eng
stringlengths 1
601
| swc
stringlengths 2
607
|
---|---|
Saving Marriage , 1 / 8
|
Cheche za Mnururisho , 2 / 22
|
The original cell divides to make two , then four , then eight , and so on .
|
Chembe ya kwanza hujigawanya na kuwa mbili , kisha nne , kisha nane , na kuendelea .
|
Chile : This South American country stretches for 2,650 miles [ 4,265 km ] , hugging the Pacific Coast to the west and the Andes Mountains to the east .
|
Chile : Nchi hii ya Amerika Kusini ina urefu wa kilomita 4,265 ikipakana na Pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na Milima ya Andes upande wa mashariki .
|
Under Kingdom rule , mankind will submit to the will of God .
|
Chini ya utawala wa Ufalme , wanadamu watajitiisha kwa mapenzi ya Mungu .
|
The Beagle 2 craft , attached to Mars Express , was equipped to test for organic substances in Martian soil , but the landing failed in late 2003 .
|
Chombo kinachoitwa Beagle 2 kilichounganishwa kwenye chombo cha Mars Express , kilikuwa na vifaa vya kupima vitu vyenye uhai kwenye udongo wa Mihiri , lakini vyombo hivyo havikuweza kutua kwenye sayari hiyo mwishoni mwa mwaka wa 2003 .
|
Circle your answer on the map .
|
Chora duara kwenye jibu lako katika ramani .
|
Ciara says that she benefited from choosing this topic for her project .
|
Ciara anasema kwamba alinufaika kwa kuchagua habari hiyo katika mgawo aliopewa .
|
CLUE : Read Acts 10 : 28 , 34 , 35 .
|
DOKEZO : Soma Matendo 10 : 28 , 34 , 35 .
|
Dabbawalas carry an identity card and are easily recognized by their distinctive white shirt , loose pants , and white cap .
|
Dabbawala hubeba vitambulisho na wanaweza kutambuliwa kwa urahisi kwa sababu wao huvalia shati jeupe , suruali isiyobana , na kofia nyeupe .
|
Grethel says : " I accepted the invitation because it was my way of showing Jehovah that my love for him went beyond a country , a building , or a certain privilege . "
|
Dada Grethel anasema hivi : " Nilikubali kufanya mabadiliko kwa sababu nilitaka kumuonyesha Yehova kwamba nilimupenda si kwa sababu ya inchi , majengo , ao pendeleo fulani ambalo nilikuwa nalo . "
|
" At first , it certainly seemed like a great victory for the enemy , " admitted Isabel Wainwright .
|
Dada Isabel Wainwright alisema hivi : " Mwanzoni , ilionekana kwamba adui wetu wameshinda .
|
" It took me about a year to feel comfortable in my new surroundings , " says Laura , " but now I can 't imagine going back to Canada . "
|
Dada Laura anasema hivi : " Iliniomba karibu mwaka mumoja ili nizoee eneo langu mupya , lakini sasa sifikirie kurudia Kanada . "
|
Selma observes : " Even before I got the truth , living with Steve was like walking on eggshells .
|
Dada Selma anakumbuka : " Hata mbele nijue kweli , nilipaswa kuwa mwangalifu kuhusu kila neno nililosema na kila jambo nililofanya .
|
A single sister might see that her unbelieving coworkers are always trying to introduce her to some potential mate .
|
Dada ambaye hajaolewa anaweza kuvumbua kwamba wafanyakazi wenzake wasiokuwa mashahidi wanamuchochea afunge ndoa na mufanyakazi mwengine asiyekuwa shahidi .
|
My sister went against my parents ' wishes and demanded more than her share .
|
Dada yangu hakuheshimu mambo wazazi wetu walisema na akaomba zaidi ya ile alipaswa kupewa .
|
Parrots are " among the most highly threatened birds on earth , " observes Dr .
|
Dakt . Timothy Wright wa Chuo Kikuu cha Maryland , Marekani , anasema kwamba kasuku ni " kati ya ndege walio katika hatari kubwa zaidi ya kutoweka duniani . "
|
However , the blood was mainly from other less - fortunate passengers .
|
Damu hiyo hasa ilikuwa imetoka kwa wasafiri wengine .
|
" No one answers e - mails anymore , " complains 20 - year - old Danielle , " and even if they do , getting a reply can take weeks .
|
Danielle , mwenye umri wa miaka 20 anasema hivi : " Siku hizi hakuna mtu anayejibu barua - pepe , na hata wanapofanya hivyo , huenda ikachukua majuma mengi kabla ya kupata majibu .
|
Ancient King David , who had been delivered from many grievous trials , expressed these words in song : " Taste and see that Jehovah is good ; happy is the man who takes refuge in him . "
|
Daudi , mufalme wa zamani mwenye Yehova alikomboa kutoka katika majaribu mengi makali , aliimba hivi : ' Muonje muone ya kuwa Yehova ni mwema ; mwenye furaha ni mwanaume ambaye anamukimbilia . '
|
Deheyn says that learning about the clusterwink snail " could be important for building materials with better optical performance . "
|
Deheyn anasema kwamba kujifunza kuhusu konokono huyo " kunaweza kuwa muhimu katika kutokeza vifaa vinavyoweza kusambaza mwangaza kwa njia nzuri zaidi . "
|
Dennis is such a child ! "
|
Dennis ana utoto mwingi ! "
|
Greening the Amazon Forest , 11 / 22
|
Desturi Zinazopendwa , 1 / 8
|
Roman religion also played its part .
|
Dini ilifanya pia watu wapende desturi za Waroma .
|
Hint : Use the " Peer - Pressure Planner " on pages 132 and 133 of Questions Young People Ask - Answers That Work , Volume 2 , to get some good ideas on how to respond .
|
Dokezo : Tumieni sehemu " Kukabiliana na Mkazo " inayopatikana kwenye ukurasa wa 132 na 133 wa kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza - Majibu Yafanyayo Kazi , Buku la 2 , ili upate madokezo mazuri kuhusu jinsi unavyoweza kujibu .
|
NESTLED in the mountains of the northwest corner of Italy , near the Swiss Alps and close to France 's famous Mont Blanc , is the region of Valle d 'Aosta .
|
ENEO la Valle d 'Aosta liko katikati ya milima iliyoko kwenye pembe ya kaskazini - magharibi mwa Italia , karibu na Milima ya Alps ya Uswisi na karibu na mlima maarufu nchini Ufaransa unaoitwa Mont Blanc .
|
Stay strong in the faith . ' "
|
Endelea kuwa imara katika imani . ' "
|
The area is remote and largely uninhabited .
|
Eneo hilo ni la mbali na sehemu yake kubwa haina watu .
|
Sharing the Isthmus of Tehuantepec with the Chontal are the Huave and Zapotec , who dress similarly ; yet , somehow local residents can tell a woman 's extraction by her outfit .
|
Eneo la Tehuantepec ni makao ya watu wa Chontal , na vilevile makabila ya Huave na Zapotec ambayo huvaa mavazi yanayokaribia kufanana . Hata hivyo , wenyeji wanaweza kujua kabila la mwanamke kwa kutazama mavazi yake .
|
Euodia . - Philippians 4 : 2 .
|
Euodia . - Wafilipi 4 : 2 .
|
A Family Torn Apart by Tragedy
|
Familia Iliyotenganishwa na Kifo
|
Many families have found that family worship can be , as Isaiah said of the Sabbath , " an exquisite delight . " - Isa .
|
Familia nyingi zimetambua kwamba ibada ya familia inaweza kuleta " furaha tele " kama Isaya alivyosema kuhusu Sabato . - Isa .
|
The money we earn enables us to live a simple life and serve for the rest of the year in the Philippines . "
|
Feza tunazopata zinatusaidia kuishi maisha mepesi na kuhubiri katika miezi mingine huko Ufilipino . "
|
Sliced radish , whole radish , cucumber , and Chinese cabbage are commonly used as the main ingredients of kimchi
|
Figili zilizokatwa - katwa , figili nzima , tango , na kabichi ya Kichina ndivyo viungo vikuu ambavyo hutumiwa kutayarisha ' kimchi '
|
Consider the benefit of such rules in the following scenario :
|
Fikiria faida za kuwa na sheria hizo katika hali ifuatayo :
|
Note the words of the psalmist David , who was inspired to say of God : " Your eyes saw even the embryo of me , and in your book all its parts were down in writing . "
|
Fikiria maneno ya mtunga - zaburi Daudi , aliyeongozwa na roho kusema hivi kumhusu Mungu : " Macho yako yalikiona kiini - tete changu , na katika kitabu chako sehemu zake zote zilikuwa zimeandikwa . "
|
To illustrate : A driver can direct his car to turn left or right but only if the car is moving .
|
Fikiria mufano huu : Shofere anaweza kuongoza gari lake upande wa kushoto ao wa kuume ikiwa tu gari hilo ni lenye kutembea .
|
Consider the example of Antony Flew , a professor of philosophy who at one time was a leading advocate of atheism .
|
Fikiria mufano wa Antony Flew , profesa wa filozofia mwenye wakati fulani alikuwa muteteaji mukubwa wa imani ya kuwa hakuna Mungu .
|
Consider an educational program that has been carried out worldwide by the Christian community of Jehovah 's Witnesses .
|
Fikiria programu ya elimu ambayo imetekelezwa ulimwenguni pote na kikundi cha Kikristo cha Mashahidi wa Yehova .
|
Frobisher also encountered Inuit , natives of the Arctic .
|
Frobisher alikutana pia na Wainuit , wenyeji wa eneo la Aktiki .
|
Teach by Example
|
Fundisha kwa Kuweka Kielelezo
|
ADVANCED GLAUCOMA
|
GLAKOMA ILIYOZIDI
|
Says Garo Batmanian , executive director of WWF Brazil : " When the Portuguese arrived here , they found lush forest and more water than they had ever seen before .
|
Garo Batmanian , mkurugenzi mkuu wa shirika la WWF nchini Brazili asema hivi : " Wareno walipowasili hapa , walikuta msitu mkubwa na maji mengi ambayo hawakuwahi kuona .
|
Gary helped her to obtain a driver 's license , and after working out other details , Kristi was appointed a regular pioneer in 1995 .
|
Gary alimsaidia Kristi kupata leseni ya kuendesha gari , na baada ya kupanga mambo mengine , Kristi aliwekwa rasmi kuwa painia wa kawaida mwaka wa 1995 .
|
This Awake !
|
Gazeti hilo la Amkeni !
|
The paper continues : " The new thing is that we do not belong to any church .
|
Gazeti hilo laendelea kusema hivi : ' Siku hizi watu wana mwelekeo wa kutoshirikiana na kanisa lolote .
|
La Croix states that " each year , about 250,000 Bibles and 30,000 New Testaments are sold in France . "
|
Gazeti la La Croix linasema kwamba " kila mwaka , karibu Biblia 250,000 na nakala 30,000 za Agano Jipya huuzwa nchini Ufaransa . "
|
The March 1 , 2008 , issue of our companion magazine , The Watchtower , lists convention locations in the United States .
|
Gazeti la Mnara wa Mlinzi la Machi 1 , 2008 ( 1 / 3 / 2008 ) , lina orodha ya mahali ambapo makusanyiko yote yatafanywa nchini Burundi , Kenya , Kongo ( Kinshasa ) , Rwanda , Tanzania , na Uganda .
|
" AIDS has become the leading cause of death in South Africa , and young adults are especially hard hit , " says The New York Times , commenting on a study by South Africa 's Medical Research Council .
|
Gazeti la The New York Times lilisema hivi lilipozungumzia uchunguzi uliofanywa na Baraza la Utafiti wa Kitiba la Afrika Kusini : " UKIMWI ndio kisababishi kikuu cha vifo huko Afrika Kusini , na watu wazima ndio wanaokufa hasa . "
|
Beyond the peninsula , " the rest of Antarctica shows no signs of widespread warming , " notes The New York Times .
|
Gazeti la The New York Times linasema kwamba " hakuna dalili zinazoonyesha kwamba sehemu nyinginezo za Antaktika zimeathiriwa na joto " isipokuwa rasi hiyo .
|
According to Eurostat , a European statistical agency , currently 1 baby in 4 in the European Union is born out of wedlock , reports the German newspaper Westdeutsche Allgemeine Zeitung .
|
Gazeti la Ujerumani la Westdeutsche Allgemeine Zeitung laripoti kwamba kulingana na shirika la utafiti huko Ulaya linaloitwa Eurostat , sasa mtoto 1 kati ya watoto 4 wanaozaliwa katika nchi zilizo katika Umoja wa Nchi za Ulaya anazaliwa na wazazi ambao hawajafunga ndoa .
|
" That is tricky , " says the Economist magazine .
|
Gazeti moja linasema kwamba " hilo ni jambo ngumu .
|
4 ounces [ 100 g ] of dried egg noodles
|
Gramu 100 za tambi - mayai zilizokaushwa
|
Gregory , in Canada , copes with a crippling anxiety disorder .
|
Gregory , anayeishi katika inchi ya Kanada , anateswa na ugonjwa wa kuwa na mahangaiko mengi sana .
|
The roof wheel is loaded last ; it fits neatly over the hump .
|
Gurudumu la paa hupakiwa mwisho , na hutoshea vizuri juu ya nundu ya ngamia .
|
COVER SUBJECT | IS THE WORLD OUT OF CONTROL ?
|
HABARI KUBWA | DUNIA HII ITAOKOKA AO HAPANA ?
|
NO MORE WAR
|
HAKUTAKUWA TENA VITA
|
HILTON loved boxing .
|
HILTON alipenda muchezo wa ngumi ( boxe ) .
|
What can we learn from this account ?
|
Habari hii inaweza kutufundisha nini ?
|
Students who are homeschooled - with their parents ' permission and cooperation , of course - are not quitting .
|
Haimaanishi kwamba wanafunzi wanaoruhusiwa na kutegemezwa na wazazi wao kujifunza wakiwa nyumbani wameacha shule .
|
She remained barren while Elkanah 's other wife , Peninnah , produced offspring .
|
Hakukuwa anazaa watoto , lakini Penina , bibi mwengine wa Elkana alikuwa anazaa .
|
There was no known cure .
|
Hakukuwa na tiba .
|
No Witness had called at our house for years because we were listed as a ' do not call . '
|
Hakuna Shahidi ambaye aligonga mlango wetu kwa miaka mingi kwa kuwa tulikuwa tumeorodheshwa miongoni mwa ' nyumba ambazo hazipaswi kuhubiriwa . '
|
No one can be sure .
|
Hakuna aliyejua .
|
Nothing beats going to sleep at night with a clean conscience . " - Carla .
|
Hakuna kitu kinachoshinda kulala usiku ukiwa na zamiri safi . " - Carla .
|
There will be no criminals or crime
|
Hakutakuwa na wahalifu wala uhalifu
|
Finally , give your voice a rest . "
|
Halafu , usiongee sana . "
|
Next , yellow earth was laid on top of the stones , and the floor was leveled .
|
Halafu udongo wa manjano ulitumiwa kufunika mawe na sakafu ilisawazishwa .
|
How Circumstances Changed
|
Hali Zilivyobadilika
|
She could hardly do anything about the corrupt practices being carried on at the temple .
|
Hangeweza kufanya jambo lolote juu ya mambo ya udanganyifu yenye yalikuwa yanafanywa kwenye hekalu , na hangeweza kubadilisha hali yake ya umasikini .
|
Previously known as the Regional Museum .
|
Hapo awali jumba hilo liliitwa Jumba la Makumbusho la Regional .
|
What conditions did Adam and Eve originally experience , and what questions arise ?
|
Hapo mwanzo , Adamu na Eva waliishi katika hali gani , na hilo linatokeza maulizo gani ?
|
Initially the pharmacist was reluctant to cooperate , since in good conscience he questioned its safety .
|
Hapo mwanzoni mfamasi hakutaka kushirikiana , kwa kuwa alitilia shaka usalama wa dawa hiyo kwa dhamiri safi .
|
This is one of the largest gatherings of primates in the world , and it is certainly a noisy one .
|
Hapo ndipo kuna wanyama wengi zaidi wa jamii ya nyani ulimwenguni , nao hupiga kelele nyingi sana .
|
Older men in particular report having more quality time with their mates .
|
Hasa wanaume wazee wameripoti kwamba wao hutumia wakati mwingi zaidi na wenzi wao .
|
He even included barrels he saw on the ground , broken windows , a ladder leaning against a wall , and piles of wood !
|
Hata alichora mapipa yaliyokuwa chini , madirisha yaliyovunjika , ngazi iliyoegemea ukutani , na marundo ya mbao !
|
She even had difficulty holding a glass of water , and she felt a tingling , burning sensation on her right side .
|
Hata hangeweza kushika glasi ya maji , na alihisi uchungu na mwasho upande wake wa kulia .
|
Cook , however , paid little attention to it .
|
Hata hivyo , Cook hakujishughulisha nacho .
|
In contrast , Dr .
|
Hata hivyo , Dakt .
|
However , K .
|
Hata hivyo , K .
|
Still , she accepted my proposal and joined me in a rural life that she knew little about .
|
Hata hivyo , alikubali tuoane , na akakubali tuishi pamoja katika kijiji chetu , maisha yenye alikuwa hazoee .
|
She can say a lot , however , with just a glance or blink of an eye and simple vocal sounds .
|
Hata hivyo , anaweza kusema mengi kwa kukutazama , kupepesa macho , na kwa kutoa sauti ndogo .
|
However , three months later my superiors summoned me again for further espionage .
|
Hata hivyo , baada ya miezi mitatu wasimamizi wangu waliniita tena kwa ajili ya mgawo mwingine wa upelelezi .
|
It is while still in its early stage , however , that a screenplay is offered for sale to a producer .
|
Hata hivyo , hati hiyo inapokuwa katika hatua za kwanza , mtayarishaji atakayeinunua huanza kutafutwa .
|
In recent times , however , governments have learned from the practices of native Australians and have developed a strategy called prescribed burning .
|
Hata hivyo , hivi karibuni serikali zimeona umuhimu wa mbinu za wakazi wa asili wa Australia na wameanzisha mbinu ya kuteketeza majani ya msituni kwa mpango .
|
But even this did not mark the end of the wheel .
|
Hata hivyo , huo haukuwa mwisho wa gurudumu hilo .
|
But even in our hurried times , the presence of a grandfather clock still inspires a measure of tranquillity .
|
Hata hivyo , ingawa tunaishi katika nyakati ambazo watu wana haraka nyingi , saa hiyo ya baba inaleta kitulizo kwa kadiri fulani .
|
Yet , if he wants to save his life , he must renounce what he knows to be true .
|
Hata hivyo , iwapo anataka kuokoa uhai wake , itambidi akane mambo anayojua ni ya kweli .
|
Yet , did you know that entertaining you is the least they intend to do ?
|
Hata hivyo , je , ulijua kwamba kusudi lao si kutumbuiza watu ?
|
However , states one source , " they should not be confused with the group of skilled gladiators who fought with weapons , who earned considerable fortunes , and who were under no life sentence . "
|
Hata hivyo , kitabu kimoja kinasema , " hao ni tofauti na wapiganaji hodari waliopigana kwa silaha , na kupewa pesa nyingi , na ambao hawakuwa wamehukumiwa kuwa wapiganaji maishani mwao mwote . "
|
However , by Friday night it was clear that New Orleans was going to be struck by a Category 4 or 5 hurricane . "
|
Hata hivyo , kufikia Ijumaa usiku ilikuwa wazi kwamba New Orleans ingekumbwa na tufani mbaya sana . "
|
Yet , her selfishness and disobedience contributed to the sin of Adam , which cost us all a terrible price .
|
Hata hivyo , kujifikiria kwa Eva na kukosa kwake utii kulifanya Adamu atende zambi , ambayo ilituletea matokeo mabaya sisi wote .
|
The display of the train , though , is just part of the show .
|
Hata hivyo , kutanua mkia ni sehemu moja tu ya maonyesho hayo .
|
Yet , the lack of oxygen in the Dead Sea and its salinity have preserved the wood and attached ropes , which are in remarkably good condition .
|
Hata hivyo , kwa kuwa maji ya Bahari ya Chumvi hayana oksijeni na yana chumvi nyingi , mbao na kamba zilizotumiwa kufungia nanga hizo zimebaki katika hali nzuri .
|
Humans , however , are imperfect and therefore struggle to maintain self - control .
|
Hata hivyo , kwa sababu wanadamu hawakamilike , ni vigumu kwao kuendelea kuonyesha sifa ya kujizuia .
|
In overall summer temperatures , however , Death Valley appears to be the hottest place on earth .
|
Hata hivyo , kwa ujumla katika majira ya kiangazi , yaonekana Bonde la Kifo ndilo eneo lenye joto kali zaidi duniani .
|
At the same time , I felt my life was empty , and I had no hope for the future .
|
Hata hivyo , maisha yangu hayakuwa na maana , na sikuwa na tumaini la wakati ujao .
|
The employer 's mother , however , told her daughter that she had made a big mistake .
|
Hata hivyo , mama ya mwajiri huyo alimwambia binti yake kwamba alikuwa amefanya kosa kubwa .
|
It is proper , though , for us to consider the environmental impact of our choices in such areas as household purchases , transportation , and recreation .
|
Hata hivyo , ni muhimu kwetu kufikiria jinsi tunavyodhuru mazingira tunapofanya maamuzi fulani kama vile kununua vifaa vya nyumbani , kusafiri , na kujihusisha na tafrija .
|
Still , when I was just two minutes late , they phoned to ask why I hadn 't come home yet ! "
|
Hata hivyo , nilipochelewa kwa dakika mbili tu , walipiga simu na kuuliza ni kwa nini sikuwa nimerudi nyumbani ! "
|
I assure you , however , He ( or She ) will answer to any name you respectfully come up with . "
|
Hata hivyo , ninakuhakikishia kwamba atakujibu ukimwomba kwa heshima ukitumia jina lolote lile . "
|
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.