text
stringlengths 7
6.75k
|
---|
posts ya hivi karibuni |
rufaa ya yanga kuhusiana na mbeya city kuzidi uwanjani, majibu kutoka leo |
mbali na rufaa hiyo, mbeya city nao walikata rufaa ya kudai mshambuliaji wa yanga, mzambia, obrey chirwa, awajabishwe baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wao kwenye mchezo huo. |
mechi hiyo iliyopigwa uwanja wa sokoine jijini mbeya, ilimalizika kwa sare ya bao mojahasi moja. |
matokeo ya kidato cha sita bonyeza hapa kutazama matokeo ya kidato cha sita elfu mbili na kumi na nane |
mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha kuidownload application yetu ya msumba news ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile maga... |
s: ya sudan? |
ben gurion boulevard, baada ya dhoruba ya vumbi. bia-sheva, mashariki ya kati, aprili kumi na saba, elfu mbili |
june ishirini na sita rapa dmx alitupwa selo baada ya kushindwa kutoa fedha za kujikwimu kwa mmoja kati ya watoto wake, huku rapa rick ross akilazimika kulipa fidia kiasi cha dola milioni mbili ili asikumbane na rungu la kutupwa jela baada ya kufanya tukio la uhalifu la utekaji nyara. |
mtaa wa saba |
si, ya la leo. |
wapi kwa kupata bidhaa? |
je wewe unauza hivi vitu kwenye biashara yako? bofya hapa kutuma maelezo ya biashara yako hapa ili uweze kuwafikia walaji wako. |
tafuta sehemu ya kula karibu yako |
haki zote zimehifadhiwa © elfu mbili na kumi na tatuhasi elfu mbili na kumi na tano misosi™. tovuti hii inawezeshwa na kwelitechnologies™ |
jumatano hii kupitia kipindi cha campus vibes cha times fm, meneja wake, sallam alifafanua zaidi kuhusu hatua iliyofikiwa ya collabo hizo. sallam alidai kuwa collabo na rick ross imeshakalimika, huku ile ya rihanna ikiwa kwenye hatua za mwisho kwakuwa tayari cv na historia ya diamond imeshatumwa kwa uongozi wake kuweza kufikiwa maamuzi ya mwisho. |
pia alidai kuwa diamond atatumbuiza kwenye tuzo caf elfu mbili na kumi na sita, alhamis ya january tano, elfu mbili na kumi na saba mjini abuja, nigeria na pia kwenye ufunguzi wa kombe la mataifa ya africa (total africa cup of nations),itakayofanyika nchini gabon kuanzia january kumi na nne |
ndani ya ukumbi |
kitu ambacho nilipenda sana ni kuona majengo ya zamani ambapo london wamefanikiwa kuyaacha na kufanya mji uwe na sura yake ya kipekee, safi sana. |
kitu kingine ambacho niligundua hapa ni kwamba mji uko busy sana. kwa upande wangu napenda kuishi sehemu zilizotulia sana, kwenye miji mikubwa napenda kwenda kutembea kwa muda fulani tu, lakini si kuishi. |
kutana na watangazaji wa kipindi cha the base - itv |
magazeti ya leo |
post hii imeonekana kwa mara ya kwanza hamsini na tano |
msanii wa muziki wa singeli, man fongo amefunguka tetesi za kufanyiwa ushirikina katika muziki wake i... |
vanessa mdee amezindua 'app' ya simu ya vee money |
rwanda: diamond ashangazwa na kipaji cha mtoto mwenye ulemavu wa macho (+video) |
msanii wa muziki wa bongo fleva, diamond platnumz ameshangazwa na uwezo wa mtoto mwenye ulemavu wa ma... |
vanessa mdee apata ruksa ya 'pumzi ya mwisho' kutoka kwa familia ya mbaraka mwinshehe |
staa wa muziki kutoka tanzania, vanessa mdee ameitembelea familia ya mkongwe wa muziki marehemu mbara... |
msanii wa muziki, vanessa mdee anayefanya vizuri katika soko la muziki nchini tanzania ameendelea kuw... |
napenda sana aina hiyo ya nyimbo....naomba kutajiwa nyimbo na waimbaji wa nyimbo hizo |
watajwa hapo juu ni wanamuziki wazuri wa "old school country" nadhani muziki wao tumeuzoea sana japokuwa wanatoa nyimbo mpya ni vizuri pia kugundua nyimbo mpya na wanamuziki wapya ili kupata ladha tamu ya muziki huu. |
heshima kwako mkuu. |
hata kama halitawekwa kwenye katiba, ni muhimu wananchi waelimishwe namna ya kuwatambua viongozi wao kabla hawajawapigia kura. kama mgombea atakimbia mdahalo bila sababu ya msingi, basi atakua amejipotezea uhalali wake kwa wananchi katika kupata ridhaa yao. pia itasaidia sana katika vyama kupitisha wagombea makini watakaoweza kujenga imani kwa wananchi kuhusu wao wenyewe pamoja na vyama vyao. |
hivi ni kitu gani kwako ndio kivutio kwa mpenzi wako ili atulie nawe ! |
namwambia hawezi pata mwingine kama mimi. |
mpenzi kumkimbia mwenzake ni hulka na tamaa i.e kwa mwanaume ni tamaa za mwili ila kwa mdada ni both mwili na maisha mazuri. |
mtu akiwa kicheche hata apewe ti.. atatoka na wengine. ni khulka ya mtu, wengine wanapenda kuchovya tu waonje kila pahali. na kwa w'ke pia, tamaa na umalaya. ni kuomba mungu upate mwenye mapenzi ya kweli atoridhika na ww kwa kila hali |
mfanyie kwa sababu tu ni mpenzi wako na daima anastahili kilicho bora kutoka kwako. |
mambo ya kufanya kitu ili kumkeep mtu huwa mara nyingi yanasukumwa na kitu fulani mfano uchumi n.k mtu anatoa mapenzi kinafiki huku kichwani anajua mwenyewe sababu ya kweli ya kujitoa kwenye mapenzi ni nini. |
hili ni kwa ajili ya kuwaunganisha watu, urafiki/uchumba/mapenzi na kadhalika |
karibu sana, kama ujaolewa na hauna mchumba wapo wa kutosha hapa. |
nape na situs wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa halmashauri kuu ya ccm ya tawi hilo la houston-texas leo, nape na six wapo nchini marekani kwa ajili ya kozi fupi ya masomo ya uongozi katika chuo kimoja nchini humo. |
hao nao watanzania wa houston waje nyumbani wajionee kama ccm bado ina manufaa kwetu au laa!!miaka hamsini ya uhuru bado tuna shule za nyasi |
hebu watoe huo uchafu wao kwenye nchi za watu. |
mbili. watanzania wengi ambao hata baba zao walikuwa ccm kwenye uongozi huwaoni hapo kwenye picha kwasababu hata wazazi wao wanawaambia siasa haina mpango!. kuna watoto wengi tu wa wazee wa ccm hapa! |
tatu. ni kweli kuwa hawa watanzania wachache wana nia binafsi na sio za kusaidia nchi nafikiri ni nia ya kujuana na watu. kama kweli hawa wana ccm wa houston wangekuwa na nia nzuri ya kusaidia tanzania basi tungewaona kwenye dicota kule virginia ambako kweli watu walikuwa wana zungumzia mambo ya maendeleo bila siasa yeyote. tungewaona kwenye blog za maendeleo lakini hakuna kitu. |
achana na hao wanafiki. ila wajue wasipojenga nyumbani, imekula kwao. |
na wengine wapo watarudi wameelimika au wametafuta mshiko wa kutosha na kufanya mambo ya maendeleo. pia siyo kweli kila anayeishi marekani basi anabeba boxi au anafagia. wapo tu wenye kazi zao za heshima kuliko za maafisa wengi wa ngazi za juu serikali ya tanzania. |
teknolojia ya panya kutoka tanzania ambayo inashinda za wazungu |
kutokea tanzania wanapatikana panya ambao wana uwezo wa kutambua ugonjwa wa kifua kikuu kwa haraka zaidi kuliko teknolojia nyingine dunia. |
filamu ya kutisha na uongo wa wazungu ilivyotengenezwa |
kwaya ya mtakatifu arusha |
watu nao je? |
pamoja na kuwa keshaserve ndan muda ila ni furaha sasa kuwa huru zaidi.. nadhan kuna mambo ya kisheria yalikuwa hayajakamilika. now its over. |
moja. chelewa chelewa utamkuta mwana si wako (haraka haraka haina baraka) |
kwa hiyo hukumu imebatilishwa kwa sababu sio murder na filing yake ilifanyika kwenye mahakama sio sahihi? hivi tofauti ya traffic case na murder au manslaughter baada ya dereva kugonga na kuua ni ipi? |
hapo kwenye red ndio huwa nakubaliana na mtazamo wa rais mkapa juu ya uvivu wa waandishi wa habari tanzania. |
jumamosi iliyopita wakati najiandaa kutoka nyumbani nilikuwa nawasilikisa wachambuzi wa lugha ya kiswahili kutoka bakita wakihojiwa na mtangazaji wa radio one. sehemu ya majadiliano yao yalihusu maneno "kuwakilisha" na "kuwasilisha". ufafanuzi waliotoa kuhusu neno "kuwasilisha" nilikubaliana nao ila uliohusu neno "kuwakilisha" kwa maoni yangu naona kama walipotosha. katika ufafanuzi wao walisema kwamba kuwakilisha ni hali ya kitu kutumika badala ya kingine au kama ni mtu kwenda au kuhudhuria tukio fulani badala ya mtu mwingine. |
lakini unapokuwa umechukuliwa kama mbadala wa mtu mwingine unakuwa na uhuru wa kuwasilisha mawazo yako au ubora wako. mfano kwenye timu ya mpira mchezaji fulani anawza kupangwa badala ya mchezaji mwingine lakini huwezi kuwa na mchezaji anayemuwakilisha mchezaji mwingine kwenye mechi. |
karibuni kwa maoni. |
inasikitisha sana serikali kuwapandisha cheo baadhi ya watumishi wake na kuchelewa kuwarekebishia mshahara wao kwa zaidi ya miaka mitatu. |
kipindi cha nipashe cha radio one asubuhi ya leo wametoa hizo taarifa. |
saltok.ru ukurasa wa kwanza |
mwisho wa wadi siq mbele ya el-khazneh, au kaburi hazina katika petra. jordan, moja desemba elfu mbili na mbili |
dada wa kazi akikata mauno mara ya kwanza |
a pango nyuma ya uzio katika kanisa la annunciation katika nazareti (grotto ya bikira). mashariki ya kati, machi kumi na sita, elfu mbili na mbili |
habari za kimataifa |
matukio ya kusisimua |
waziri mkuu wa mstaafu na mbunge wa monduli, edward lowassa na mkewe mama regina lowassa leo wamejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo chadema. |
waziri mkuu mstaafu,edward lowassa akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya kujunga kwake katika hoteli ya bahari beach leo jijini dar es salaam. |
mbunge wa monduli na waziri mkuu mstaafu na aliyepata kuwa kada wa chama cha mapinduzi, edward lowassa atangaza rasmi kukihama chama cha mapibnduzi (ccm) na kujiunga na chama kikuu cha upinzani cha chadema hii leo. |
lowassa ametangaza rasmi hii leo na kueleza namna mchakato mzima wa kumpata mgombea wa ccm ulivyo kuwa. |
waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya bahari beach jijini dar,kwenye mkutano wa wanahabari jioni ya leo. |
waziri mkuu mstaafu,edward lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na chadema katika hoteli ya bahari beach jijini dar es salaam. |
mh.waziri mkuu mstaafu,edward lowassa (mwenye umvi) akiwa na viongozi wa ukawa katika hoteli ya bahari beach leo jijini dar es salaam. |
mh.edward lowassa akiwa katika hadhara ya mamia kujibu maswali katika hoteli ya bahari beach leo jijini dar es salaam. |
mwenyekiti wa taifa wa chadema,freeman mbowe akimpa kadi ya uanachama mke wa waziri mkuu mstaafu,regina lowassa leo katika hoteli ya bahari beach jijini dar es salaam. |
mwenyekiti wa taifa wa chadema,freeman mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho,mh.waziri mkuu mstaafu,edward lowassa leo katika hoteli ya bahari beach jijini dar es salaam. |
mh.lowassa akiingia kwenye hoteli bahari beach kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na ukawa. waziri mkuu mstaafu,edward lowassa ametangaza kujiunga rasmi na umoja wa katiba (ukawa) kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) . |
mh.lowassa akiwa na viongozi wa ukawa katika hoteli ya bahari beach hoteli jijini dar es salaam jioni ya leo mara baada ya kutangaza rasmi azma yake ya kujiunga na ukawa. |
mwenyekiti wa taifa wa chadema,freeman mbowe akiteta jambo na waziri mkuu mstaafu edward lowassa katika hoteli ya bahari beach jijini dar es salaam jioni hii alipokuwa akitangaza azma yake ya kujiunga na ukawa kupitia chama cha chadema. |
mh.waziri mkuu mstaafu,edward lowassa akiteta jambo na mwenyekiti taifa wa chama cha wananchi (cuf),profesa ibrahim lipumba katika hoteli ya bahari beach jijini dar es salaam. |
kamati ya miss tanzania yazindua msimu mpya wa mashindano ya urembo ya miss tanzania elfu mbili na kumi na sita jijini arusha april nne, elfu mbili na kumi na sita |
tanzania na burundi zatakiwa kulegeza msimamo ndani ya eac april nne, elfu mbili na kumi na sita |
kipimo cha wema wa mungu ni nini? _ strictly gospel |
namna ya kuomba |
heri ya mwaka mpya elfu mbili na kumi na saba |
kufurahia thawabu ya kashfa ya uongo…. |
angel bernard wimbo wa pamoja na mercy masika -huyu yesu |
je, ni sawa kupiga picha ukiwa katika maombi kisha unaituma kwenye mtandao? |
kipimo cha wema wa mungu ni nini? |
1nyakati kumi na sita:thelathini na nne – mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele. |
“bwana ni mwema/god is good” ni maneno ambayo ni maarufu kati ya wakristo. lakini, pengine, siyo kila mtu akiulizwa ni kwa nini anasema bwana ni mwema anaweza kuwa na jibu lililonyooka. |
je, ni nini kipimo cha wema wa mungu katika maisha yetu? |
ni kwa sababu ya afya njema? au kwa sababu ya mali na elimu? |
yule mlemavu wa viungo vya mwilini au masikini apataye mlo wake kwa shida, naye je, anayo sababu ya kuimba kwamba bwana yu mwema? |
wale watoto wa mitaani au wahanga wa vita ambao viungo vya mwili vilipunguzwa kwa kulipukiwa na bomu, je, wana sababu ya kusema bwana ni mwema? |
ni nini kipimo cha wema wa mungu? |
← utabiri kuhusu viongozi wa kisiasa |
Subsets and Splits