text
stringlengths
7
6.75k
top kumi ya wasanii matajiri barani afrika.
nani zaidi? tazama mastaa wakubwa duniani wa kike wakiwa katika vazi la ufukweni.
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dkt. john magufuli
kuna kitu kinaitwa ‘visingizio’ au ‘excuses’ kwa kiingereza. visingizio ni sababu ambazo mtu anatoa kwa kushindwa kufanya kitu fulani, ingawa ukweli ni kwamba hataki kufanya kitu hicho. wanasiasa wanatumia visingizio.
hata rais john magufuli ameanza kutoa visingizio. baada ya kuahidi kuutafutia suluhu mgogoro wa zanzibar, rais magufuli hatimaye kapata kisingizio cha kukwepa kazi hiyo kwa kisingizio cha kuheshimu sheria na uhuru wa tume.
akihutubia wazee wa jiji la dar es salaam hivi karibuni, dk magufuli alikataa kuingilia mgogoro wa zanzibar kwa sababu anaheshimu sheria inayoipa tume ya taifa ya uchaguzi ya zanzibar (zec) uhuru wa kuamua mambo yake.
alisema, “naheshimu sheria, zec inao uhuru wa kuamua mambo yake, haiwezi kuingiliwa na yeyote…kama kuna mtu anataka tafsiri ya sheria aende mahakamani. mahakama iko hapo, hutaki kwenda, halafu unamwambia magufuli ingilia, siingilii na nitaendelea kukaa kimya.
yeyote atakayeleta fyokofyoko ajue vyombo vya ulinzi vitamshughulikia.” hata hivyo, kauli yake ilikatisha tamaa watanzania waliokuwa na mategemeo makubwa kwa rais magufuli kuwa angetafuta suluhu ya mgogoro wa zanzibar kutokana na kauli yake aliyoitoa novemba ishirini wakati akifungua bunge la kumi na moja la jamhuri ya muungano wa tanzania. rais magufuli alisema:
“kwa kushirikiana na serikali ya mapinduzi ya zanzibar na wadau wa siasa hususan vyama vya cuf na ccm tutahakikisha kuwa yanayoikabili zanzibar yanamalizika kwa salama na amani. tunamuomba mwenyezi mungu atujalie busara na hekima tumalize kwa utulivu na amani.”
ambao hatukushangaa ni wale ambao hatukuwa tumesahau kuwa pamoja na umahiri wake wa kutumbua majipu na ‘kumwaga data’, magufuli ni rais kwa sababu yeye ni mwanasiasa.
kama mwanasiasa, siyo kwamba rais magufuli hajui kuwa kauli yake kuwa hawezi kuingilia mgogoro wa zanzibar siyo sahihi. siyo kwamba rais magufuli hajui kuwa anao uwezo wa kuingilia suala la zanzibar kisiasa.
anajua vyema ila mazingira ya kisiasa ndani ya chama chake yanamlazimisha kufanya alivyofanya. katika hotuba yake, rais magufuli alizungumzia suala la kuingilia uchaguzi kiujumla ujumla. hata hivyo, ‘kuingilia’ suala la uchaguzi kuna maana pana.
ni kweli kwamba rais magufuli hana mamlaka kisheria kuingilia mchakato wa uchaguzi kwa maana ya shughuli za tume katika mchakato mzima wa kusimamia uchaguzi ikiwamo kuandikisha wapigakura, kusimamia uteuzi wa wagombea waliopendekezwa na vyama vyao, kuratibu kampeni, kusimamia upigaji kura wenyewe na kutangaza matokeo.
rais magufuli anaweza kuingilia kisiasa kwa maana ya kuongea na viongozi wenzake wa zanzibar na kuwasihi uchaguzi usogezwe mbele na kushawishi mazungumzo ya pande mbili husika yaanze upya, kwa masilahi ya taifa na hususan kwa masilahi ya usalama wa nchi.
pamoja na ukweli kuwa rais angeweza kufanya walau jitihada za aina hiyo, rais magufuli ameamua hatoingilia mgogoro huo kwa sababu chama chake kishapiga hesabu zake za kisiasa na kugundua mazungumzo ya kisiasa hayana masilahi kwao.
wanasema ndege mjanja hukimbiza bawa lake, woga wa rais magufuli wa kuingilia mgogoro wa zanzibar umekuja baada ya kugundua kuwa mgogoro huo ni sawa na maji yenye kina kirefu yanayohitaji ujuzi na ujasiri kuogelea.
hivyo basi, tunaomtaka rais magufuli kuingilia mgogoro wa zanzibar kimsingi tunamtaka rais aende kinyume na masilahi ya chama chake.
matokeo ya hali hii ni kuwa ccm watashinda viti vyote na watatawala visiwani humo raha mustarehe miaka mitano ijayo. cuf watalalamika lakini hawawezi kufanya kitu chochote zaidi ya kupeleka fitina kwa wafadhili!
hiyo ndiyo fikra ya ccm. rais magufuli ameanza kuelewa kuwa mambo ya uadilifu na haki anayoyahubiri yana ukomo wake katika utekelezaji. kwa mfano, hizo nadharia hazina nafasi zanzibar na jitihada yoyote ya kuzilazimsha ni kutengeneza uadui na kundi la wahafidhina ndani ya chama chake, wakati huohuo akiwa katikati ya vita nyingine kubwa zaidi ya kutumbua majipu.
nina hakika rais magufuli atakuwa amejifunza kutokana na kampeni ya bomoabomoa ambayo iliijengea serikali uadui na watu wengi ambao ndiyo hasa waliombeba na kumuunga mkono wakati wa uchaguzi.
kwa mtazamo mwingine, uamuzi wa magufuli unathibitisha zile kauli zilizowahi kutamkwa na mmoja wa mawaziri wake kuwa muungano na zanzibar ni kwa ajili ya masilahi ya kiusalama ya tanzania ambayo ni kuzuia makundi ya wenye misimamo mikali kuingia visiwani humo.
chanzo: mwananchi
z’bar kuadhimisha siku ya kifua kikuu
picha ya wiki # tisa _ bongo celebrity
vichwa vya habari
mwongozo huu wa namna ya utoaji wa huduma za baraza la vyombo vya
kutoa habari muhimu kuhusu aina nyingi ya huduma zinazotolewa, kanuni
zinazosimamia utoaji huduma hizo, matarajio ya wateja, njia za kusuluhisha
matatizo na kuwafidia wale wanaoathirika kwa huduma ya kiwango cha chini.
mwongozo huu pia unatoa nafasi kwa marekebisho ya mara kwa mara ya
irene uwoya kazini siku chake kabla ya ndoa
maneno ya irene uwoya baada ya kutoka msibani kwa ndikumana.
mwalimar.ru
asante sana kwa maelekezo mazuri maana ninayo maandalizi ya kuandika hadithi.
naomba usaidizi kwenye uchanganuzi wa matumizi ya chuku kwenye riwaya hii ya kufa kuzikana?
mwongozo ni kile ulichonacho baada ya kusoma riwaya
@dennisshonko nilivyodhalilishwa kwa kuzungumza lugha ya kiswahili
@dennisshonko ufanisi wa tamasha ya kiswahili mwaka wa elfu mbili na kumi na saba—buruburu
ngulamu mwaviro ndiye mshindi wa tuzo ya ubunifu elfu mbili na kumi na sita kati ya miswada themanini na sita
vifo vya watoto njiti pasua kichwa afrika mashariki
yanayofahamika kuhusu ukuaji wa elimu ya msingi tanzania
aurea simtowe,mwananchi [email protected] rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… read more
mikoa hiyo ina kuku wengi wa kienyeji kiasi cha kuwa kitovu cha wachuuzi wa bidhaa hiyo. [email protected] dar es salaam. kwa wakazi wengi wa dar es salaam wakisikia kuku wa kienyeji wazo la kwanza… read more
[email protected] dar es salaam. misukosuko inayoikabili karafuu katika uzalishaji na bei katika soko la dunia ni miongoni mwa sababu zilizofanya thamani ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi kushuka kwa kasi zanzibar jambo linalopunguza… read more
je, serikali ilimpendelea dangote makaa ya mawe?
msimamo wa serikali: serikali imesema ipo tayari kuwapa wawekezaji wengine upendeleo katika nishati iwapo wanahitaji. elias msuya, mwananchi; [email protected] je, serikali ilimpendelea au haikumpendelea bilionea aliko dangote kumpa mgodi wa makaa ya mawe? hayo ni… read more
dodoma. shirika la mzinga limeanda mkakati unaokusudia kupanua wigo wa uzalishaji wa mazao ya kijeshi. waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa, dk hussein mwinyi amesema hayo leo wakati akiwasilisha hotuba yake ya… read more
matokeo uchaguzi mkuu elfu mbili na kumi na tano
karibu tukuhabarishe juu ya mambo mapya
mpya hii.., baada ya madawa ya kulevya..kibano kwa wavutaji sigara chaja…!!!!!
serikali ya mapinduzi ya zanzibar (smz) inakusudia kutunga sheria ya
kuzuia uvutaji wa sigara hadharani katika visiwa vya unguja na pemba.
hatua hiyo ilitangazwa jana na waziri wa afya, mahmoud thabit kombo,
wakati akijibu swali la mwakilishi wa mpendae kwenye baraza la
inayopatikana kutokana na utumiaji wa sigara pamoja na mikakati ya
wizara katika kukabiliana na hali hiyo.
waziri huyo alisema serikali imeamua kuchukua hatua hiyo kutokana na
uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa wa maradhi yasiyoambukiza na kwamba
uvutaji wa sigara umebainika kuwa chanzo chake.
kombo alisema katika kukabiliana na hali hiyo, serikali itatenga maeneo maalum ya uvutaji wa sigara.
auawa kwa tuhuma za wizi wa mlango pamoja na mbao..:;
necta: ratiba ya mtihani wa kidato cha sita(acsee) may elfu mbili na kumi na saba..:;
taarifa kwa umma kuhusu utoaji wa vyeti vya wahitimu wa astashahada na stashahada katika programu za afya, mifugo na ualimu kwa mwaka wa masomo elfu mbili na kumi na tano/elfu mbili na kumi na sita sasa;
huu ndio utajiri mkubwa utakaoupata, kama utaamua mwenyewe kufanya biashara hii..:;
wachezaji wa everton watua dar es salaam tanzania tayari kukabili gor mahia.:;
karibu tukuhabarishe juu ya mambo mapya
hizi hapa sababu sita nzito za waziri mwakyembe kushindwa kuwapatanisha diamond platnumz na ali kiba..!!!
baada ya waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo, dk. harrison george mwakyembe kutamka hadharani kuwa na mipango ya kuwapatanisha wakali wa muziki wa bongo fleva, nasibu abdul ‘diamond platnumz’ na ali saleh kiba ‘king kiba’, sababu sita zitakazomfanya waziri huyo kugonga … continue reading hizi hapa sababu sita nzito za waziri mwakyembe kushindwa kuwapatanisha diamond platnumz na ali kiba..!!! →
msanii wa bongo fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii bongo, athuman omary ‘hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya escape one kinondoni jijini dar es salaam, alionekana kumganda mzungu wa kampuni ya kinywaji cha swala baada ya kusambaa kwa taarifa za kupewa dili nono na kampuni inayozalisha kinywaji cha swala. kupitia mtandao wake … continue reading harmorapa aamua kumganda mzungu wa kampuni ya swala escape one..:; →
pamekuwa na minong'ono na ishara kuwa msanii wa bongo fleva mwenye asili ya sweden mwanadada saraha sasa anatoka kimapenzi na big jahman ambaye pia ni msanii wa bongo fleva, baada ya kuachana na producer fundi samweli … continue reading mahusiano ya big jahman na saraha sasa yawa hadharani..;; →
mwanamuziki maarufu duniani kwa miondoko ya pop madonna ameogeza idadi ya watoto wa kuwasili baada ya kuchukua mapacha wawili wa kike kutoka nchini malawi nakufikisha idadi ya watoto wanne. madona amefikia uamuzi huo ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuwaasili baadhi ya watoto kutoka kusini mwa jangwa la … continue reading mwanamuziki madonna aamua kuongeza idadi ya watoto aliyowaasili..:; →
taarifa kwa umma kuhusu utoaji wa vyeti vya wahitimu wa astashahada na stashahada katika programu za afya, mifugo na ualimu kwa mwaka wa masomo elfu mbili na kumi na tano/elfu mbili na kumi na sita sasa;
huu ndio utajiri mkubwa utakaoupata, kama utaamua mwenyewe kufanya biashara hii..:;
wachezaji wa everton watua dar es salaam tanzania tayari kukabili gor mahia.:;
nilipata nafasi ya kupata picha ya pamoja na jamaa na marafiki.
lazima tuzitunze hizi kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
#ee mwenyezi mungu nisaidie.
← video: kutoka makao makuu ya yanga baada ya simba kupewa point tatu
picha kumi: bomoa bomoa dar imepita kwenye duka la staa wa bongofleva august ishirini na tisa, elfu mbili na kumi na saba
good news kwa club ya mbao fc ya mwanza imetangazwa leo august ishirini na tisa, elfu mbili na kumi na saba
fuatilia kwa facebook
waumini wapya walivyo batizwa katika kanisa la mlima wa moto mikocheni "b" siku ya jumapili ishirini na tano nukta sifuri tisa.elfu mbili na kumi na sita
siku ya jumapili ishirini na tano nukta sifuri tisa.elfu mbili na kumi na sita bishop dr. gertrude rwakatare na wachungaji wa kanisa la mlima wa moto mikocheni "b" waliwaombea na kuwaongoza sala ya toba waumini wapya walioamua kuokoka na kumpokea yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao
baada ya maombezi walipelekwa baharini kubatizwa kwa maji mengi na baada ya hapo siku ya jumanne walianza masomo ya kukulia wokovu.
kipindi wanabatizwa kuna baadhi yao walitokwa na mapepo, majini na nguvu za giza wakati watumishi wa mungu wakiwaombea. pia waliweza kujazwa roho mtakatifu.
tuna kila sababu ya kumshukuru mungu kwa jinsi anavyofanya maajabu na matendo makuu katika huduma hii ya mlima wa moto mikocheni "b". pia tuna kila sababu ya kuwashukuru wachungaji, wainjilisti, wahudumu na waumini wa kanisa hili kwa juhudi zao wanazo fanya kuokoa roho za watu kupitia mafundisho yao, ushauri wao na kuwatia moyo ndugu zetu ambao wameamua kuokoka.
tunakukaribisha jumapili hii katika ibada za mlima wa moto mikocheni "b" kuanzia saa tatu asubuhi na usafiri ni bure kutoka kituo cha makumbusho na mwenge.
mlima wa moto
uongozi wa kampuni mpya ya ulinzi ya “power shield security services ltd” iliyozinduliwa jana jijini mwanza, umeahidi kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kwa kutumia askari wake wenye weledi wa hali ya juu pamoja na vifaa vya kisasa ikiwemo kamera.
kumbukizi ya miaka kumi na tisa ya baba wa taifa mwl. nyerere
ungana na bmg habari kwenye facebook, twitter, instagram & youtube kwa kubonyeza hapo chini.
wananchi wa wilaya ya liwale na nachingwea mkoani lindi wameiomba serikali kuhakikisha inaanza ujenzi wa barabara ya liwale – nachingwea yenye kilomita mia moja na ishirini na tisa kwa kiwango cha lami ili kutatua changamoto za usafirishaji wa abiria na mazao katika wilaya hizo.
akizungumza kwa niaba ya wananchi hao mbele ya naibu waziri wa ujenzi, mhe. elias kwandikwa, mkuu wa wilaya ya liwale bi. sarah chiwamba amesema kuwa wananchi wake wanaamini kuwa liwale itafunguka kibiashara na kiuchumi endapo itakuwa imeimarishwa katika mtandao wa barabara ambazo zitaiunganisha wilaya hiyo na wilaya jirani pamoja na nchi kwa ujumla.
“naamini barabara hizi zikikamilika wilaya hii na mkoa wetu utaendelea kiuchumi kwani suala la miundo mbinu ya barabara imekuwa ni kilio cha muda mrefu katika wilaya yetu.” amesema bi chiwamba.
aidha bi. chiwamba amefafanua kuwa wananchi wengi katika wilaya hiyo ni wakulima hivyo wamekuwa wakitumia miundombinu ya barabara kusafirisha mazao ya korosho na ufuta yanayozalishwa kwa wingi kuelekea maeneo mbalimbali ya nchi.
kwa upande wake, naibu waziri kwandikwa anayeshughulikia masuala ya ujenzi, amewataka wataalamu wote wa masuala ya ujenzi nchini kupitia sera ya ujenzi ya mwaka elfu mbili na tatu ambayo itawasaidia kuwapa mwongozo katika utekelezaji wa majukumu yao katika kutoa huduma bora kwa jamii.
ameongeza kwa wataalamu wa wakala wa barabara vijijini na mijini (tarura) kuwa wabunifu katika ujenzi wa barabara zao ili kuondoa dhana potofu iliyopo dhidi ya usimamizi wa barabara kati yao na wakala wa barabara tanzania (tanroads).
ametoa wito kwa uongozi wa tanroads mkoani lindi kuhakikisha kuwa wanaboresha maeneo yote ya barabara ambayo ni korofi ili yaweze kupita kiurahisi katika kipindi chote cha mwaka.
naye meneja wa tanroads mkoani lindi, mhandisi isaack mwanawima, amemhakikishia naibu waziri kwandikwa kuendelea na mpango wa matengenezo ya barabara kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa mbalimbali katika mkoa huo.
naibu waziri kwandikwa yupo katika ziara ya kikazi mkoani lindi kujionea hali halisi ya mtandao wa barabara katika mkoa huo ambapo pamoja na mambo mengine ametembelea na kukagua daraja la nandanga lenye urefu wa mita thelathini ambalo lipo kwenye mto lukuledi katika barabara ya wilaya ya luchelegwa – ndanda inayounganisha wilaya ya ruangwa mkoa wa lindi na masasi mkoa wa mtwara ilikujionea miundombinu yake.