eng
stringlengths
1
601
swc
stringlengths
2
607
He was accused of providing Witnesses with Bible literature and of giving financial help to Witness women whose husbands were in concentration camps .
Alishtakiwa kwa kuwapelekea Mashahidi vichapo vya Biblia na kuwapatia msaada wa kifedha wanawake Mashahidi ambao waume zao walikuwa katika kambi za mateso .
She told us about a future paradise earth and how we could be happy if we followed the Bible 's standards of conduct . - Psalm 37 : 10 , 29 ; Isaiah 48 : 17 .
Alituelezea juu ya paradiso duniani ya wakati wenye kuja na furaha yenye tungepata kwa kuishi kulingana na kanuni za Biblia kuhusu mwenendo . - Zaburi 37 : 10 , 29 ; Isaya 48 : 17 .
Vahan was disappointed by the judgment .
Alivunjika moyo sana kwa sababu ya uamuzi huo .
Truly , the rapport between such dogs and their masters is often a pleasure to behold !
Ama kweli , uhusiano mzuri kati ya mbwa hao na wenyewe ni jambo la kupendeza !
Is that not your most precious possession ?
Ama kweli , urafiki huo ndio kitu chenye thamani sana kwako .
Amanda explains : " I was attracted to Jason because of his love for God and his zeal for spiritual things .
Amanda anaeleza hivi : " Nilivutiwa na Jason kwa sababu ya upendo wake kwa Mungu na bidii yake kwa ajili ya mambo ya kiroho .
Communicate - from your mind and heart - with your wife .
Ambia bibi yako mawazo yako na namna unajisikia katika moyo .
It is also decorated with pearls and rubies .
Amerembeshwa kwa lulu na zabarijadi .
He has taught us for our own good , has blessed us with peace , and has helped us to impart his teaching to others .
Ametufundisha kwa faida yetu wenyewe ; ametubariki kwa kutusaidia tuishi kwa amani , na ametusaidia ili tuweze kufundisha wengine .
He has promised his loyal ones a peaceful new world .
Amewaahidi washikamanifu wake kwamba kutakuwa na ulimwengu mpya wenye amani .
Well , a person who lacks confidence that the end is near might start to make alternate arrangements , so to speak , in case things do not work out as Jehovah said they would .
Anafikiri kama mipango hiyo inaweza kumusaidia ikiwa mambo hayatendeke kama Yehova alivyosema .
He appreciates all that we do to promote Kingdom interests .
Anapendezwa sana na yote tunayofanya ili kutia faida za Ufalme pa nafasi ya kwanza .
At six months of age , the chick can weigh up to 26 pounds [ 12 kg ] - considerably more than an adult albatross !
Anapokuwa na umri wa miezi sita , kinda huyo anaweza kuwa na kilogramu 12 , uzito unaozidi ule wa albatrosi aliyekomaa !
He says he doesn 't like being monitored that way .
Anasema hapendi kuchunguzwa - chunguzwa kwa njia hiyo .
" This keeps my thoughts positive , " he says .
Anasema hivi : " Kufanya vile kunanisaidia niendelee kuwa na mawazo ya muzuri .
" She took offense , " he says , " and left the house .
Anasema hivi : " Mama - mukwe alikasirika na kuondoka nyumbani .
" I was concerned about getting lung cancer and worried about my children 's health , " she admits , " but I still couldn 't quit .
Anasema hivi : " Nilikuwa ninaogopa kupata kansa ya mapafu na nilikuwa ninaogopa pia juu ya afya ya watoto wangu , lakini sikuweza kuacha tabia hiyo .
He says : " I would just turn away and ignore them as if they did not exist .
Anasema hivi : " Nilikuwa tu ninageukia ngambo ingine na kufanya kama vile siwaone .
She remarks : " Sometimes social pressure is so powerful that you don 't even know it is peer pressure .
Anasema hivi : " Nyakati nyingine uvutano wa marafiki unaweza kuwa wenye nguvu sana kiasi cha kumfanya mtu asitambue kuwa anaathiriwa na marika wake .
Key scripture .
Andiko la msingi .
To give you an idea of its size , it would take at least 30 people standing with arms outstretched to encircle the buttressed trunk , and over 500 could find refuge in its shade !
Angalau watu 30 walionyoosha kabisa mikono yao wangehitajika ili kuzunguka kabisa shina lake , na watu zaidi ya 500 wangeweza kupata kivuli chini ya matawi yake !
Silent before his accusers as they unjustly condemned him to death . - Isaiah 53 : 6 , 7 ; Matthew 27 : 12 - 14 .
Angebaki kimya mbele ya watu waliomuhukumu akufe bila kosa . - Isaya 53 : 6 , 7 ; Mathayo 27 : 12 - 14 .
Or will you realize that Jehovah is merciful and that he may be waiting for a person to repent ?
Ao utaelewa kama Yehova ni mwenye rehema na kama anaweza kungojea mutu atubu ?
Thank you for mentioning that " beautiful poetry is rarely the work of a shallow mind . "
Asanteni sana kwa kusema kwamba " mtu anayechukua mambo kijuujuu tu hawezi kuandika mashairi yanayopendeza . "
Thank you for the article .
Asanteni sana kwa makala hiyo .
Thanks for the time , effort , and thought that is obviously put into each illustration .
Asanteni sana kwa muda , fikira , na jitihada mnayofanya ili kutokeza kila picha .
Warders are popularly known as beefeaters , a nickname that probably started as a term of derision during times of famine .
Askari hao huitwa walaji wa nyama ya ng 'ombe , jina la utani ambalo huenda walipewa wakati wa njaa .
From oppression and from violence he will redeem their soul . " - Psalm 72 : 13 , 14 .
Atawakomboa nafsi zao na kuonewa na udhalimu . " - Zaburi 72 : 13 , 14 .
Or a person can be less attractive and think he or she is the best - looking person around .
Au , mtu anaweza kuwa na sura isiyopendeza lakini bado ahisi kwamba yeye ni mrembo kuliko kila mtu .
Or he may say : " It 's our secret .
Au anaweza kusema : " Hiyo ni siri yetu .
Or an intelligent Creator ?
Au ni kutoka kwa Muumba mwenye akili ?
In fact , Job believed that Jehovah would set a time to remember him .
Ayubu aliamini kuwa wakati fulani Yehova angemukumbuka .
Job did not know the source of his troubles nor why they came upon him or were permitted .
Ayubu hakujua mateso yake yalitoka wapi , sababu gani yalimufikia ao sababu gani Mungu aliyaruhusu .
My first contact with Jehovah 's Witnesses came before I separated from my wife .
BIBLIA ILIBADILISHA MAISHA YANGU : Nilikutana kwa mara ya kwanza na Mashahidi wa Yehova mbele ya kuachana na bibi yangu .
As I studied the Bible , I came to see that I needed to make big changes in my life .
BIBLIA ILIBADILISHA MAISHA YANGU : Nilipokuwa ninajifunza Biblia , nilitambua kwamba nilihitaji kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yangu .
After the preaching work of Jehovah 's Witnesses was legally registered in the former Soviet Union in 1991 , other capable , spiritually mature men began serving the Asian republics of the former Soviet Union .
Baada ya kazi ya kuhubiri ya Mashahidi wa Yehova katika ule uliokuwa Muungano wa Sovieti kusajiliwa mwaka wa 1991 , ndugu wakomavu kiroho walianza kutumikia jamhuri za Asia zilizokuwa sehemu ya muungano huo .
After arriving in Budapest , we were taken into custody by the Russians and subjected to another draft - this time into the Soviet army .
Baada ya kufika Budapest , Warusi walitutia gerezani na kutuamuru tujiandikishe katika jeshi la Sovieti .
After the cysts were surgically removed , I was surprised when my doctor told me that the operation would not correct all my health problems .
Baada ya kuondolewa kwa uvimbe , nilishangaa nilipojulishwa na dakatari wangu kwamba upasuaji huo haungeondoa matatizo yangu yote ya afya .
After sitting in class all day , an hour or two of listening to Bible - based talks might seem like an eternity .
Baada ya kushinda shuleni siku nzima , huenda ikawa vigumu sana kusikiliza hotuba zinazotegemea Biblia kwa saa moja au mbili zaidi .
At the end of the discussion , all participants were invited to vote on which rendering they preferred .
Baada ya mazungumzo hayo , washiriki wote waliombwa wapige kura ili kuchagua tafsiri waliyopendelea .
In time , I started to study the Bible with the Witnesses .
Baada ya muda , nilianza kujifunza Biblia na Mashahidi .
In time , that money was gone .
Baada ya muda , pesa hizo zilikwisha .
Thereafter , she arranged for hospitals to be built , and there she cared for lepers .
Baadaye , alipanga hospitali zijengwe , na humo akatunzia wenye ukoma .
Later , when she went to school , I helped her with her homework , and we often played games .
Baadaye , alipokuwa akienda shuleni , nilimsaidia kufanya mazoezi yake ya shuleni , na mara kwa mara tulicheza michezo .
Later , in 1953 , I moved to London , England , where I joined the Legion of Mary , a lay Roman Catholic welfare organization .
Baadaye , katika mwaka wa 1953 , nikahamia London , Uingereza . Nilijiunga na shirika la Kanisa Katoliki liitwalo Legion of Mary , ambalo ni shirika la ustawi wa jamii la Kanisa Katoliki .
Later , his mother and two sisters were executed - victims of Cambodia 's Khmer Rouge .
Baadaye , mama yake na dada zake wawili waliuawa na wanamgambo wa Khmer Rouge wa Kambodia .
The examiner later stated that he regularly reads the magazines of Jehovah 's Witnesses .
Baadaye mtahini huyo alisema kuwa yeye husoma magazeti ya Mashahidi wa Yehova kwa ukawaida .
Later assignments took us to South Sulawesi and North Sulawesi .
Baadaye tulipewa migawo huko Sulawesi Kusini na Sulawesi Kaskazini .
Among the questions that will be addressed are : Where does truth originate ?
Baadhi ya maswali yatakayojibiwa ni : Ni nani aliye chanzo cha kweli ?
A number of our brothers and sisters told us to let them know whenever we needed someone just to listen , and we have taken them up on their kind offer .
Baadhi ya ndugu na dada zetu walituambia kwamba iwapo tunahitaji tu mtu wa kutusikiliza basi tuwajulishe . Tumekubali msaada wao wa fadhili .
Other experts believe it means " wild geese . "
Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba linamaanisha " bata - bukini wa mwituni . "
Some even adhere to the tradition of painting with bicycle enamel .
Baadhi yao bado wamedumisha utamaduni wa kuchora kwa kutumia rangi ngumu za kupaka baiskeli .
Some show their displeasure by breaking the paintbrushes .
Baadhi yao huonyesha kutopendezwa kwao kwa kuvunja burashi za kuchorea .
My father still refused .
Baba alisimama imara .
We decide to pass up the opportunity to eat the raw worms , but we join our friends onshore for our first taste of this " caviar of the Pacific " when it comes out of the underground oven .
Badala ya kula minyoo mibichi , tunaamua kujiunga na rafiki zetu walio ufuoni ili tuonje ' chakula hicho kitamu cha Pasifiki ' baada ya kutayarishwa ndani ya joko la chini ya ardhi .
Instead of retaliating when someone has offended you , perhaps the thing to do is approach that person and talk about it .
Badala ya kulipiza kisasi mtu anapokukosea , huenda jambo bora la kufanya ni kumfikia na mzungumzie jambo hilo .
Instead of maxing out your credit card or spending your whole paycheck on one night out , why not try Ellena 's solution ?
Badala ya kutumia kadi yako ya mkopo hadi ufikie kiwango cha juu zaidi cha pesa unachoruhusiwa au kutumia mshahara wako wote siku moja , kwa nini usifuate mapendekezo ya Ellena ?
Instead , follow the Bible 's advice , and use " your clear thinking faculties . "
Badala yake , fuata shauri la Biblia , na utumie ' uwezo wako mzuri wa kufikiri . '
Rather , our intricate physiological systems have been skillfully shaped by a masterful Creator .
Badala yake , mifumo tata ya mwili wetu imeundwa kwa ustadi na Muumba mwenye hekima .
Instead , a person 's behavior , thinking , and judgment are monitored over a period of time .
Badala yake , tabia ya mtu , jinsi anavyofikiri , na kufanya maamuzi huchunguzwa kwa muda fulani .
I can still talk to others about Jehovah 's Kingdom .
Bado ninaweza kuzungumza na wengine kuhusu Ufalme wa Yehova .
This type of garment restricted a soldier 's movement to some degree , and it required that he regularly check that the plates were firmly fixed in place .
Bamba hilo lilifanya ikuwe vigumu kwake kufanya mambo fulani , na alipaswa kulichunguza mara kwa mara ili kuona ikiwa vyuma hivyo vilikuwa pa nafasi yake .
Many streets have no names , and the houses have no numbers .
Barabara nyingi hazina majina , na nyumba hazina namba .
The Tokyo metropolitan government questioned 9 - , 11 - , and 14 - year - old students to ascertain their feelings toward other people .
Baraza la mji wa Tokyo lilihoji wanafunzi wenye umri wa miaka 9 , 11 , na 14 ili kujua maoni yao kuelekea watu wengine .
Barbara : I decided to shave off my hair before it fell out .
Barbara : Niliamua kunyoa nywele zangu kabla hazijang 'oka .
So ask yourself , ' What really is important to make this gathering successful ? '
Basi jiulize hivi , ' Ni nini hasa jambo la muhimu ili tafrija hiyo ifanikiwe ? '
The residents pay up to five times as much for water as the average citizen does in the United States .
Bei ya maji ni mara tano zaidi ya ile ambayo mkaaji wa Marekani hulipa kwa ajili ya maji .
The Business of Pornography
Biashara ya Ponografia
The Bible does not teach the natural immortality of the soul . "
Biblia haifundishi kutokufa kiasili kwa nafsi . "
The Bible says that ' the earth has been given to the sons of men . '
Biblia husema kwamba ' wanadamu wamepewa dunia . '
The Bible is full of knowledge about the " Maker of heaven and earth . "
Biblia iko na ujuzi mwingi juu ya ' Mutokezaji wa mbingu na dunia . '
The Bible has profoundly affected the lives of millions of people .
Biblia imesaidia watu wengi sana katika maisha yao .
The Bible promotes such wholesome traits as loyalty , honesty , and industriousness .
Biblia inachochea tabia nzuri kama ushikamanifu , unyoofu , na bidii .
At Genesis 1 : 27 , the Bible reveals the source of our spiritual capacity : " God proceeded to create the man in his image , in God 's image he created him ; male and female he created them . "
Biblia inafunua kwa nini tuna uhitaji huu wa kiroho kwenye Mwanzo 1 : 27 : " Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake , kwa mfano wa Mungu alimuumba ; mwanamume na mwanamke aliwaumba . "
The Bible indicates a more extensive resurrection will occur during the thousand - year reign of Jesus , during which the earth will be transformed into a paradise . - Revelation 20 : 6 .
Biblia inaonyesha kwamba kutakuwa ufufuo wa watu wengi zaidi wakati wa utawala wa Yesu wa miaka elfu moja , wakati ambapo dunia itageuzwa kuwa paradiso . - Ufunuo 20 : 6 . Je , desturi za Pasaka zina uhusiano wowote na ufufuo ?
The record states : " David grew tired . "
Biblia inasema hivi : " Daudi , akachoka . "
Jehovah continued with Joseph and kept showing loyal love to him . . . Jehovah was with Joseph and Jehovah made whatever he did successful .
Biblia inasema hivi : ' Yehova akaendelea kuwa pamoja na Yosefu , akazidi kumufanyia fazili zenye upendo ' na " Yehova alikuwa pamoja na Yosefu na yale aliyokuwa akifanya Yehova aliyafanikisha [ aliyabariki ] . "
The Bible says that " Jehovah was looking with favor upon Abel and his offering . "
Biblia inasema kwamba " Yehova alikuwa akimtazama Abeli na toleo lake kwa kibali . "
The Bible says that Jesus " will send out his angels with a great trumpet sound , and they will gather his chosen ones together from the four winds , from one extremity of the heavens to their other extremity . "
Biblia inasema kwamba Yesu ' atawatuma malaika zake pamoja na muvumo mukubwa wa tarumbeta , nao watawakusanya pamoja watu wake waliochaguliwa kutoka kwenye zile pepo ine , kutoka mwisho mumoja wa mbingu mupaka mwisho wake mwingine . '
The Bible says , for example , that if your worship is to be " acceptable to God , " it must be " a sacred service with your power of reason . "
Biblia inasema kwamba ili ibada yako iwe " yenye kukubalika kwa Mungu , " lazima iwe ' utumishi mtakatifu pamoja na nguvu zako za kufikiri . '
The Bible calls such speech " a false front for covetousness , " or greed . - 1 Thessalonians 2 : 5 .
Biblia inasema kwamba usemi wa aina hiyo ni " unafiki kwa ajili ya tamaa , " au pupa . - 1 Wathesalonike 2 : 5 .
Regarding God , the Bible tells us : " Perfect is his activity , for all his ways are justice .
Biblia inatuambia hivi juu ya Mungu : ' Kazi zake ni kamilifu , kwa maana njia zake zote ni haki .
Isabel 's zeal for the ministry motivated me .
Bidii ya Isabel kwa ajili ya huduma ilinichochea .
Of course , they also provide visitors with a fascinating glimpse of unique animals .
Bila shaka , bustani hizo pia husaidia wale wanaozitembelea kuona wanyama wa kipekee .
Eventually , of course , the joey will grow to the stage where it will leave the pouch , although only temporarily at first .
Bila shaka , kangaruu huyo mchanga atakua na kufikia hatua ya kuondoka kwenye mbeleko hatimaye , ingawa anatoka kwa muda mwanzoni .
This principle certainly applies to our spiritual endeavors .
Bila shaka , kanuni hiyo inahusu utendaji wetu wa kiroho .
Of course not .
Bila shaka , la .
Of course , the concept of tinkering with living things is almost as old as agriculture itself .
Bila shaka , mbinu ya kubadili chembe za viumbe - hai ni ya zamani kama kilimo chenyewe .
Of course , serving in a foreign country also presents challenges .
Bila shaka , mutu anapata magumu fulani anapotumikia katika inchi ya kigeni .
Certainly , you can trust the Bible .
Bila shaka , unaweza kuiamini Biblia .
Whether you think glossies are worth the cost will , of course , be a personal decision .
Bila shaka , wewe mwenyewe ndiye unayeweza kuamua ikiwa magazeti hayo maridadi yanalingana na bei yake .
Without a doubt the guayacan is a living tribute to the greatest artist of all - our Grand Creator , the architect of this marvelous earth on which we live .
Bila shaka mti wa guayacan humtukuza daima msanii mkuu kuliko wote - Muumba wetu Mtukufu , msanifu wa dunia hii ya kustaajabisha tunamoishi .
Of course , it is not prudent to risk more money on an investment than one is willing to lose .
Bila shaka si jambo la hekima kujasiria kiasi cha pesa ambacho hauko tayari kupoteza .
Except for his left arm , Bill is paralyzed from his neck down .
Bill amepooza mwili wote ila mkono wake wa kushoto .
Bill and Rose , as well as many others who have to live with serious illness , are so brave !
Bill na Rose , na watu wengine wengi ambao hawana budi kuishi na ugonjwa hatari ni wajasiri sana !
Such insurance has enabled many families to pay off outstanding debts and carry on their routine of life after the injury or the death of their main breadwinner .
Bima hizo zimesaidia familia nyingi kulipa madeni na kujiruzuku maishani baada ya mkimu wa familia kujeruhiwa au kufa .
This massive underground reservoir is known as the Great Artesian Basin .
Bonde hilo kubwa la maji ya chini ya ardhi huitwa Kisima Kikuu cha Artesia .
Brett Schenck is a retired environmental consultant in the United States .
Brett Schenck alikuwa mshauri wa mambo ya mazingira nchini Marekani .
This arrangement may provide certain tax advantages .
Broshua hiyo iliandikwa ili kutoa habari kuhusu njia mbalimbali za kutoa zawadi sasa , ao kama uriti wakati mutu anakufa .
It can thus take up to nine months to heal .
Chaweza kuchukua muda wa miezi tisa hivi kupona .