text
stringlengths
7
6.75k
kwenye andiko hili wana wa mungu ni watu gani?? →
ukweli ni kuwa wema wa mungu ni dhahiri maishani mwetu hata kama hatna mahtaji yaliyo haja ya amioyo yetu.
mama wa watoto wengi au mgumba
wema wa mungu ni pale wote tuna nafasi sawa ya kukubaliwa na yeye tunaporudi kwake kwa toba na kumaanisha.
hii inamaanisha haki ya mungu juu ya maisha ya mwanadamu haitokani na sifa fulani fulani maishani mwetu, ispokuwa ni moyo wa uchaji.
kutumia vigezo vya kuwa na! na kutokuwa na! ni confusion ambayo shetani huutumia kuondoa uhakika kwa wana wa mungu kuwa mungu ni mwema kwao.
uthamani mkubwa ktk mambo ya mwanadamu ni yeye kumjua , na kujulikana na mungu.(kukubaliwa na mungu)
ni kweli wakati mwingine ugumu wa maisha unafanya tuone kama mungu si mwema, lakini kiukweli hakuna mwema kama yeye maana hata katika dhàmbi na mabaya ambayo tumemtendea bado anatusamehe bure na anaendelea kutupa pumzi bure. kwangu mimi naona wema wa mungu bado ni mkuu sana nisiyestahili. barikiwa kwa mada nzuri sana.
ni siku mpya, tumshukuru mungu kwa hilo.
amina. naamini mungu ni mwema kwa kila mtu.
nancy on fahamu asili na maana ya jina…
bonaventure on fahamu asili na maana ya jina…
aroun on fahamu asili na maana ya jina…
usiku wa kuamkia jumatatu ishirini na sita nukta sifuri sita.elfu mbili na kumi na saba nimeota ndoto nikao kanisani kwa nabii tb joshua scoan nigeria na baadhi ya watanzania na mmojawapo ni mwinjilisti wa kanisa la mlima wa moto mikocheni “b”. nikiwa pale nilimuona nabii tb joshua akihubiri na baada ya kumaliza kuhubiri kipindi cha kwanza cha ibada alitoka nje, na nikabahatika kuonana nae na kujisalimiana.
nilijitambulisha kuwa mimi ni yule kijana kutoka tanzania ambaye mwaka elfu mbili na kumi na mbili alinaialika kanisani kwake. nabii tb joshua baada ya kunikumbuka alitamani kuwa rafiki yake. niliondoka naye mpaka nje ya kanisa, tukazunguka hadi nyuma ya kanisa ambako huko niliona shimo kubwa sana, nikaanza kumuuliza swali na kumshauri.
na kwanini hajanijibu kuhusu swali langu la kufanya huduma katika kanisa lake? nilibaki nikisikitika moyoni. nikiwa natafakari, wazo likanjiia na kugundua kuwa nabii tb joshua alikuwa na lengo la mimi kunjifunza kiingereza ili nifanye kazi kwa viwango vya kimataifa. baada ya hapo niliamuka usingizini tatu asubuhi.
moyo wangu uliumia sana tena sana kukosa kufanya mtihani wa mwisho. nilkuwa na masawali mengi sana kwani huo mtihani ulikuwa ni mtihani wa mwisho wa kuhitimu chuo, na kama mtu atakosa kufanya anarudia mwaka. pia nilijiuliza hivi kaka yangu akisikia sijafanya mtihani kwa kosa la kuchelewa atanichuliaje? niliumia sana moyoni huku nikiona aibu kwa marafiki zangu walioonekana kuwa na furaha kutokana na ule mtihani kuwa mrahisi.
usiku wa kuamkia jumatatu ya tarehe kumi na tisa nukta sifuri moja.elfu mbili na kumi na nne jumapili rulea sanga, nimeota ndoto watu wako baharini wanaogelea, nilipoaangalia juu niliona ndege ya abiria ikishuka chini kwa kukosa nguvu. mara baada ya muda ile ndege ilidondoka chini. nikiwa na rafiki zangu na rubani wa ile ndege pembeni mwa bahari alianza kuelezea huku akitabasamu na bila ya hofu yoyote juu ya ile ajali ya ndege. baadhi ya watu walipoteza maisha na wengi walikuwa wakitapatapa majini wakitaka kuokolewa.
nimeota niko karibu na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania jakaya mrisho kikwete.
usiku wa kuamkia tarehe ishirini na nane nukta moja mbili.elfu mbili na kumi na tatu, nimeota ndoto niko mafinga na nikiwa mafinga, nimeota niko sokoni na wenzangu katika lori lililopaki sokoni karibu na duka la marehemu kaka yangu amir sanga. katika hilo lori kulikuwa na watu ambao walionekana ni marafiki zangu kutokea huku dar ninakoishi kwa sasa. niliwaonyesha rafiki zangu store ya duka la kaka yangu ambayo ilikuwa ni duka la zamani la mjomba wangu ambaye kwa sasa ni marehemu anayeitwa lusani sanga ( alimuuziaaga kaka yangu kipindi ni mzima), niliwaambia hao rafiki zangu, “hii ni store ya kaka yangu, mmeiona sasa?” hawakunijibu walizidi kuangalia tu hiyo store
baada ya hapo nikaelekea katika eneo la benki ya nmb. nikiwa pale nimeota niko na rais wa jamhuri ya tanzania jakaya mrisho kikwete akiwa amevalia koti la draft, shart la light blue na suruali ya blue na viatu vyeusi. katika eneo hilo la benki kulijengwa ofis moja nzuri sana ambayo anatakiwa raisi kikwete kuhamia kutokana na muda wake wa kuwa raisi wa nchi kuisha kwahiyo anahitaji kuwa na ofisi yake binafsi.
tukiwa katika eneo hilo na watu wengi sana wakiwa wamezunguka eneo hilo na waingine wakija mahali hapo, raisi akiwa anatabasamu alisema, “mimi hata nikihamia hapa, siku ya kustaafu tena nikiwa katika jingo hili au ofisi hii mpya basi mtatoboa mlango mwingine katika jingo hili hili wakutokea na huko mtajenga jengo lingine la kuhamia, na huo ndio utaratibu wa mtu anayestaafu” raisi baada ya kusema hayo niliamka kutoka usingizini.
ndoto nikiwa nategeneneza bendera ya israel na tanzania ya mtumishi wa mungu tanzania ishirini na tano nukta moja mbili.elfu mbili na kumi na tatu
usiku wa leo kuamkia jumanne ishirini na nne nukta moja mbili.elfu mbili na kumi na tatu, nimeota ndoto mbaya sana ambayo nashindwa kujua ni kwanini…nimeota niko chumbani kwangu nimelala katika kijiji cha mtili “a” kilichoko mkoa wa iringa. nikaona maji yanachuruzika kuelekea kwenye godoro nililotandika chini ya sakafu.
mfano wa paka...
nikaingia chumbani kwa mama na kuona vitanda viwili kimoja kikiwa na mama mmoja amelala na huyo mama wa kanisani kwa nabii flora na kitandani kwa mama yangu kuna vitu viwili vya rangi ya blue na nyeusi na chumba kikiwa na mwanga wa kutosha huku kikitoa harufu ya mikojo. tukaanza maombi , wakati tunaomba mara vile vitu viwili vikageuka kuwa miguu yaani nyayo za watu. nikamshukuru mungu kwa kuwa niliona amejibu maombi yetu na kumkamata adui yetu kwa kile kitendo cha vitu kugeuka na kuwa nyayo za watu.
nyumba ya sanaa
sanaa ya muziki wa dansi nchini tanzania ilianza kabla ya nchi hiyo kupata uhuru elfu moja, mia tisa na sitini na moja ,miaka ya elfu moja, mia tisa na sabini, elfu moja, mia tisa na themanini ndipo waliibuka wanamuziki wengi miongoni mwao ni pamoja na mbaraka mwishehe, marijani rajabu na hussein jumbe nae alichipukia hapo. ungana na steven mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa, akizungumza na hussein jumbe kuhusu safari yake ya muziki.
sanaa ya muziki wa taarab ilishamiri sana katika nchi za afrika mashariki miaka ya elfu moja, mia tisa na tisini ingawaje katika nchi ya burundi inaelezwa kuwa watanzania ndio waliowaibua wasanii wengi nchini humo. ungana na steven mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa, akizungumza na abdul misambano msanii wa muziki wa taarab akiwa ni miongoni mwa wasanii walisaidia kuikuza sanaa hiyo katika nchi za afrika mashariki.
sinaubi zawose ni kijana wa kitanzania anayefanya muziki wa asili akitokea katika familia yenye historia ya muziki wa asili ya kigogo sasa ameazimia kuufikisha muziki huo mbali zaidi. zawose amezungumzia safari yake ya kimuziki katika makala ya nyumba ya sanaa, ungana na steven mumbi katika makala haya ya nyumba ya sanaa.
muziki wa taarabu ulianza kushamiri miaka ya elfu moja, mia tisa na tisini nchini tanzania na miongoni mwa waanzilishi wa bendi ya tanzania one theatre tot ni khadija omari kopa. ungana na steven mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na khadija omary kopa katika sehemu ya kwanza ya makala hayo.
walianza kikiwa ni kikundi cha vijana wanane baadae ikawa bendi kamili na kusheheni muziki wa makabila mbalimbali kutoka nchini malawi. katika makala ya nyumba ya sanaa, steven mumbi anazungumza na mmoja wa wasanii wa bendi hiyo gilbert simchoba kuzungumzia safari ya benki hiyo yenye miaka minne sasa.
mbunifu wa mavazi agnes nyahoga anajivunia kuwa mbunifu baada ya kufanya kazi ya kuuza chakula bila mafanikio na kuamua kufanya kazi hotelini,akashawishika kujifunza ubunifu . ungana na mtayarishaji wa makala ya nyumba ya sanaa steven mumbi kuhusu safari yake ya ubunifu,na namna alivyofanikiwa kuifikia ndoto yake.
sanaa ya uchoraji picha si tu imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana nchini tanzania bali imekuwa sehemu ya maisha na ndoto ya watoto kuja kuwa wachoraji wakubwa,kwa kufanya kazi wanazozipenda maishani. ungana na steven mumbi akiongea na mchoraji na mwalimu wa sanaa hiyo sige lucas katika mkala ya nyumba ya sanaa
uchoraji wa vibonzo umekua na umuhimu katika kufikisha ujumbe kwa njia ya mchoro unaowaelezea wahusika kwa njia ya mafumbo. steven mumbi amezungumza na mchoraji wa vibonzo abdul kingo, katika makala ya nyumba ya sanaa kuangazia umuhimu wa sanaa hiyo na faida yake kwa jamii.
ushairi ni sanaa inayokua kila kukicha na watunzi wamekua na maana mbalimbali kuhusu ushairi, senkoro (elfu moja, mia tisa na themanini na nane) katika kitabu chake cha ushairi, “nadharia na tahakiki” anasema ni utanzu wa fasihi utumiao mpangilio wa lugha ya mkato, picha, iliyopangwa kwa njia iletayo mapigo mahususi au yaliyomo ndani yake. wamitila, (elfu mbili na nane) ushairi ni utungo wa sanaa ya lugha na mpangilio maalum wa mishororo, ama kisauti na kwa maneno mateule kwa kubuni mbinu za lugha zenye mnato na mbinu nyingine za kibalagha...
msanii wa muziki wa reggae kutoka mombasa nchini kenya natty oj anasema muziki wake umefanikiwa kubadili mitizamo potofu ya vijana kuhusu siasa,uchumi na maisha kwa ujumla. ungana na steven mumbi akizungumza na natty oj katika makala haya.
nsamila; upigaji picha ni fursa ya ajira kwa vijana wa kitanzania
hapo awali upigaji picha ilikuwa ni jambo la kujifurahisha na kutunza kumbukumbu za matukio ya kifamilia pekee na ilikuwa nadra sana,vijana kuwa na ndoto za kuwa wapiga picha hii leo imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana wengi. kutana na imani suleiman nsamila kijana wa kitanzania aliye jiajiri kupiga picha akizungumza na steven mumbi kuhusu safari yake ya upigaji picha.
uigizaji nchini tanzania umekuwa na historia ndefu na waigizaji wamepitia vipindi tofauti tofauti licha ya changamoto zilizopo lakini bado filamu za kiswahili zimeendelea kustawi. ungana na steven mumbi katika makala haya akizungumzia sanaa ya uigizaji wa filamu za kiswahili.
sanaa ya muziki wa injili na sheila glory
katika makala haya utasikia kuhusu safari ya muimbaji wa muziki wa injili sheilah glory kutoka kenya , alipotoka,alipo sasa na matarajio yake ya siku za usoni. karibu
katika makala haya msikilizaji utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu na vichekesho kutoka kwa wasanii wa timamu african media ya dar es salaam tanzania kama ebitoke, bwana mjeshi na mr. beneficial , karibu
sanaa ya filamu tanzania
leo katika makala haya utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu nchini tanzania na cloud mia moja na kumi na mbili aliyetembelea studio za rfikiswahili dar es salaam tanzania
sanaa ya ubunifu wa mavazi
katika makala haya utasikia mengi kuhusu sanaa ya ubunifu wa mavazi kutoka kwa mbunifu wa tanzania manju msita, karibu
dazla msanii wa kizazi kipya na ndoto za kuiwakilisha pwani ya kenya kimataifa
kutana na msanii dazla mwenyeji wa mombasa pwani ya kenya ambaye amepania kuiwakilisha kaunti yake kimataifa kupitia muziki wa kizazi kipya.
masterkif habari za kijamii na siasa sifuri
ziara ya kamati ya kudumu ya bunge ya bajeti katika visima vya gesi asilia, madimba august ishirini na nne, elfu mbili na kumi na saba
mhe. mahiga ampokea waziri wa nchi wa uingereza ambaye yupo ziarani nchini august ishirini na nne, elfu mbili na kumi na saba
kishapu yazindua kampeni ya kuhamasisha wananchi katika shughuli za kilimo na elimu august kumi na saba, elfu mbili na kumi na saba
waziri wa elimu prof. ndalichako azindua bodi mpya ya mamlaka ya elimu tanzania (tea) march nane, elfu mbili na kumi na saba
waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo mhe. nape moses nnauye akizungumza na wadau wa sekta ya filamu… february ishirini na mbili, elfu mbili na kumi na saba
rais mstaafu dkt. jakaya kikwete akutana na rais wa chad na mwenyekiti mpya wa kamisheni ya umoja wa mataifa february ishirini na mbili, elfu mbili na kumi na saba
choki ana siri ya kudorora kwa muziki wa dansi, kisa cha kuikacha bendi yake na kurudi twanga october ishirini na nane, elfu mbili na kumi na sita
jaji lubuva aitaka tume ya haki za binadamu kujifunza kwa tume ya uchunguzi kuimarisha utawala bora october ishirini na nne, elfu mbili na kumi na sita
atcl yatoa ofa ya mwezi mmoja kwa safari za mwanza october kumi na saba, elfu mbili na kumi na sita
makamu wa rais azindua mradi wa ujenzi wodi za wazazi october kumi na moja, elfu mbili na kumi na sita
mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi septemba elfu mbili na kumi na sita umepungua kwa asilimia october kumi na moja, elfu mbili na kumi na sita
makamu wa rais azindua kampeni endelevu ya fahari ya tanzania na tuzo kwa bidhaa hamsini za kitanzania october nane, elfu mbili na kumi na sita
naibu mawaziri wa ofisi ya waziri mkuu watembelea banda la maonesho la elimu ya mpiga kura october nane, elfu mbili na kumi na sita
waziri wa fedha dk. philip mpango na ujumbe wake waendelea na vikao vyao na wakuu wa benki ya dunia october nane, elfu mbili na kumi na sita
maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea jijini dar es salaam october tano, elfu mbili na kumi na sita
majaliwa apokea misaada zaidi ya waathirika wa tetemeko mjini dodoma october tano, elfu mbili na kumi na sita
majaliwa awasili kibiti kwa ziara ya siku moja wednesday, ishirini na nane september elfu mbili na kumi na sita september ishirini na nane, elfu mbili na kumi na sita
dk.kigwangalla afanya ziara hospitali za wilaya ya mlele na mpanda mkoani katavi september ishirini na nane, elfu mbili na kumi na sita
kiongozi wa kanisa katoliki duniani kuachia uongozi wake hii leo
baba mtakatifu benedikti wa kumi na sita
kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa benedicto wa kumi na sita anajiuzulu leo alhamisi baada ya kuahidi kufanya hivyo mapema mwezi huu kwa sababu ya umri wake mkubwa na sababu za kiafya zinazomnfya kutoendelea katika wadhifa huo.
baada ya kujiuzulu kwake mchakato wa kumpata papa mpya unaanza.
kujiuzulu kwa baba mtakatifu benedikti hii leo kunafungua milango kwa nafasi hiyo ya juu kuwakutanisha makadinali takriban mia moja na kumi na tano kutoka ulimwenguni kote kwa ajili ya kuchagua mrithi.
waangalizi wanaoutupia macho uteuzi huu wana matumaini kuwa papa atakayepatikana anatarajiwa kutupia macho kwa ukaribu maswala ambayo yamekuwa changamoto katika kanisa hilo, hasa mapenzi ya jinsia moja, matumizi ya kondomu na ndoa kwa viongozi wa dini.
kamati ya maadili ya utangazaji nchini imevifungia vituo viwili vya radio imani fm cha dar es salaam na kwa-neema fm kilichopo mkoani mwanza pamoja na kukipiga faini kituo cha clouds fm kutokana na kukiuka maadili ya utangazaji na kutakiwa kufuta kipindi chake cha jicho la ng’ombe mara moja pamoja na kulipa faini ya sh. milioni tano.
makamu mwenyekiti wa kamati maadili ya utangazaji nchini, walter bgoya (katikati) akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam ukumbi wa habari maelezo.
sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo
gari la kituo cha imani fm kilichofungiwa likiwa idara ya habari maelezo leo.
kamati ya maadili ya utangazaji nchini imevifungia vituo viwili vya radio pamoja na kukipiga faini kituo cha clouds fm kutokana na kukiuka maadili ya utangazaji.
vituo hivyo vya redio ambavyo vyote kwa pamoja vimefungiwa kutorusha matangazo yake kuanzia leo kwa miezi sita ni pamoja na imani fm cha dar es salaam na kwa-neema fm kilichopo mkoani mwanza.
akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam, makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, walter bgoya alisema kituo cha clouds fm kimetakiwa kufuta kipindi
chake cha jicho la ng’ombe mara moja pamoja na kulipa faini ya sh. milioni tano.
akifafanua zaidi makamu mwenyekiti huyo alisema vituo vya imani fm na kwa-neema vimefungiwa kwa kosa la kufanya kazi zao kwa uchochezi jambo ambalo ni kinyume cha maadili ya tasnia ya utangazaji. kituo cha clouds fm kimetakiwa kutoanzisha kipindi kingine kinacho fanana na jicho la ng’ombe.
kituo cha imani fm kinadaiwa kufanya uchochezi kwa wananchi juu ya suala la sensa ya watu na makazi huku kile cha kwa-neema kufanya uchochezi juu ya mgogoro wa
uchinjaji wanyama kwa waislamu na wakristu mkoani geita.
kamati imevitaka vyombo vyote vya habari kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni sheria na maadili ya tasnia hiyo ili kuepuka kuzua migogoro kwa wananchi ambao wamekuwa
hata hivyo mara baada ya ujumbe wa kamati hiyo kumaliza kusoma adhabu hizo kwa waandishi wa habari haukuruhusu maswali kwa waandishi wa habari, hivyo waandishi kubaki wameduwaa.
gazeti la mwananchi
fina mango akimuuliza halima mdee swali wakati wa mahojiano ya moja kwa moja katika kipindi cha makutano
mtangazaji wa kipindi cha makutano fina mango na mbunge wa kawe halima mdee baada ya kipindi
mbunge wa kawe mheshimiwa halima mdee amesema watoto wa viongozi kusoma shule za binafsi maarufu kama “academia” inachangia matokeo mabovu ya kidato cha nne kwa shule za kawaida. mdee aliyasema hayo wakati akijibu swali la chanzo cha kushuka kwa kiwango cha ufaulu mwaka hadi mwaka wakati akiongea na fina mango katika kipindi cha makutano. “kwa mtazamo wangu mimi, zamani watoto wa viongozi tulikuwa tunasoma shule hizi za umma, kwa siku hizi tunawasomesha hizi shule za academia, kwa ubinafsi wetu hawa huku kwa kuwa watoto wetu hawapo hata ule moyo wa kutoa maelekezo unakuwa haupo” .
mdee aliongezea kusema hii yote inachangiwa na mipango ya serikali iliyowekwa kwa kiwango kikubwa sana cha fedha kushindwa kutekelezeka au kusimamiwa ipasavyo ili yaweze kutekelezeka na kutolea mfano wa mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari.
(mmes ii) ambao serikali ilitenga shilingi bilioni mia mbili wakati huo kiwango cha ufaulu daraja la kwanza hadi la tatu ukiwa thelathini na saba% ikiwa na malengo kiwango kipande hadi sabini% lakini ilipofika elfu mbili na tisa kiwango cha ufaulu kikashuka hadi kumi na saba%, elfu mbili na kumi na moja kikashuka tena hadi tisa% na mwaka jana kikazidi kudidimia mpaka tano%. mdee alisisitiza kuwa tatizo kubwa linalozikabili shule za kata ni miundombinu ya shule na maslahi ya walimu kwa kusema “kinachojitekeza sasa ni mrundikano wa frustration za walimu, wamekata tamaa kabisa kwa sababu vipato vyao ni vidogo sana, lakini pamoja na kuwa vidogo vile wanavyotakiwa kuvipata kutokana na vipato kuwa vidogo hawavipati , na zaidi wakati walimu wanasema wanadai serikali inasema hawadai”.
mheshimiwa halima mdee alimalizia kwa kusema anadhani ni wakati sasa kama taifa lazima serikali iamue inataka kufikisha wapi elimu kwa kuwepo bajeti inayotosheleza mahitaji na kuzingatia hali halisi ya maisha na soko, na kusisitiza uwepo wa mitaala inayoeleweka tofauti na hivi sasa ambapo waalimu wanasema wanapokea maelezo tu na kujiandalia wenyewe mitaala. pia alisisitiza uwepo wa mgawanyo wa walimu bila upendeleo kwa kila shule tofauti na sasa ambako kuna shule hazina walimu wa kutosha na pia uwepo mamlaka ya usimamizi wa elimu yenye nguvu.
hali katika eneo la mashariki ya kongo inaelezwa kwamba ni tete na ya hatari kiasi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka mgogoro mkubwa yoyote.onyo hilo limetolewa siku ya ijumaa na bw. roger meece ambaye ni mwakilishi maalum wa katibu mkuu katika jamhuri ya kidemokrasia ya kongo wakati alipokuwa akitoa taarifa kwa baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa bw. roger meece amelitoa toa onyo hilo, wakati katibu mkuu wa un, ban ki moon pamoja na baadhi ya viongozi wa afrika wanatarajiwa februari ishirini na nne jumapili hii, kusaini jijini addis abba ethiopia, mpango mpya wa amani, usalama na ushirikiano nchini drc.
“kwa ujumla hali ni tete mkubwa bila ya onyo”. akaliambia baraza kuu na kuongeza . “ ninatoa wito kwa baraza hili kutoa kila aina ya msaada na ushirikiano ili brigedi mpya itakayoogeza nguvu iweze kupelekwa drc mapema iwezekanavyo”. akielezea zaidi kuhusu hali hatari ilivyo nchini humo.
mkuu huyo wa monusco anasema imefikia katika ukomo wa kutisha. yakiwamo pia matatizo ya kibinadamu ambapo inakadiriwa zaidi ya watu mia tatu na kumi na sita,sifuri wameyakimbia makazi yao. vile vile akaongeza kuwa kuzorota kwa hali ya usalama katika jimbo hilo kunachangiwa na kuongezeka kwa shughuli za kundi la wake anayefahamika kama gedeon, kutoroka anajihusisha na makundi mengine ya wanamgambo likiwamo la katangais kata. akizungumzia kundi la m23 ambalo mwaka jana liliteka goma ambayo ni mji mkuu wa jimbo la kivu kwamba, ingawa kundi hilo linaonyesha kutulia lakini hakuna ushahidi kuwa limerudisha nyuma vikosi vyake au kubadili mkao wa kijeshi.
bw. rogers meece ambaye pia ni mkuu wa
uwa, mapigano kati ya wapiganaji wa m23 na jeshi la kitaifa la drc ( fardc) yamesabisha karibu watu milioni kuyakimbia makazi yao katika eno la kivu kaskazini. bila na ya hatari wakati wowote kunaweza kuzuka mgogoro hali katika eneo la kusini- mashariki ya jimbo la katanga mayi -mayi hasa baada ya kiongozi gerezani mwaka elfu mbili na kumi na moja na kwamba monusco, amelieleza baraza kuu amefafanua zaidi kwa kusema ,
wa taaarifa kwa ajili ya matumizi ya un,