eng
stringlengths 1
601
| swc
stringlengths 2
607
|
---|---|
When lovingly administered , discipline will help your children learn to accept correction humbly - a skill they will need even as adults . - Hebrews 12 : 11 .
|
Watakuwa na lazima ya sifa hiyo hata wakati watakuwa watu wakubwa . - Waebrania 12 : 11 .
|
Many children feel that the simplified Watchtower has been provided especially for them .
|
Watoto wengi wanasema kwamba Gazeti Munara wa Mulinzi katika Kiingereza rahisi lilifanywa kabisa kwa ajili yao .
|
People , especially the elderly , are deeply shocked . "
|
Watu , hasa wazee - wazee , wameshtuka sana . "
|
Some say that since Jesus was not a Levite , he would not have been allowed to stand on top of the temple sanctuary .
|
Watu fulani wanasema kwamba kwa sababu Yesu hakuwa Mulawi , hangeruhusiwa kupanda juu ya patakatifu pa hekalu .
|
People are attracted to someone who uses kind , tactful speech and who shows consideration for others .
|
Watu huvutiwa na mtu anayesema kwa fadhili na busara na anayewajali wengine .
|
People in his town told him that such a place really existed , although it was a long distance away .
|
Watu wa mji wa kwao walimweleza kwamba mahala pa aina hiyo palikuwapo , ingawa palikuwa mbali sana .
|
Wicked people will be removed from the earth , allowing good people to " find exquisite delight in the abundance of peace . " - Psalm 37 : 10 , 11 .
|
Watu wabaya wataondolewa katika dunia ili watu wazuri ' wapate furaha yao tele katika wingi wa amani . ' - Zaburi 37 : 10 , 11 .
|
People have fought and suffered , lived and died , in pursuit of freedom .
|
Watu wamepigana na kuteseka , kuishi na kufa , wakitafuta uhuru .
|
When will lawless ones mentioned in the parable of the wheat and the weeds weep and gnash their teeth ?
|
Watu wanaoasi sheria wanaozungumuziwa katika mufano wa Yesu watalia na kusaga meno wakati gani ?
|
When adults take a child into their home and agree to become responsible for housing , feeding , and raising the child , caring for the child 's needs , they indeed become " real " parents .
|
Watu wanapomchukua mtoto nyumbani mwao na kukubali kumwandalia makao , chakula , malezi , na kumtimizia mahitaji yake , kwa hakika wanakuwa wazazi wake " halisi . "
|
Since holy spirit is an invisible force , how could the Israelites discern that it was operating on Moses ?
|
Watu wangeweza kuona kama Musa alikuwa na roho ya Mungu ? Ndiyo !
|
This conclusion makes many people nervous .
|
Watu wengi hawafurahishwi na kauli hiyo .
|
Many people hated me , and I don 't blame them .
|
Watu wengi walinichukia , na mimi siwaone kuwa wenye makosa .
|
Many people are increasingly convinced that we have reached a pivotal point in world history .
|
Watu wengi wanaendelea kuwa hakika kuwa tumefikia kipindi cha maana katika historia ya ulimwengu .
|
Many victims experience muscle weakness , fatigue , joint and muscle pain , cold intolerance , and breathing problems .
|
Watu wengi wenye hali hiyo huhisi udhaifu wa misuli , uchovu , maumivu ya viungo na misuli , hushindwa kustahimili baridi , na kushindwa kupumua .
|
How would you describe those who have an excessive love of self ?
|
Watu wenye kujipenda wenyewe kupita mipaka wako namna gani ? Eleza .
|
Need for Preparation
|
Wazazi Wanahitaji Kujitayarisha
|
Some Christian parents serving in a foreign - language field have come to realize that their children 's interest in the truth has waned .
|
Wazazi fulani Wakristo wenye kutumikia katika kutaniko la luga ya kigeni , wametambua kama urafiki wa watoto wao pamoja na Yehova umekuwa zaifu .
|
Elders can imitate Paul by taking qualified ministerial servants with them on some of their shepherding calls .
|
Wazee wanaweza kuiga mufano wa mutume Paulo wakati wanaenda pamoja na watumishi wa huduma wenye kustahili ili kutembelea ndugu na dada fulani na kuwatia moyo .
|
But consider this : If you walked admiringly around a new car only to find that the far side was damaged , would you assume that the manufacturer made it that way ?
|
Wazia mufano huu : Ikiwa unapendezwa na motokari fulani mupya lakini unaona kama inapondekana upande fulani , je , utasema kama mutengenezaji aliitengeneza ikiwa yenye kupondekana hivyo ?
|
That view prevailed for many centuries .
|
Wazo hilo lilikubaliwa kwa mamia ya miaka .
|
Some could only get work in workhouses .
|
Wengi wao waliajiriwa kujenga barabara .
|
Some can even fly through the rain without getting wet - yes , actually dodging the raindrops !
|
Wengine hata wanaweza kuruka katika mvua pasipo kulowa - ndiyo , wakiepa kihalisi matone ya mvua !
|
And some members of the congregation have been preaching for years - longer than they ever expected - and have become discouraged .
|
Wengine katika kutaniko wamehubiri kwa miaka mingi , kisha wamevunjika moyo kwa sababu wameona kwamba mwisho haufike mbio .
|
Some have even claimed that it is a Navajo burial prayer .
|
Wengine wamedai kuwa shairi hilo ni sala ya mazishi ya Wanavajo .
|
They may view their opposite - sex friend as nothing more than a trophy or an accessory to be seen with in public to boost their own self - esteem .
|
Wengine wanaona rafiki wa jinsia tofauti kuwa tuzo au pambo la kuonyesha watu ili kujiongezea heshima .
|
You can also have confidence in what the Bible foretells for the future .
|
Wewe pia unaweza kuwa na uhakika kuhusu yale ambayo Biblia inatabiri kuhusu wakati ujao .
|
You can too !
|
Wewe pia waweza !
|
You have sayings of everlasting life . "
|
Wewe uko na maneno ya uzima wa milele . '
|
Willie responded , " Your father is in hell ! "
|
Willie alimujibia hivi : " Baba yako iko katika helo ! "
|
Megan : I see some toys here in the front yard .
|
Wivine : Ninaona vitu vya kuchezea pale katika uwanja mbele ya nyumba .
|
It can improve your circulation , digestion , and sleep , and it can enhance your self - confidence and alertness .
|
Yanaweza kuboresha mfumo wako wa damu , umeng 'enyaji , na usingizi , na yatakusaidia uwe na ujasiri na uwe na akili iliyo chonjo .
|
We can see that from the resurrections Jesus performed when outside of Nain and when in the home of Jairus .
|
Yanazungumuzia ufufuo wenye Yesu alifanya wakati alikuwa inje ya muji wa Naini na wakati alikuwa katika nyumba ya Yairo .
|
About 2,400 years ago , some Jewish men had taken to abandoning their first wives and marrying younger women .
|
Yapata miaka 2,400 iliyopita , wanaume fulani Wayahudi walijiamulia kuwaacha wake zao wa kwanza na kuoa wanawake wachanga .
|
How Jehovah Draws Close to Us
|
Yehova Anatukaribia Namna Gani ?
|
Clearly , Jehovah God understands that at times people may question the value of living by his standards .
|
Yehova Mungu anaelewa kwamba nyakati fulani watu wanaweza kuwa na mashaka kuhusu umuhimu wa kuishi kupatana na viwango vyake .
|
What sworn promise did Jehovah make concerning the promised Seed , and how do we benefit from it ?
|
Yehova alifanya kiapo gani kuhusu Uzao ulioahidiwa , na tunafaidika namna gani kutokana na kiapo hicho ?
|
Jehovah commissioned Jeremiah as his prophet to preach a message of judgment on apostate Jerusalem and Judah .
|
Yehova alimuchagua awe nabii wake ili atangaze ujumbe wa hukumu juu ya wakaaji waasi - imani wa Yerusalemu na Yuda .
|
Jehovah directed that Solomon be the overseer of this project . - 1 Chron .
|
Yehova alitoa muongozo kuwa Sulemani ndiye asimamie kazi hiyo . - 1 Nya .
|
Using the prophet Ezekiel as a spokesman , Jehovah proclaimed judgment against unfaithful Judah and Jerusalem .
|
Yehova alitumia nabii Ezekieli ili kutangaza hukumu juu ya wakaaji wa Yuda na Yerusalemu ambao hawakuwa waaminifu .
|
Jehovah also teaches us what his purpose is .
|
Yehova anatufundisha pia mipango yake .
|
Jehovah will bless them because they obeyed the counsel to marry " only in the Lord . "
|
Yehova atawabariki kwa sababu walitii shauri la kuoa ao kuolewa " katika Bwana tu . "
|
They will be supplied with everything they need to endure trials and to safeguard their relationship with Jehovah .
|
Yehova atawapa kila kitu wanachohitaji ili kuvumilia majaribu na kulinda urafiki wao pamoja naye .
|
But Jehovah does not expect us to follow Jesus ' steps perfectly .
|
Yehova hatuombe tufuate hatua za Yesu kwa ukamilifu .
|
Jehovah and Jesus must be very pleased when they see our beautiful spiritual paradise today .
|
Yehova na Yesu wanafurahi sana wakati wanaona namna paradiso yetu ya kiroho inapendeza sana leo .
|
Jesus established the Christian congregation so that the work he had started would continue .
|
Yesu alianzisha kutaniko la Kikristo ili kazi aliyokuwa ameanzisha iendelee .
|
Jesus taught that the only Scriptural ground for dissolving a marriage vow is when an innocent mate chooses not to forgive an adulterous partner .
|
Yesu alifundisha kuwa sababu moja yenye kuwa katika Maandiko ya kuvunja ndoa ni ikiwa bibi ao bwana anafanya uzinzi , na mwenzake mwenye hana kosa anaamua kuwa hatamusamehe .
|
Jesus ends his prophecy by saying : " At that time the righteous ones will shine as brightly as the sun in the kingdom of their Father . "
|
Yesu alimalizia unabii wake kwa kusema hivi : ' Wakati huo waadilifu watangaa kwa uangavu kama jua katika ufalme wa Baba yao . '
|
Jesus ' reply to Peter was firm : " Get behind me , Satan ! "
|
Yesu alimujibu waziwazi hivi : ' Enda nyuma yangu , Shetani ! '
|
Jesus made clear that marriage was to be permanent when he answered a question put to him about the propriety of divorce .
|
Yesu alionyesha wazi kwamba ndoa ni muungano wa kudumu alipojibu swali moja kuhusu talaka .
|
Jesus said : " Your words show what is in your heart . "
|
Yesu alisema : " Kinywa cha mutu kinasema maneno yanayojaza moyo wake . "
|
Yes , Jesus commissioned his disciples : " Go therefore and make disciples of people of all the nations . "
|
Yesu aliwapa wanafunzi wake amri hii : ' Kwa hiyo nendeni mukafanye wanafunzi kutoka kwa watu wa mataifa yote . '
|
Jesus kept himself neutral in conflicts of the world . - Matthew 8 : 20 ; 20 : 28 ; 26 : 11 ; Luke 12 : 13 , 14 ; John 6 : 14 , 15 ; 18 : 36 .
|
Yesu hakujihusisha na migogoro ya ulimwengu . - Mathayo 8 : 20 ; 20 : 28 ; 26 : 11 ; Luka 12 : 13 , 14 ; Yohana 6 : 14 , 15 ; 18 : 36 .
|
Jesus was not just their teacher ; he was their friend .
|
Yesu hakuwa tu mwalimu wao , lakini alikuwa pia rafiki yao .
|
He signals the driver by whistling , tapping the roof , or ringing a bell strategically located near the door .
|
Yeye humfahamisha dereva kwa kupiga mbinja , kupiga paa la gari , au kupiga kengele iliyo karibu na mlango .
|
Along with other exiled Witnesses , she worked to survive by catching fish in nets .
|
Yeye pamoja na Mashahidi wengine waliokuwa uhamishoni walijiruzuku kwa kuvua samaki wakitumia nyavu .
|
Judah . - Joshua 15 : 17 , 20 .
|
Yuda . - Yoshua 15 : 17 , 20 .
|
The person receiving is happy , but the giver is even happier .
|
Yule anayepokea hufurahi , lakini yule anayetoa hufurahi zaidi .
|
The ransom sacrifice is the greatest expression of love ever
|
Zabihu ya ukombozi ndio upendo mukubwa sana wenye umekwisha kuonyeshwa
|
Says Psalm 19 : 7 , 8 : " The law of Jehovah is perfect , bringing back [ or , reviving ] the soul . . . .
|
Zaburi 19 : 7 , 8 inasema : " Sheria ya Yehova ni kamilifu , huirudisha [ au , kuifufua ] nafsi . . . .
|
As we see from Psalm 102 , even those who are in the faith can be in pain and be struggling to focus on anything else .
|
Zaburi ya 102 inaonyesha kwamba , hata wale walio katika imani wanaweza kupatwa na magumu na kila mara wanaweza kufikiria tu matatizo yao .
|
What will the 27th Psalm help us to understand ?
|
Zaburi ya 27 itatusaidia tuelewe nini ?
|
Above all , be assured that the true God , Jehovah , who is called the " Hearer of prayer , " will comfort all those who turn to him with a sincere heart . - Psalm 65 : 2 .
|
Zaidi ya hayo , uwe na hakika kwamba Mungu wa kweli , Yehova , ambaye anaitwa " msikiaji wa sala , " atawafariji wote wanaomjia kwa moyo mnyoofu . - Zaburi 65 : 2 .
|
Furthermore , large numbers of men believe that educating women is unnecessary and even makes them unfit for their childbearing role .
|
Zaidi ya hayo , wanaume wengi sana wanaamini kwamba haifai kuwaelimisha wanawake na kwamba wakielimishwa hawatastahili kuzaa .
|
In addition , the more you express your innermost concerns to Jehovah , the closer he will draw to you .
|
Zaidi ya hilo , Yehova atakukaribia zaidi kadiri unaendelea kumuelezea kila jambo lenye kukuhangaisha katika moyo wako .
|
Additionally , because love is thoughtful , considerate , patient , and kind , it builds affectionate families and united congregations . - Col .
|
Zaidi ya hilo , kwa sababu upendo unafikiria wengine , unahangaikia wengine , unavumilia , na unatenda kwa wema , unafanyiza familia zenye kuhangaikiana na makutaniko yenye umoja . - Kol .
|
In ancient times , the Israelites waged war in the name of their God , Jehovah .
|
Zamani , Waisraeli walipigana vita katika jina la Mungu wao , Yehova .
|
Long ago , the Bible made a similar point , saying that God 's eyes " are in every place , keeping watch upon the bad ones and the good ones . "
|
Zamani za kale , Biblia ilisema vivyo hivyo , kwamba macho ya Mungu " yako kila mahali ; yakimchunguza mbaya na mwema . "
|
Your Bible - trained conscience can help you to avoid dangers ( See paragraph 14 )
|
Zamiri yako yenye kuzoezwa na Biblia inaweza kukusaidia uepuke hatari ( Ona fungu la 14 )
|
Insurance : A donation made by specifying an entity used by Jehovah 's Witnesses as the beneficiary of a life insurance policy or a retirement / pension plan .
|
Zawadi : Ni mupango wa kutoa feza ao vitu vingine ili vikuwe mali ya shirika fulani lenye Mashahidi wa Yehova wanatumia .
|
Some gifts are precious because they represent a great sacrifice made by the giver .
|
Zawadi fulani ni za maana kwa sababu watu wenye kuzitoa walijinyima sana ili kuzitoa .
|
Isolated from the main cliff face by erosion and weathering , the Chimney Tops are a few columns that stand exposed on a promontory overlooking the Causeway coast .
|
Zikiwa zimetenganishwa na mwamba mkuu kwa sababu ya kumomonyolewa na kuvunjika - vunjika , nguzo hizo chache huonekana waziwazi kutoka kwenye rasi inayoelekeana na pwani ya Causeway .
|
[ 2 ] ( paragraph 3 ) See the box " Reasons to Attend Meetings . "
|
[ 2 ] ( fungu la 3 ) Soma kisanduku " Sababu Gani Tunapaswa Kuwa Kwenye Mikutano ? "
|
[ Picture Credit Line on page 10 ]
|
[ Picha katika ukurasa wa 10 zimeandilwa na ]
|
the boy said with a maniacal sneer , taunting the character on the screen .
|
akasema mvulana huyo , huku akicheka kwa kichaa na kumdhihaki adui yake kwenye kompyuta .
|
published by Jehovah 's Witnesses .
|
chenye kilichapishwa na Mashahidi wa Yehova .
|
conveys . "
|
hufundisha . "
|
is printed .
|
imechapishwa .
|
in the September 2006 issue of Awake !
|
katika toleo la Amkeni ! la Septemba ( Mwezi wa 9 ) 2006 .
|
6 miles [ 9.6 km ]
|
kilometa 9.6 km
|
followed by " Sit ! "
|
kisha umwambie " Keti ! "
|
The December 22 , 1999 , issue of " Awake ! " featured the cover subject " Kidnapping - Why a Global Threat . "
|
la Desemba 22 , 1999 , lilikuwa na kichwa kikuu " Utekaji - Nyara - Sababu Ni Tisho la Tufeni Pote . "
|
has warned about the dangers of Internet dating .
|
limeonya kuhusu hatari za kuchumbiana kwenye Intaneti .
|
scenery
|
mandhari
|
Defer the " school " talk but keep the conversation going on another topic .
|
maswali ya wazazi jambo lingine .
|
and " Whose name should be sanctified ? "
|
na " Jina linalopaswa kutakaswa ni jina gani ? "
|
of the Income Tax observes : " Sadly , our highest government officials , our presidents , have also been far from perfect role models in inspiring ordinary citizens to obey the tax law . "
|
of the Income Tax kinasema : " Inasikitisha kwamba hata maafisa wakuu serikalini , marais , hawajawawekea raia mfano mzuri wa kulipa kodi . "
|
outsole
|
upande wa kiatu
|
uranium U 92
|
urani U 92
|
■ The first three months are the most difficult , but even after that you should , when possible , avoid smokers and situations that may tempt you to smoke .
|
■ Miezi mitatu ya kwanza ndiyo migumu zaidi , lakini hata baada ya hiyo , epuka iwezekanapo wavutaji - sigareti na hali zinazoweza kukushawishi uvute sigareti .
|
▪ As they navigate their way toward adulthood , adolescents are highly insecure , perhaps even more so than when they were children .
|
▪ Vijana wanapopitia kipindi cha kubalehe , wanakuwa na wasiwasi mwingi labda hata kuliko ule waliokuwa nao walipokuwa watoto .
|
Can you handle unfair remarks others make about you ?
|
◯ ◯ Je , unaweza kustahimili unapoambiwa ◯ ◯ maneno yanayokuudhi ?
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.