiku
c. Matukio
d. Uchaguzi | 0 | 0 |
Betsy alikimbia kila mahali alikoenda. Alikuwa akikimbia shuleni ilipofanyika. Aliteleza na kuanguka futi kadhaa. Alivunjika mkono wake sehemu kadhaa. | Betsy alikuwa amepelekwa hospitalini kuwekwa plasta. | Betsy alicheza tenisi baadaye. | 1 | 1 | 1. Hadithi ya Betsy ni nini?
Ans: Hadithi ya Betsy ni kwamba alianza kimbia shuleni ilipofanyika. | 0 | 0.117647 |
Sarah aliogopa bembea alipokuwa akikua. Angelia kila wakati alipoenda kwenye uwanja wa kucheza. Mwishowe, wiki iliyopita alijaribu kubembea kwa mara ya kwanza kwa Miaka. Aliipenda sana hadi akabembea kwa saa moja. | Bembea hiyo ilivutwa kwa nguvu na upepo. | Hofu yake iliisha alipokuwa akibembea. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Mara kwa mara Malamute amekuwa akinusa slaidi wakati wa matembezi yake. Siku moja mmiliki wake akampeleka juu ya jukwaa. Aliogopa kuteremka chini. Waliendelea kufanya hivi kila siku wakitembea. | Mmiliki wa Malamute hajawahi kumpelekea kwenye slaidi tena. | Mwishowe Malamute alijaribu kuteremka slaidi. | 2 | 2 | 2. Mwisho 2. | 0 | 0.5 |
Leo ilikuwa ni sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Tim. Kwa kuwa alikuwa mgonjwa, hangeweza kwenda nje. Hata hivyo, familia iliamua kuja nyumbani mwake. Tulimletea keki na chakula cha mkahawani. | Tim alifurahi sana kukumbukwa. | Tim alikasirishwa na kushughulikiwa. | 1 | 1 | 1. Hadithi ya leo ni nini?
Hadithi ya leo ni kwamba Tim alikuwa ni sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Tim. | 0 | 0.090909 |
Frankie alimpenda mwanaume aliyejitenga na wa mbali. Mwanaume aliyempenda hakuwa mzuri sana kwake. Alikuwa na mahusiano na watu wengine mjini. Frankie alimuacha. | Frankie alienda kutazama filamu. | Frankie alipata mwanaume mwingine. | 2 | 1 | 1. Frankie alienda filamu. | 0 | 0 |
Nancy alikuwa ameketi karibu na jengo la sayansi. Ian akajaribu kumkaribia kisiri. Hakugundua hadi alipoangalia. Ian alimrushia pai moja kwa moja kwenye uso wake. | Nancy alikamata pai hiyo na kuanza kuila. | Nancy alianza kulia na kuhisi amedhalilishwa. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
George alikuwa na tarajali. Alitaka sana kupata kazi ya muda wote na kampuni. George alifanya kazi kwa bidii na kuthibitisha kuwa ni mwerevu. Nafasi ilipatikana ambayo George alitaka. | Akatuma ombi kwa shauku na mwishowe akaajiriwa. | Kwa hivyo akaamua kwenda nyumbani mapema hiyo siku na kuacha tarajali yake. | 1 | 1 | 1. Akatuma ombi kwa shauku na mwishowe akaajiriwa. | 0 | 0.222222 |
Alichokihitaji sana Kevin katika maisha kilikuwa kumnunulia nyumba mchumba wake. Ilimwingia kichwani sana, huku akiweka akiba ya kila ndururu. Alifanya kazi mbalimbali na kuishi kama masikini. Baada ya mwaka, Kevin alikuwa na pesa za kutosha za malipo ya kwanza. | Kevin alinunua nyumba. | Kevin alitumia pesa ambazo alikuwa ameweka akiba kununua gari la mashindano. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Joe alikuwa na mhasibu. Hakuwa akimzingatia mhasibu wake. Hadi siku moja akagundua hakuwa na pesa. Kwa hasira Joe akaingia kwenye ofisi ya mhasibu. | Joe alienda kukimbia ufuoni. | Joe alimuuliza mhasibu ni nini kilichofanyika. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya kujibu swali ni nini?
Hadithi ya kujibu swali ni habari ya kwamba Joe alienda kukimbia ufuoni. | 0 | 0 |
Sven alikuwa masikini sana. Ndugu ya Sven alimwambia kuna pesa nyingi kwenye treni. Kwa hivyo Sven na ndugu yake wakaanzisha genge. Wakaibia treni! | Sven alikamatwa na kufungwa muda mfupi baadaye. | Sven alitoa mchango wa pesa hizo kwa shirika la ufadhili. | 1 | 1 | 1. Sven alikamatwa na kufungwa muda mfupi baadaye.
2. Sven alitoa mchango wa pesa hizo kwa shirika la ufadhili. | 0 | 0.1 |
John aligunduliwa kuwa na saratani ya mifupa. Alikuwa na huzuni na akahisi ameshindwa. Lakini, akaamua kujisajili katika kemotherapi na kupambana na ugonjwa huo. Alingangana kwa miaka miwili kushinda saratani. | Mwishowe John alishinda saratani. | John alitarajia kwamba hatahisi nafuu. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Kila mtu alimwambia Matt alikula nyama nyingi nyekundu. Alipuuza maonyo yao yote kuhusu nyama nyekundu na matatizo ya afya. Siki moja baada ya hambaga tamu, Matt alipata mshtuko wa moyo. Matt akawa mla mboga baada ya kutoka hospitalini. | Alibakia bila mshtuko wa moyo kwa maisha yake yote. | Matt alisheherekea kutoka hospitalini na kipande kikubwa cha nyama. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Binti yangu alimleta mbwa kucheza na mbwa wangu. Mbwa wake ni mkubwa na mwenye nguvu. Mbwa wangu ni mdogo, mtulivu na mzee. Ni tofauti kabisa. | Paka walichafua nyumba! | Hata hivyo, mbwa wote walifurahia kucheza pamoja. | 2 | 1 | 1. Paka walichafua nyumba!
2. Hata hivyo, mbwa wote walifurahia kucheza pamoja. | 0 | 0.153846 |
Niliamua kukodisha filamu wakati marafiki walipokuja usiku uliopita. Baada ya kupitia machaguo tukaamua filamu ya kutisha. Tulichagua filamu nzuri na kuketi na bisi. Ilikuwa inatisha sana! | Nilikuwa na wakati mgumu kulala usiku huo. | Kwa ujumla sikuridhika na usiku huo. | 1 | 2 | 2. Kwa ujumla sikuridhika na usiku huo. | 0 | 0 |
Sandy ni mama ya Louie. Louie ni mtoto wa mbwa. Familia nzuri ilimchukua Sandy. Waliamua kumchukua Louie pia. | Louie alitembea kando mwa ufuo wenye mchanga, akiwa mpweke. | Mbwa walionekana wanafuraha kukaa pamoja. | 2 | 1 | 1. Louie alitembea kando mwa ufuo wenye mchanga, akiwa mpweke.
2. Mbwa walionekana wanafuraha kukaa pamoja. | 0 | 0.117647 |
Lia alikuwa akijaribu kupoteza uzani. Akaacha kula vyakula visivyofaa na vyakula vyenye mafuta. Lakini alisumbuka bado na kupoteza uzani. Kisha akaanza kukimbia kila siku kwenye mashine yake ya mazoezi ya kutembea. | Akaanza kupoteza uzani. | Akaongeza pauni 50. | 1 | 2 | 2. Akaongeza pauni 50. | 0 | 0 |
Nilisafisha pete yangu ya harusi. Kwanza niliiweka kwenye kisafishaji ili kulowa. Kisha niliipanguza kwa brashi ili kuhakikisha nimeondoa kila kitu. Kisha nikairejesha kidogo ndani ya kisafishaji. | Nikaamua kutupa pete. | Ilitoka kama imeng'aa. | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Gina alipenda kujitolea katika makazi ya watu wasiokuwa na makao. Alikuwa ametumia Miaka nyingi akienda hapo kwa saa nyingi kwa wiki. Wafanyakazi wakaamua kufanya kitu ili kuonyesha shukrani zao. Wakachanga na kumpa Gina zawadi. | Gina akaacha kujitolea kwa sababu alihisi kuwa hathaminiwi. | Gina aliguswa sana hadi akalia walipompa zawadi. | 2 | 1 | 1. Gina akaacha kujitolea kwa sababu alihisi kuwa hathaminiwi. | 0 | 0 |
Tom na Susan wameoana kwa Miaka minane. Kwa wiki iliyopita Susan amekuwa akihisi kichefuchefu kila asubuhi. Asubuhi ya leo alifanya kipimo cha ujauzito ambacho kilionyesha yeye ni mjamzito. Susan alipanga chajio maridadi na mishumaa ili kumwambia Tom habari hizo nzuri. | Tom alifurahi kuwa na mtoto. | Hakumwambia Tom. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Gina alikuwa katikati mwa kiti cha nyuma akiwa amezungukwa na ndugu zake. Walikuwa wakisafiri nje ya mji katika msongamano mkubwa wa magari. Gina aliangalia nje ya dirisha. Ndani ya gari lililofuata kulikuwa na mtoto aliyekuwa akionyesha mdomo wake wenye chakula kilichotafunwa. | Gina akaendelea kukazia macho. | Gina alichukizwa. | 2 | 2 | 2. Mwisho 2. Gina alichukizwa. | 0 | 0.333333 |
Greg alikuwa akicheza mpira kivyake. Alikuwa ameboeka. Aliwataka marafiki wake. Marafiki wake wakaja. | Greg aliboeka hata zaidi. | Walicheza mpira jioni nzima. | 2 | 1 | 1. Hadithi ya Greg ni nini?
Hadithi ya Greg ni kwamba aliboeka hata zaidi. | 0 | 0 |
Pamela alinunua chombo cha kale katika mauzo ya bidhaa. Anafikiria kitaonekana vizuri na mapambo katika nyumba yake. Alipofika nyumbani aligundua kwamba majivu ya mtu mwingune yalikuwa mle ndani. Pamela alirejesha chombo hicho. | Pamela alipokea fidia kamili na chombo bila malipo kwa shida alizopitia. | Pamela alifurahi kuhusu ununuzi wake. | 1 | 2 | 2. Mwisho 2. Pamela alifurahi kuhusu ununuzi wake. | 0 | 0 |
Jane alisisimka angalau kufika nyumbani mapema. Alifanya kazi ya kusafisha ofisi usiku. Alikuwa ametangulia ratiba yake ya kawaida. Alipofika katika ofisi ya mwisho akagundua uchafu mwingi. | Jane alifurahi kwamba alilazimika kubaki nyuma na kusafisha ofisi. | Jane alivunjika moyo kwamba alilazimika kubaki nyuma na kusafisha ofisi. | 2 | 2 | 2. Jane alivunjika moyo kwamba alilazimika kubaki nyuma na kusafisha ofisi. | 0 | 0.166667 |
Kate alitaka kuanzisha kampeni mpya ya kuenea kote. Kate alitaka kupata njia ya kila raia wa kawaida kufanya kitu kizuri. Kate akaamua kuunda video kuhusu kampeni yake. Baada ya kuchapisha video yake, Kate alipata majibu mengi kupita kiasi. | Kate alitamaushwa. | Kate alifurahi! | 2 | 1 | 1 | 0 | 0 |
Mimi na mume wangu tulikodisha gari la likizo. Gari tulilopata lilikuwa mbaya sana. Vifuta maji havikuwa vikifanya kazi, na taa hazikuwa zikiwaka. Lilinuka vibaya na lilikuwa chafu sana. | Hatutawahi kukodisha kutoka kwa kampuni hiyo ya gari tena. | Tunatazamia kukodisha kutoka kwa kampuni hiyo moja ya gari tena. | 1 | 1 | 1 | 0 | 1 |
Fred alipokea mashine ya kutengenezea kahawa kwa ajili ya Krisimasi. Mwishowe alikifungua baada ya kukiacha ndani ya sanduku lake kwa wiki chache. Fred akaamua kujitengenezea capuccino. Kwa mshangao wake, ilikuwa inaonja vizuri kama zile anazonunua nje. | Frank ataokoa karibu $25 kwa wiki akijitengenezea kahawa yeye mwenyewe. | Frank alibadilisha akaanza kunywa chai na akapeana mashine hiyo ya kutengenezea kahawa. | 1 | 1 | 1. Fred alikuwa na upole wa kujiunga na chama cha kuunda kahawa. | 0 | 0.153846 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.