text
stringlengths 7
6.75k
|
---|
gavana wa mombasa ali hassan joho mara nyingi ameonekana kuwapa wanawake usiku mrefu kwa sababu anavutia sana.mwanasiasa huyo mara kwa mara huonekana kubadilisha anavyokaa, kutoka kwa mavazi rasmi na kuvaa mavazi yasiyo rasmi. |
mbunge wa nyali mohamed ali amemsuta gavana joho kuhusiana na ari yake ya kuwania urais katika uchaguzi wa elfu mbili na ishirini na mbili akidai hana maono ya uongozi. mohammed ali amesema kwa ari ya joho ya kuwa rais haitatimia maana ni ndoto tu. |
gavana joho agusia yuko tayari kufanya kazi na uhuru |
gavana wa mombasa ali hassan joho jumapili, mei kumi na tatu aligusia kuwa ataanza kufanya kazi na hasimu wake wa siasa rais uhuru kenyatta. joho aliusifu mkataba wa uhuru na raila odinga akisema utasaidia kutuliza joto la kisiasa nchini |
katika video iliyowekwa facebook na iliyoonekana na tuko.co.ke, mbunge huyo wa nyali alisema atajitolea kumlipia karo ya shule kuhakikisha amepata elimu nzuri itakayomsaidia kuweka kipau mbele maslahi ya wakazi nyali. |
magavana hassan joho na wycliffe oparanya lazima watafute idhini ya chama cha odm ili kumpinga raila odinga kwa tiketi ya odm mwaka wa elfu mbili na ishirini na mbili. john mbadi alisema wawili hao na wanachama wengine walikuwa huru kuwania wadhifa huo. |
akiwajibu wanahabari wakati wa mkutano wa ugatuzi unaoendelea kakamega, gavana huyo aliwakosoa wakosoaji wake kwa kusema hata kabla ya kuwa gavana alikuwa akitembea maeneo tofauti ulimwenguni na kuwataka kutulia. |
gavana wa mombasa hassan joho asisitiza, atapambana na william ruto katika uchaguzi wa elfu mbili na ishirini na mbili |
baada ya kukimya kwa muda kutokana na masuala ya kisiasa, gavana wa mombasa ali hassan joho ametangaza kuwa atawania kiti cha urais katika uchaguzi wa elfu mbili na ishirini na mbili. ameahidi kuwawezesha na kuwaunganisha wakenya iwapo atachaguliwa. |
manispaa ya ilala yaanza ukarabani wa soko la buguruni. |
katibu mkuu wa soko la buguruni,furahisha kambi akizungumza na globu ya jamii kuhusu kuanza kwa ukarabati wa miudombinu ya soko hilo la buguruni na kuipongeza manispaa ya ilala,kwa kuchukua hatua hiyo kwa ajili ya kuwajali wafanyabishara wake ambao pia ni sehemu ya walipa kodi wakubwa katika wilaya hiyo |
katibu mkuu wa soko la buguruni,furahisha kambi akionesha baadhi ya nguzo zilizo wekwa kwa ajili ya ukarabati wa soko hilo,jana jijini dar es saalaam. |
vyombo vya habari |
idadi ya watu |
matukio @ michuzi blog: profesa elisante ole gabriel akutana na baadhi ya wakongwe katika tasnia ya habari nchini. |
matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za globu ya jamii |
profesa elisante ole gabriel akutana na baadhi ya wakongwe katika tasnia ya habari nchini. |
katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo profesa elisante ole gabriel akielezea jambo wakati wa kikao baina yake na wahabari wakongwe kilichoofanyika katika ukumbi wa wizara leo jijini dar es salaam. kutoka kulia ni mratibu wa mfuko wa hugo van lawick ali chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva rtd, daily news na african juornal, charles simpungwe na katibu mtendaji wa mfuko wa hugo van lawick ambaye pia ni mstaafu wa idara ya habari -maelezo, willie mbunga. |
katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo profesa elisante ole gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia kuhusu sekta ya habari nchini kutoka kwa katibu mtendaji wa mfuko wa hugo van lawick ambaye pia ni mstaafu wa idara ya habari -maelezo, willie mbunga (katikati) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini dar es salaam. kulia ni mwandishi mkongwe charles simpungwe. |
katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo profesa elisante ole gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia ya sekta ya habari nchini kutoka kwa mwandishi mkongwe mzee charles simpungwe (kulia) leo jijini dar es salaam. katikati ni katibu mtendaji wa mfuko wa hugo van lawick ambaye pia ni mstaafu wa idara ya habari -maelezo, willie mbunga.mfuko wa huo unajihusisha na utoaji wa tuzo kwa wapiga picha mahiri. |
katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo profesa elisante ole gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu sekta ya habari kutoka kwa mratibu wa mfuko wa hugo van lawick van lawick ali chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva rtd, daily news na african juornal, charles simpungwe (wapili kulia) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini dar es salaam. kutoka kulia ni msaidizi wa katibu mkuu wa wizara ya habari george msonde, mwandishi mkongwe charles simpungwe na katibu mtendaji wa mfuko wa hugo van lawick ambaye pia ni mstaafu wa idara ya habari -maelezo, willie mbunga. |
katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo profesa elisante ole gabriel (wapili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari wakongwe mara baada ya kikao baina yao leo jijini dar es salaam. kutoka kulia ni mratibu wa mfuko wa hugo van lawick ali chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva rtd, daily news na african juornal, , katibu mtendaji wa mfuko wa hugo van lawick ambaye pia ni mstaafu wa idara ya habari -maelezo, willie mbunga na mwisho kushoto ni charles simpungwe |
exclusive: interview ya kwanza ya ruby baada ya... |
darasa la stara kwa mwezi wa ramadhani on... |
kambi ya timu ya england ipo krakow nchini poland na kwamba mapema leo asubuhi na jioni hii ni kwamba habari ya rio ferdinand inazungumzia na kila mmoja katika kambi. |
hawa ndio top kumi na tano mastaa wa majuu wenye makalio makubwa ndani ya hollywood |
top kumi ya magari ya gharama kubwa kuliko duniani mwaka elfu mbili na kumi na mbili |
picha ishirini na mbili za maisha kim kardashian kabla hajawa maarufu na baada ya kuwa maarufu pamoja na baadhi ya boyfriend wake |
ad: “mpango wa kando” |
swahili: ubaguzi wa rangi |
aku: ya allah..alhamdulillah.. |
je kuna aliyewahi kukutana na hali kama hii? na namna ya kuihandle plz? |
kwa kweli hata mimi sipendi mtu asikilize mziki akiwa karibu yangu/ofisini kwetu. ila hiyo ya kuuliza unasikiliza nini kwa headphones, nasema unaonewa kaka yetu. |
alafu mwambie unaelewa yeye hapendi mziki wako. kama atakua na sababu mwachie nafasi ya kujieleza. |
pole sana mkuu wa kazi doh!.chukua hatua mzee mkabidhi kwa mungu yasije yakakuhamia na wewe |
huyo atakuwa ni mtu mwenye matatizo yanayo sababishwa na shinikizo la mawazo na ukosefu wa usingizi na wala si mapepo kama unavyo fikiria...! watu wengi wa aina hiyo huwa hawapendi kusikiliza vitu vyenye kujirudia rudia kama vile nyimbo au mashairi, na hasa nyimbo zinazo endana na ala za mziki...! haijarishi ni aina gani ya mziki...! |
basi nawe unatakiwa uwe mtu unayejali wengine, si wote wenye kupenda kusikiliza kwaya au aina fulani ya mziki, japokuwa kwa imani yako wewe unaona ni jambo jema. |
kama ni mapepo basi ni aina ya majini hayo!!! |
halafu wameombea wapi hiyo rushwa wakati wako majumbani, au hao wagonjwa wamewafuata majumbani, na kama ni hivyo wanahitaji kuwalipa kwa kuwa hiyo ni huduma private. |
kuna watu wengi ambao "wanatia petroli kwenye moto" hawa pia ni miongoni mwao. |
nashindwa kuelewa kwa nini serikali/uwt isiwachukulie hatua kali watu kama hawa. |
madaktari mnaosikia, kazi kwenu! |
waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji, charles mwijage amesema kuadimika kwa bidhaa muhimu ya sukari ilikuwa ni propaganda kwa sababu ipo ya kutosha. |
mwijage ametoa kauli hiyo jana mei kumi na moja wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala kuhusu bajeti yake kwa mwaka elfu mbili na kumi na nane/kumi na tisa na kuongeza kuwa suala la uhaba wa sukari, yeye ni mcha mungu pia aliyekuwa mama yake na bibi walikuwa waislamu hivyo hawezi kuwahujumu waislamu katika kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani. |
“kwa hiyo hakuna tatizo la sukari, niko hapa na tunafunga kwenye mwezi mtukufu wa ramadhani atakayekuwa na tatizo aje aniulize. tunasambaza sukari kwenda mikoani,” alisema. |
baadhi ya habari za maudhui haya unazoweza kuzipenda |
idadi ya abiria waliokufa kutokana na ajali ya basi la kampuni ya luhuye katika wilaya ya busega, mkoani simiyu juzi imeongezeka kut... |
kamati ya kudumu ya bunge ya huduma za jamii, imesema mpaka kufikia februari mwaka huu, serikali ilikuwa imetoa sh bilioni mia tano na sabini na sita nukta tano mbili peke... |
bunge limeitaka tume ya haki za binadamu na utawala bora, kufanya ukaguzi polisi, magerezani na sehemu nyingine zinazolalamikiwa kuvun... |
binti fauzia akiwa amepozi nyumbani kwao maeneo ya kigogo jijini dar es salaam. waandishi wetu ni lipi hujasikia? linaweza... |
habari tano maarufu zaidi |
jina langu ni william joseph bundala,kabila langu ni mnyamwezi,ni mwandishi wa habari,mtangazaji pia ni mwandaaji wa vipindi vya televission.kwa sasa nafanya kazi na radio kahama iliyopo wilayani kahama mkoani shinyanga. e-mail yangu ni [email protected],namba zangu za simu ni mia saba na sitini na sabahasi mia tisa na arobaini na mbili elfu, mia tano na sabini,mia saba na themanini na sitahasi mia tisa na arobaini na mbili elfu, mia tano na sabini na milioni mia saba na kumi na tano, mia tisa na arobaini na mbili elfu, mia tano na sabini. |
kuna yeyote mwenye anafahamu siri ya kinanda? |
mimi sistahili hata kufunga gidhamu za viatu vyake. |
hata mimi nakijua cha kawaida mkuu. |
sasa hapo inategemea na kipaji na utaalam wa mpigaji katika kuvishughulisha vidole vyake,maana wapo watu mahiri kuvitumia vidole hivyo hivyo katika ala mbali mbali,kama ngoma,gitaa,filimbi n.k.kwa hiyo ndio au hapana yote yaweza kuwa majibu |
hapa tunachambua kinanda kama ala ya muziki. |
wakuu wana-jf! binafsi nimekuwa hapa jf kwa muda mrefu sasa, shukrani kwa maxence na wote walio nyuma ya jf: jukwaa hili sasa ni kutaniko kuu la vijana, wazee, wasomi, wanasiasa (vyama vyote) na watu wa kada zote. pia nafarijika sana napokutana na nguli wa siasa za tanzania, japo wengine tunaficha majina lakn lengo linabaki moja-kuijenga msingi wa maendeleo ya tanzania. |
mimi si mchambuzi wa siasa, lakn kulingana na muenendo wa siasa za nchi yetu kwa miaka ya karibuni, ni dhahiri kabisa kuwa ccm, chadema na cuf ndiyo vyama pekee ambavyo vinawanachama na wafuasi wengi katika mikoa yote ya tanzania, hii inatokana na ama sera ziletazo matumaini au ushabiki wa kawaida kama wa simba na yanga, makundi yote hayo hukipa uhai chama, japo kundi la pili linaleta mashaka kidogo-ushabiki. ushabiki usingekuwa na tabu sana kama ungeonekana vijiweni, lakn inatia mashaka kiasi kama suala la ushabiki linakuwa kipaumbele kwa wanachama wengi wa jf (the home of great thinkers)! inakuwa ngumu kuingia akili pale kijana wa kitanzania anaposhabikia hoja zenye muelekeo hasi kwa maendeleo ya nchi yetu, ati kwa sababu tu ya u-chadema, u-ccm, au u-cuf! |
mkuu vijana wa kinepi ndo wapo wengi sana humu, japo hata vijana wa magwanda pia wapo. |
si mbaya mkuu kuwa na vijana wa cdm, ccm, cuf, na vyama vyote! alimradi tu wasimamie maslahi ya umma, na si maslahi ya "mabwana" wao na matumbo yao! they are a shame! |
naibu katibu mkuu wa cuf chama cha wanachi mh.julius mtatiro,amebainisha kwamba nchi inakuwa na viongozi mafisadi wengi kwa kuwa wengi hawana nia ya kuongoza ili kumkomboa mtanzanaia bali kukomboa matumbo yao. |
mh. mtatiro aliamua kuweka wazi kile alichokiweka moyoni kwa muda mrefu kwamba kabla ya kujiunga na chama chochote cha siasa alifuatwa na vyama vyote vikubwa vya siasa hapa nchini wakimsahawishi ajiunge kwenye vyama vyao,lakini alivutiwa sana na ilani/itikadi , sera ya cuf kama alivyo tanabaishawa na prof.lipumba (mwanyekiti wa cuf ) ambaye ambaye alifanya mazungumzo nae, amabaye mtatiro ansema yeye alikuwa tofauti na viongozi wa vyama vingine ambao walimuahidi,nyumba,gari,fedha na vyeo."hii haikuwa interest yangu mimi niliangalia chama gani chenye siasa za kweli na kinawatetea watanzania bila fix" alieleza mtatiro. |
naibu katibu mkuu huyo wa cuf aliendelea kutanabisha kwamba wanaushahidi wa sauti wa namna viongozi hao wa chadema walivyokuwa wakihangaika kuwarubuni viongozi wa cuf mikoa ya kusuni kwa kutumia ahadi za kuwapatia fedha pale watakapohama cuf na kuhamia chadema wakati wa ziara yao ya mikoa ya kusini hivi karibuni. |
si hasa, kwa maisha gani aliyonayo ya kukataa pesa?!... |
hii quality ya sauti inategemea uko mbali kiasi gani kutoka station ya hawa jamaa au kama hapo ulipo kuna station ya hawa jamaa. tuseme kama uko uk, ni poa sana kutumia skype. kama uko usa ni poa sana kutumia rebtel nk. sasa tuseme uko usa na unaunganisha skype iliyopo uk, basi ujue kuna time delay hadi kufika uk na hapo ndipo uende kuunganishwa tuseme kikuyu kwa wagogo. lakini unaweza kujaribu maana wengi hutoa dakika walau mbili uonje raha ya kuongea na wazee huko mwanelumango au mkomanzi... hivi ndivyo nijuavyo mimi juu ya voip. sijui kama imebadilika kwa sasa. |
kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa hapa jf kumekuwa na matangazao ya calltanzania.com yakiashiria kuwa bei ya simu kuita tanzania (nadhani kutokea marekani) ni senti kumi na tatu tu kwa dakika. swali langu siyo kuhusu huduma zenyewe bali wamiliki wa biashara ile; je ni watanzania? |
wakizungumza na ijumaa katika nyakati tofauti baadhi ya watu hao walisema kuwa, wapo watu wanaoweza kusimama na kusema ni bikira lakini siyo nisha. |
naye janeth wa mtoni kwa aziz ally alisema kuwa, nisha asitake kuwafanya mashabiki wake ni watoto kwani wanajua kwa umri wake na staili ya maisha yake hawezi kuwa bikira. |
kazi moja! wachezaji wa yanga wameahidi kupambana kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mechi ya marudiano ya hatua ya mtoano ya mashindano ya kombe la shirikisho afrika dhidi ya wenyeji welayta dicha fc itakayofanyika leo mjini awassa, ethiopia. |
wawakilishi hao pekee wa tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa ambao wanadhaminiwa na kampuni ya kubashiri matokeo michezoni ya sportpesa watashuka uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao mbilihasi sifuri, hivyo wanahitaji sare au ushindi wowote ili wasonge mbele. |
akizungumza na gazeti hili jana, nahodha wa yanga, nadir haroub “cannavaro” alisema kuwa mechi ya leo ni muhimu kwao kwa sababu wanahitaji kuingia katika hatua ya makundi na vile vile kupata fedha zinazotolewa baada ya kufika hatua hiyo. |
cannavaro alisema pia wanatarajia kukutana na changamoto kutoka kwa wapinzani wao lakini akitamba kuwa leo kikosi chao kitakuwa kamili baada ya baadhi ya nyota waliokosekana katika mechi ya kwanza akiwamo straika, obrey chirwa, kurejea. |
“mawazo yetu yako katika mechi hii ya kimataifa, ni muhimu sasa kuliko kitu kingine kwa wakati huu, tukirejea nyumbani ndiyo tutaanza kuifikiria simba na vita ya ligi kuu kwa ujumla,” alisema beki huyo. |
naye meneja wa timu hiyo,hafidh saleh, alisema kuwa wanamshukuru mungu wachezaji wote wako katika hali nzuri na wanachosubiri ni muda na siku ya mchezo ifike. |
endapo yanga itatinga hatua ya makundi itakuwa na uhakika wa kupata pesa zinazotolewa na shirikisho la soka afrika (caf) ambalo hutoa sh. bilioni moja nukta nane kwa timu itakayomaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi huku sh. milioni mia tano na thelathini na sita zitakwenda kwa klabu zitakazoshika nafasi ya pili na ya tatu huku ile itakayoburuza mkia itapata sh. milioni mia tatu na thelathini na sita. |
"unakwenda wapi"; "unatoka wapi" maswali yenye dalili za matatizo kwenye mahusiano? |
hivi mtu akiuliza maswali haya ina maana gani katika mahusiano? je uhusiano unaweza kuimarishwa kwa maswali haya au ni dalili ya matatizo? kama watu wanamawasiliano mazuri kwanini haya maswali yanatokea? je nilazima kuaga kila ukitoka. na katika mahusiano kuagana au kuombana ruhusa ni muhimu? |
moja kati ya maswali ambayo siyapendi...saa nyingine mtu anajua kabisa upo kazini lakin atapiga kukuuliza upo wapi?unafanya nini?dah majibu yake kama nina stress zangu za kaz ni simple tu....nipo msalan cha kwamba nafanya nini jibu atakuwa nalo kwa huo muda |
hapo alimaanisha kwamba, yeye akionekana ni mjuzi sana, ni kwa sababu ametumia mambo ambayo wengi wenye ujuzi mkubwa zaidi yake wameyaweka kabla yake. |
unatumia vodafone router ya aina gani mkuu??? unaweza kutuwekea na picha yake pia ili iwe rahisi kukusaidia? |
"nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya jumanne wiki ijayo".... |
"nimedhalilishwa sana, nimefedheheshwa sana, nimeonewa sana katika hili! nimetafakari, kwa niaba ya chama changu, serikali na familia yangu, nimeamua kuachia ngazi"- e. n. lowasa (elfu mbili na nane) |
hahahaha!.. kweli unadhani kwa uamuzi huo alikuwa na umuhimu wa kufanya press conference?.. binafsi naamini ana mpango wa kujiondoa kwa wadhalimu ccm |
ajinyonge. hayo ndo maamuzi magumu. |
anataka kuachana rasmi na kazi ya udaktari wa binadamu kwa kuwa hailipi? |
karibu sana, bila shaka unaweza ukawa mkali wa wiki hii. |
george f. lapeyre house (elfu moja, mia nane na tisini na mbili) saa tatu,mia tisa na ishirini na nne saint charles avenue (rayne mafunzo ya center), kati ya mkuu wa taylor na mitaa constantinople katika mapema asubuhi. new orleans, louisiana, kumi na nane desemba elfu mbili na sita |
video: zitto kabwe bungeni kuhusu ishu ya dawa za kulevya na vyuo vikuu vipya – millardayo.com |
video: zitto kabwe bungeni kuhusu ishu ya dawa za kulevya na vyuo vikuu vipya |
tangu mkutano wa bunge la elfu mbili na kumi na saba uanze hatukumsikia mbunge wa kigoma mjini zitto kabwe lakini february sita elfu mbili na kumi na saba alisimama na kuchangia maoni yake pia kuhusu ishu ya dawa za kulevya inayoendelea dar es salaam sasa hivi, kwanini anataka vyuo vikuu vipya vitatu tanzania, bonyeza play hapa chini kumtazama |
video: maagizo matatu ya paul makonda leo feb sita elfu mbili na kumi na saba kuhusu ishu ya dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini |
#mjadala: lini timu ya taifa ya tanzania ‘taifastars’ itashiriki michuano ya kombe la dunia? _ clouds fm |
#mjadala: lini timu ya taifa ya tanzania ‘taifastars’ itashiriki michuano ya kombe la dunia? |
waislamu zaidi ya mia moja wamejumuka na wakatoliki katika sala iliyohudhuriwa na waumini wengi katika kanisa moja huko rouen, ufaransa. |
tukio hilo limewadia , siku tano baada ya kasisi wa kanisa hilo , kuuawa na wapiganaji wa kiislamu. |
mauaji ya hivi karibu kabisa yaliyotekelezwa na wapiganaji wa kiislamu, yameshtua ufaransa. |
kasisi huyo wa umri wa miaka themanini na sita, kasisi jacques hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi. |
muitikio wa uchangiaji damu ni mkubwa dar es salaam |
bw. joseph lubabwa, ni meneja anayesimamia ruzuku wa shindano la ubunifu la data for local impact. baada ya miaka sita ya usimamiaji miradi mbali mbali ya ruzuku za kati, anachangia katika kutoa ujuzi wake kuwasaidia wabunifu na wajasiriamali katika usimamizi wa ruzuku zao kutoka dliic. hutoa msaada hususani katika maeneo ya usimamizi wa fedha, uhasibu na uwekaji wa kumbukumbu ndani ya shughuli za kifedha za mradi na kuhakikisha kuwa shughuli zote zinafanywa kwa njia ya ufanisi na bora. |
Subsets and Splits