Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet
eng
stringlengths
1
601
swc
stringlengths
2
607
Everything He Has Made Pretty
Amefanya Kila Kitu Kiwe Chenye Kupendeza
After you 've given the discipline , it 's important not to keep going on about it and reminding the child about his faults .
Baada ya kutoa nidhamu , ni muhimu kwamba usiendelee kuzungumza kuhusu jambo hilo na kumkumbusha mtoto kuhusu makosa yake .
Now I understand how foreigners feel when they arrive in a country where the language spoken is different from their own .
Sasa naelewa jinsi ambavyo wageni huhisi wanapofika nchi ambayo lugha inayozungumzwa ni tofauti na yao .
A Serious Public Health Problem
Tatizo Kubwa la Afya
The " Gold " of the North
" Dhahabu " ya Kaskazini
" Absorbing even low amounts of lead may have harmful health effects on the intellectual and behavioural development of infants and young children , " says the report .
" Hata kumeza kiasi kidogo cha madini ya risasi kwaweza kusababisha madhara ya kiafya kwa ukuzi wa kiakili na wa kitabia wa vitoto na watoto , " yasema ripoti hiyo .
" How good and how pleasant it is . . . to dwell together in unity ! " - PS .
" Jinsi ilivyo vyema na jinsi inavyopendeza . . . kukaa pamoja kwa umoja ! " - ZAB .
" In the days of those kings , " said the prophecy , " the God of heaven will set up a kingdom that will never be brought to ruin . And the kingdom itself will not be passed on to any other people . It will crush and put an end to all these kingdoms , and it itself will stand to times indefinite . "
" Katika siku za wafalme hao , " unabii huo ukasema , " Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele , wala watu wengine hawataachiwa enzi yake ; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu , nao utasimama milele na milele . "
" The immortality of the soul is one of Plato 's favourite topics . " - Body and Soul in Ancient Philosophy
" Kutokufa kwa nafsi ni mojawapo ya mafundisho ambayo Plato alipenda sana . " - Body and Soul in Ancient Philosophy
" GOD is love , " states the Bible .
" MUNGU ni upendo , " Biblia inasema .
" I believe that the greatest damage I experienced was emotional , " says Artur , a victim in Mozambique .
" Naamini kwamba niliumia zaidi kihisia - moyo , " asema Artur , mhasiriwa wa Msumbiji .
" The generous person will prosper . " - Proverbs 11 : 25 .
" Nafsi yenye ukarimu hiyo yenyewe itanoneshwa . " - Methali 11 : 25 .
" Yes , " I said .
" Ndiyo , " nikamjibu .
" I just cried and cried , " Mamie says .
" Nililia bila kukoma , " anasema Mamie .
" The world 's four richest citizens . . . control more wealth than the world 's poorest 57 countries . " - FOREIGN POLICY , January / February 2011 , U.S.A .
" Raia wanne matajiri zaidi duniani . . . ni matajiri kuliko nchi 57 zilizo maskini zaidi duniani . " - FOREIGN POLICY , Januari / Februari 2011 , MAREKANI .
" Surveying has two main areas of function , " says Science and Technology Illustrated .
" Upimaji - ramani umegawanywa katika nyanja mbili , " chasema kichapo Science and Technology Illustrated .
" Roma have never had a national government of their own to care for them , " he says .
" Waromani hawajawahi kuwa na serikali yao wenyewe ili kushughulikia masilahi yao , " anasema .
City Where East Meets West ( South Africa ) , 9 / 22
" Watafua Panga Zao Ziwe Majembe " - Lini ?
" People donate blood in a party - like atmosphere , " says the newspaper .
" Watu huchanga damu wakiwa wamestarehe , " lasema gazeti hilo .
Barrande 's " kingly gift " to the Czech people consisted of an important collection of more than 1,200 crates full of fossils , which he had spent decades collecting , studying , and classifying .
" Zawadi ya kifalme " ya Barrande kwa watu wa Cheki ilitia ndani mkusanyo wa zaidi ya masanduku 1,200 yaliyojaa visukuku ambavyo alikuwa ametumia miongo mingi kuvikusanya , kuvichunguza na kuviainisha .
" He continued steadfast as seeing the One who is invisible . " - HEB .
' Aliendelea kuwa imara kama mutu anayemuona Yeye asiyeonekana . ' - EBR .
An Ancient " Encyclopedia of Human Knowledge "
' Ensaiklopedia ya Kale ya Ujuzi wa Mwanadamu '
" Thoughtless speech is like the stabs of a sword . " - Proverbs 12 : 18 .
' Kuna mutu anayesema bila kufikiri kama kwa upanga unaochoma . ' - Methali 12 : 18 .
' If only I had checked on Mom earlier . '
' Laiti ningeenda kumwona Mama mapema . '
' I am not wicked !
' Mimi si mwovu !
" The insight of a man certainly slows down his anger . " - Proverbs 19 : 11 .
' Ufahamu wa mutu hakika unapunguza hasira yake . ' - Methali 19 : 11 .
' What reason can you give me for not killing you ? '
' Unaweza kunipa sababu yoyote kwa nini nisikuue ? '
Love [ your ] children .
' Wapende watoto wako . '
' Educational and Informative '
' Yanayoelimisha na Yanayoarifu '
( " Sustained by Hope to Endure Trials , " December 22 , 1999 ) Her husband 's accident happened when I was five days old .
( " Tumaini Limenitegemeza Kuvumilia Majaribu , " Desemba 22 , 1999 ) Mume wake alipatwa na aksidenti nilipokuwa na umri wa siku tano .
( 3 ) How can Christian parents work with God when molding their children ?
( 3 ) Namna gani wazazi Wakristo wanaweza kutumika pamoja na Mungu wakati wanafinyanga watoto wao ?
; Loyola , C . ( 7 ) Rutgers , P . ; Rutgers , N . ; Foucault , P . ; Foucault , C . ; Wunjah , J . ; Wunjah , E .
( 7 ) Rutgers , Philip ; Rutgers , Naomi ; Foucault , Philippe ; Foucault , Charlotte ; Wunjah , Joanie ; Wunjah , Ezekiel .
( April 22 , 2002 ) was made just for me !
( Aprili 22 , 2002 ) iliandikwa kwa ajili yangu !
( April 8 , 2002 ) I had to be hospitalized for sudden heart failure .
( Aprili 8 , 2002 ) Nililazwa hospitalini kwa sababu moyo wangu ulishindwa kufanya kazi ghafula .
( May 8 , 2003 ) The description of how sand is formed and of the life that exists in sand is truly fascinating .
( Mei 8 , 2003 ) Maelezo kuhusu jinsi mchanga unavyofanyizwa na viumbe wanaoishi humo yanapendeza sana .
( November 22 , 1999 ) Six years ago I was diagnosed with glaucoma .
( Novemba 22 , 1999 ) Miaka sita iliyopita nilipata kujua kwamba nina ugonjwa huo unaotanua mboni ya jicho ( glaucoma ) .
( See the box " How to Train Others . " )
( Ona kisanduku " Namna ya Kuzoeza wengine , " kwenye ukurasa wa 8 . )
( See paragraphs 9 - 12 )
( Picha hizi zinapatana na fungu la 9 - 12 )
( Read Acts 10 : 34 , 35 ; Deuteronomy 10 : 17 . )
( Soma Matendo 10 : 34 , 35 ; Kumbukumbu 10 : 17 . )
However , " every day you spent together happy , " continues the book , " shows that despite whatever innate differences you have , you can love each other . "
( The Case Against Divorce ) Hata hivyo , kitabu hicho kinasema tena hivi : " Kila siku yenye mulipitisha pamoja mukiwa wenye furaha , inaonyesha kuwa hata kama kuko mambo fulani ya kizalikio yenye kuwafanya musipatane , munaweza kupendana . "
( a ) How do servants of Jehovah need to treat others ?
( a ) Watumishi wa Yehova wanapaswa kutendea wengine namna gani ?
( b ) Who was the prophesied leader ?
( b ) Kiongozi mukamilifu alikuwa nani ?
* You may also want to ask your parents to help you learn to write the language .
* Huenda pia ukawaomba wazazi wako wakusaidie kujifunza kuandika lugha hiyo .
* Such belief also stretches faith to the breaking point .
* Imani hiyo haina msingi .
* True , because of imperfection and weakness , even genuine Christians sin , sometimes seriously .
* Ni kweli kwamba kwa sababu ya kutokamilika na udhaifu , Wakristo wa kweli pia wanafanya dhambi , mara nyingine hata wanafanya dhambi nzito .
* Here are two good questions to ask the doctor : 1 .
* Unaweza kumwuliza daktari maswali haya mawili : 1 .
8 / 15
01 / 11
10 Curious Creatures of Tasmania 's Wilderness
10 Viumbe wa Ajabu Katika Pori la Tasmania
14 The Alpenhorn - Music From a Tree
14 Alpenhorn - Muziki Unaotoka Kwenye Mti
18 Draw Close to God - " The Ancient of Days Sat Down "
18 Umukaribie Mungu - ' Muzee wa Siku Akaketi '
18 Jehovah Leads His People
18 Yehova Anaongoza Watu Wake
2 How Does Social Networking Affect My Time ?
2 Vituo vya Mawasiliano Vinaathirije Wakati Wangu ?
22 " May He . . . Give Success to All Your Plans "
22 Na Atimize Mipango Yako Yote
Never before have so many features of the sign been so clearly evident .
24 : 3 ) Leo , sehemu nyingi za ishara hiyo zimeonekana wazi kupita wakati mwingine wowote .
29 Questions From Readers
29 Maulizo ya Wasomaji Wetu
3 Stressed - Out Students
3 Wanafunzi Waliofadhaika
32 A Well - Planned Campaign Bears Fruit
32 Kampanye Iliyopangwa Vizuri Inazaa Matunda
Meat Sacrificed to Idols , 10 / 1 ' New Wine , Old Wineskins ' , 3 / 1
5 / 15 Wewe Ni wa Kwanza Katika Kuwaheshimu Waamini Wenzako ? 10 / 15
6 , 7 . ( a ) How can those teaching the congregation make good use of the Bible ?
6 , 7 . ( a ) Namna gani wale wanaofundisha kutaniko wanaweza kutumia maandiko vizuri ?
8 Question 3 : Why Does God Allow Me to Suffer ?
8 Ulizo la 3 : Sababu Gani Mungu Anaacha Niteseke ?
YEAR BORN : 1949
ALIZALIWA MWAKA WA : 1949
Allow your child to explore his own little world and test his own resourcefulness .
Acha mtoto wako agundue mambo mwenyewe na ajaribu kutumia uwezo wake .
He looks for the good in us . Let us consider how Jehovah saw the good in King Jehoshaphat of Judah .
Acha sasa tuchunguze namna Yehova aliona mambo mazuri yenye ilikuwa ndani ya Mufalme Yehoshafati wa Yuda .
May we likewise benefit from keeping Jehovah 's reminders .
Acheni basi sisi pia tufaidike na vikumbusho vya Yehova .
Let us consider what some respected scientists and philosophers have said about atheism , religion , and science .
Acheni tuchunguze maoni ya wanasayansi na wanafalsafa maarufu kuhusu dini , sayansi , na imani ya kwamba hakuna Mungu .
Let 's see what they did that caused Jehovah pain .
Acheni tuone jambo ambalo walifanya ambalo lilimuhuzunisha Yehova .
Adam and Eve were aware of it , and they knew exactly how to pronounce it .
Adamu na Eva walijua jina hilo , na walijua kulitamka vizuri .
As the last enemy , death is to be brought to nothing . " - 1 Corinthians 15 : 24 - 26 .
Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo . " - 1 Wakorintho 15 : 24 - 26 .
Africa : " Violence and discrimination against women remained widespread in many countries . " - Amnesty International Report 2012 .
Afrika : " Matendo ya jeuri na ubaguzi juu ya wanawake yanaenea katika inchi nyingi . " - Ripoti ya Mwaka wa 2012 ya Shirika la Kimataifa Linalotetea Haki za Wanadamu , Amnesty International .
The Bible promise is sure to be fulfilled : " Just a little while longer , and the wicked one will be no more ; and you will certainly give attention to his place , and he will not be .
Ahadi hii ya Biblia itatimizwa hakika : " Bado muda kidogo tu , na mtu mwovu hatakuwako tena ; nawe hakika utapaangalia mahali pake , naye hatakuwapo .
One variety of musht reaches a length of about a foot and a half [ 45 cm ] and weighs some four and a half pounds [ 2 kg ] .
Aina moja ya samaki wa musht anaweza kufikia urefu wa sentimeta 45 hivi na uzito wa kilogramu mbili hivi .
Another type of surveying is called topographic surveying . This involves measuring and locating the size , shape , and slope of a parcel of ground as well as the location of roads , fences , trees , existing buildings , utilities , and so forth .
Aina nyingine ya upimaji - ramani inahusisha kupima na kuonyesha ukubwa na umbo la kipande cha ardhi , na kina mteremko kiasi gani , na pia kuonyesha mahali ambapo barabara , nyua , miti , na majengo ya huduma mbalimbali na kadhalika yatakapokuwa , na vilevile majengo yaliyopo tayari .
In time , he was able to walk again and to resume his activity as a congregation elder .
Akaanza kutembea na akawa tena muzee wa kutaniko .
Using high - speed photography , Professor Malcolm Burrows of Cambridge University , England , observed that the muscles in the bug 's hind legs act like a catapult , releasing explosive energy at takeoff .
Akitumia kamera inayopiga picha kwa kasi sana , Profesa Malcolm Burrows wa Chuo Kikuu cha Cambridge , Uingereza , aligundua kwamba misuli ya miguu ya nyuma ya mdudu huyo ni kama chombo cha kurushia mawe , kwani humrusha kwa nguvu sana .
Alan , the traveling overseer , was ordered out of his vehicle when the carjackers arrived at an isolated place .
Alan , yule mwangalizi anayesafiri , aliamrishwa atoke garini mwake wezi hao walipofika mahali pasipokuwa na watu .
In the afternoon the talk " Beware of ' the Voice of Strangers ' " will give timely admonition regarding " false teachers " who try to deceive God 's people with " counterfeit words . "
Alasiri kutakuwa na hotuba yenye kichwa , " Jihadhari na ' Sauti ya Wageni ' " ambayo itatoa mashauri mazuri kuhusu " walimu wasio wa kweli " ambao hujaribu kuwadanganya watu wa Mungu kwa " maneno bandia . "
He was asked to sign a document renouncing his faith .
Aliambiwa atie sahihi hati fulani kuonyesha kwamba ameikana imani yake .
" I want to tell you how much the publications have helped me in school , " she wrote .
Aliandika hivi : " Ninataka kuwaambia jinsi ambavyo vichapo vyenu vimenisaidia sana shuleni .
Even after he got married and had two children , he still had that desire .
Aliendelea kuwa na tamaa hiyo hata kisha kuoa na kuzaa watoto wawili .
The sun also acts like a magnet , rotating on its own axis and exercising a force on the movement of the planets .
Aligundua kwamba jua ni kama sumaku , na kwamba inazunguka kwenye mhimili wake na kuathiri jinsi sayari zinavyosonga .
He discovered , quite by chance , that I shared his interest in the Bible , and he told me that he was learning all kinds of amazing things from Jehovah 's Witnesses .
Aligundua kwamba nilikuwa na tamaa sawa na yake ya kujua Biblia , naye akaniarifu kwamba alikuwa akijifunza mambo mengi ya ajabu kutoka kwa Mashahidi wa Yehova .
But he also knew that Christ died , not for perfect people , but for sinners .
Alijua pia kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya watenda - zambi ; hakukufa kwa ajili ya watu wakamilifu .
He would say : " We are only guests on this planet . "
Alikuwa akisema hivi : " Sisi ni wageni - waalikwa tu katika dunia hii . "
She had learned of these as a youth at home and at the synagogue .
Alikuwa amejifunza juu ya miujiza hiyo nyumbani kwao na kwenye sinagogi wakati alikuwa kijana .
She took her ministry seriously but found little response to the Kingdom message in the area where she preached .
Alikuwa na bidii katika kazi ya kuhubiri lakini katika eneo lake watu wengi hawakupendezwa .
He took a completely different approach from that of the alchemists of his day .
Alikuwa na maoni tofauti kabisa na yale ya wanakemia wa siku zake .
She was nearly 94 .
Alikuwa na umri wa miaka 94 hivi .
He even told her that he would leave her and take the children with him .
Alimuambia pia kwamba atamuacha na kubeba watoto .
Leaving his troubled prophet in no doubt , God assured him that He would call the wicked to account .
Alimuhakikishia kama atahukumu watu wabaya .
He cries out to Jehovah : " Without fail your soul * [ Jehovah himself ] will remember and bow low over me . "
Alimulilia Yehova hivi : " Hakika nafsi yako * [ Yehova mwenyewe ] itakumbuka na kuinama juu yangu . "
He fervently called out : " Help us , O Jehovah our God , for we are relying on you , and in your name we have come against this crowd .
Alimulilia hivi : " Utusaidie , Ee Yehova Mungu wetu , kwa maana sisi tunakuegemea wewe , nasi kwa jina lako tumekuja kupigana na umati huu .
He wed Pharaoh 's pagan daughter , he took many wives , and he allowed pagan women gradually to lead him into false worship .
Alimuoa binti mupagani wa Farao , alichukua wanawake wengi , na aliwaacha wanawake wapagani wamuongoze pole pole katika ibada ya uongo .
He asked me to go to school with him as he apologized to his classmates and told them why he was returning their pencils .
Aliniomba tuende naye kwenye masomo ili kuomba wanafunzi wenzake huruma na kuwaambia sababu gani aliamua kurudisha kalamu zao zenye aliiba .
He added that this result of efforts to study the cell " is so unambiguous and so significant that it must be ranked as one of the greatest achievements in the history of science . "
Aliongezea kwamba tokeo hilo la jitihada za kuchunguza chembe " halina utata wowote na ni lenye maana sana hivi kwamba ni sharti liorodheshwe miongoni mwa mafanikio makubwa kupita yote katika historia ya sayansi . "
Everything was so easy for her - she never seemed to work for any of it !
Alipata kila kitu kwa urahisi - ni kana kwamba hata hakukifanyia kazi !
She had a deep desire to preach to Russian - speaking immigrants .
Alipenda sana kuhubiria watu wenye wamehamia katika inchi ya Amerika wenye kuzungumuza luga ya Kirusi .
Beatings and sexual abuse coerced her into cooperating .
Alipigwa na kubakwa ili akubali kufanya kazi hiyo .
As he examined it , he could see under the Hebrew text some partially erased writing in Georgian characters .
Alipoichunguza , aliona chini ya maandishi ya Kiebrania maandishi fulani ya luga ya Kijojia ambayo yalikuwa yamefutwa juujuu tu .
When he got into his teens , Ricardo keenly felt the lack of a father .
Alipokuwa kijana , Ricardo alisumbuliwa sana kwa sababu hakuwa na baba .
He allowed them to undergo this trial , just as he permits all Christians to face trials of various sorts .
Aliruhusu wapate majaribu hayo , kama vile anaruhusu Wakristo wote wapate majaribu ya kila namna .
End of preview. Expand in Data Studio

English-Congo Swahili Parallel Dataset

This dataset contains parallel sentences in English and Congo Swahili (Democratic Republic of the Congo).

Dataset Information

  • Language Pair: English ↔ Congo Swahili
  • Language Code: swc
  • Country: Democratic Republic of the Congo
  • Original Source: OPUS MT560 Dataset

Dataset Structure

The dataset contains parallel sentences that can be used for:

  • Machine translation training
  • Cross-lingual NLP tasks
  • Language model fine-tuning

Citation

If you use this dataset, please cite the citation guide of the original OPUS MT560 dataset.

License

This dataset is released under the Creative Commons Attribution 4.0 International License.

Downloads last month
11

Collection including michsethowusu/english-congo-swahili_sentence-pairs_mt560