text
stringlengths
7
6.75k
kwamba teknolojia hiyo inatakiwa kupelekwa haraka iwezekanavyo.
bw. rogers meece pia amezungumzia uwezekano wa kuongeza nguvu za kijeshi au
brigedi pamoja na kuongeza mamlaka zaidi zaidi ya utekelezaji na wajibu
amani nje ya utaratribu wa jadi wa kulinda amani wa un.
akasema, ni imani yake kwamba uongezaji wa nguvu ya ziada ardhini ni muhimu sana
matumizi ya nguvu.
jeshi la kutuliza amani lililoko hivi sasa katika drc
teknolojia ya kisasa ya ndege
kumi na tano kutoa ushahidi kesi ya zitto kabwe
mwaka elfu moja, mia tisa na themanini akiwa amefikia nyumbani kwa wajomba zake maeneo ya mwananyamala, dar es salaam akitokea iringa, abdul ridhiwani akiwa na umri wa miaka kumi na sita, zikasikika habari za kuondoka kwa mpiga kinanda wa juwata jazz, waziri ally katika bendi hiyo.
safari yake ya jijini dar es salaam ilikuwa ni kwa ajili ya kuendelea na elimu ya juu katika shule ya sekondari ya kinondoni muslim baada ya kumaliza darasa la saba mkoani iringa, lakini ghafla akajikuta akiangukia katika muziki. ilikuwaje?
kwa hiyo sehemu hiyo ilikuwa ni yeye na mponda tu na akatakiwa kuonyesha ujuzi wake. hata hivyo, chini ya mponda, ridhiwani hakuweza kuonyesha maajabu yaliyokuwa yakisubiriwa, alifeli kufanya kile ambacho waziri alikuwa akikifanya katika bendi hiyo.
wakati ridhiwani akiendelea kujiuliza, kiongozi wa bendi hiyo, said mabera ‘dokta’ alikuwa akiingia ndani ya ukumbi huo akitokea mnazi mmoja kwenye makao makao makuu ya jumuiya ya wafanyakazi (juwata).
akiwa katika mlango wa kuingia ndani ya ukumbi akamuona kijana mdogo akipapasa kinanda kwa kufuata nyayo za waziri ally aliyeikacha bendi hiyo na kujiunga na the revolution (sasa the kilimanjaro, wana njenje).
tangu oktoba elfu moja, mia tisa na themanini, abdul ridhiwani pangamawe amekuwa mwanamuziki wa bendi hiyo na kuachana na masuala ya shule. na ndiye mwanamuziki wa pili kukaa muda mrefu katika bendi hiyo bila ya kutoka baada ya mabera.
meneja wa zamani benki ya wanawake kortini
tatu kitaifa simu za mkononi zatajwa kuwa msaada kwa wanawake kiuchumi
nne kitaifa kumi na tano kutoa ushahidi kesi ya zitto kabwe
mwanzo mtazamo wangu : sakata la uhaba wa sukari, hongera jpm lakini…
msanii wa filamu nchini wema sepetu ametoa yake ya moyoni na kutoa tuhuma kwa jeshi la polisi nchini kufuatia baadhi ya polisi kumpiga ndugu yake ambaye juzi alikwenda naye mahakamani kusubiri kesi ya tundu lissu.
wema sepetu anasema kuwa ndugu yake huyo kwa sasa anapatiwa matibabu hospitalini kufuatia kipigo alichopata kutoka kwa polisi hao kwa kile anachosema kuwa kijana huyo alipigwa kufuatia kupita katika mlango wa mahakama.
"ninachojua mimi ni kwamba binadamu ana haki ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya ndugu yake... imeniuma sana kilichomtokea kaka yangu jana, only now nakuja kujua kwamba alichukuliwa na polisi wakaenda kumpiga mpaka sasa yupo hospitali amelazwa. kosa lake ni kupita pale mlango wa mahakamani na akasema kabisa yupo pamoja na mimi na mama yangu" alisema wema sepetu
hata hivyo wema sepetu anasema wakati anasubiri kesi ya tundu lissu juzi mahakamani alikuja kuitwa na polisi na kuambiwa kuwa aondoke eneo hilo na arudi nyumbani kwake
"maana jana tulivyokuwa tumekaa tunasubiri kesi ya mh. tundu lissu itajwe, nilikuja kuitwa walitaka niondoke eneo hilo na nirudi nyumbani... nilikuwa mkali kidogo, wakanijia na huyo kaka yangu ambaye alisema kuwa yupo pamoja na mimi" alisema wema sepetu
mwishoni mwa mwezi wa pili mwaka huu msanii wema sepetu alifanya maamuzi magumu na kuamua kuhama chama kutoka chama cha mapinduzi (ccm) na kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) baada ya msanii huyo kutuhumiwa na serikali kuwa anajihusisha na uuzaji na matumizi ya madawa ya kulevya ambapo mpaka sasa bado kesi yake inaendelea katika mahakama kuu tanzania (kisutu)
shule za al muntazir, ksij kutoa elimu k wa watoto wenye umri wa zaidi ya mwaka mmoja hadi kumi na nane
waziri mwakyembe atembelea maeneo yaliyotumika katika harakati za ukombozi na ya kihistoria mkoani iringa
msukuma: miongoni mwetu yoyote anaweza kufuata kutekwa na kuuawa.
wamiliki wa mabasi mkoani mwanza, wamesema kwamba wameingiwa na hofu ya usalama wa maisha yao baada ya mwenzao samson josia kupotea katik...
mwalimu wa sekondari afariki baada ya kupewa barua ya kuhamishiwa shule ya msingi
jakaya kikwete atoa kauli juu ya polisi tanzania
rais mstaafu wa awamu ya nne dkt. jakaya mrisho kikwete amefunguka na kulipongeza jeshi la polisi tanzania kwa kuweza kufanikisha kukamatw...
katibu wa baraza la wazee wa chadema taifa, mhe. rodrick lutembeka amefunguka na kusema kuwa mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi tanzania (ts...
kamanda wa jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam tanzania, lazaro mambosasa amefunguka na kusema kuwa kama april ishirini na sita mwaka huu wat...
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dkt. john pombe magufuli akiwa pamoja na mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam katika eneo la bandari hiyo.
rais dkt. john pombe magufuli akimshukuru mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
baadhi ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya rais dkt. john pombe magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akimpongeza mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akipiga makofi wakati mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird alipokuwa akihutubia.
rais dkt. john pombe magufuli akizungumza jambo na mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird wakati wakitazama kipeperushi cha maelezo ya mradi wa uboreshaji wa bandari jijini dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akiwa na naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, edwin ngonyani, (kushoto) na mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird pamoja na viongozi wengine katika eneo la bandari jijini dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akicheza muziki pamoja na banana zorro (kushoto) na mrisho mpoto, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania dkt. john pombe magufuli akicheza muziki pamoja na banana zorro, mrisho mpoto, pamoja na mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia, bella bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akicheza muziki pamoja na banana zorro, mrisho mpoto, baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akipiga ngoma mara baada ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
rais dkt. john pombe magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine waliosimama wakati banana zorro pamoja na mrisho mpoto walipokuwa wakiimba wimbo wa amka tufanye kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa bandari ya dar es salaam.
taarifa kutoka kurugenzi ya mawasiliano ya rais ikulu ambayo imesainiwa na mkurugenzi wake, gerson msigwa inaeleza kuwa ngalamgosi amesimamishwa kazi kuanzia leo juni kumi na moja,elfu mbili na kumi na saba’
mwishoni mwa wiki inayomalizika leo mamlaka hiyo ilitoa tangazo katika vyombo vya habari ilitoa taarifa kwa umma kwamba mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (ewura) imepokea maombi ya kuongeza muda wa leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa kampuni ya uzalishaji umeme ya independent power tanzania limited (iptl) (“mwombaji”).
hivyo basi,ewura ina uarifu umma na wadau mbalimbali kwa ujumla kuwasilisha maoni au pingamizi ili kufanikisha uchambuzi mzuri wa maombi haya.
itakumbukwa kuwa januari mosi mwaka huu rais dk. john magufuli, alitengua uteuzi wa mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme tanzania (tanesco) mhandisi felchesmi mramba, katika hali inayoonesha kuwa rais amekerwa na jaribio la tanesco kupandisha bei ya umeme kuanzi.
baada ya mramba kutenguliwa nafasi yake alipewa dk. tito esau mwinuka kuwa kaimu mkurugenzi mtendaji wa tanesco akimtoa chuo kikuu cha dar es salaam alikokuwa akifundisha.
rais magufuli, alichukua hatua hiyo siku mbili baada ya mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (ewura) kuiidhinisha ongezeko la asilimia nane nukta tano ya ya bei ya huduma za umeme kwa kilichoelezwa kuwa lengo ni kukidhi gharama za uzalishaji wa umeme.
ongezeko hilo lilitangazwa juzi jijini dar es salaam na mkurugenzi mkuu wa ewura, aliyesimamishwa kazi, felix ngamlagos.
matokeo mapya ya mitihani kidato cha nne elfu mbili na kumi na mbili haya hapa
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, dk. shukuru kawambwa (mb) leo ametangaza rasmi matokeo ya mitihani ya kidato cha nne, maarifa-q...
mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la ahamad salum mkazi wa kata ya namiyonga wilaya ya newala mkoani mtwara ameuawa na mke wake sofia swal...
matokeo ya mtihani wa darasa la saba elfu mbili na kumi na mbili yatangazwa
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, dk. shukuru kawambwa leo ametangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba elfu mbili na kumi na mbili uliofanyika nchini ...
orodha ya vijana moja,mia nne na arobaini na sita waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi
jeshi la polisi tanzania limetoa ajira moja,mia nne na arobaini na sita kwa vijana wa kidato cha nne wa mwaka elfu mbili na kumi na moja,kidato cha sita mwaka elfu mbili na kumi na mbili na vijana waliok...
kundi la simba likielekea katika mawindo yake baada ya kuona kundio la nyati. tukio hili lilijiri hivi karibuni katika hifadhi ya serenge...
majina ya wanafunzi waliofaulu darasa la saba elfu mbili na kumi na mbili
taarifa ambazo zimeifikia blogu hii hivi punde zinasema kuwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi linawataka wazazi, walezi na wanafun...
kipindi cha bbc dira ya dunia
mtaa kwa mtaa
wizara ya mambo ya nje
bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki yapitishwa na bunge
aida nakawala ishirini na tano mkazi wa kijiji cha chiwanda wilaya ya momba mkoa wa mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(quadliplets) katika usiku wa kuamkia mwaka mpya anaendelea vizuri.
mwanamke huyo ambaye kwa hivi sasa anaendelea na matibabu katika hospitali ya wazazi ya meta akiwa na watoto wake wote wanne alijifungua majira ya saa kumi alfajiri usiku wa kuamkia januari mosi mwaka huu katika hospitali ya wilaya ya mbozi na watoto wakiwa na uzito wa kawaida tofauti na matarajio ya wengi.
katibu msaidizi wa hospitali ya rufaa mbeya mwansasu akipokea msaada huo kwa niaba ya mzazi
katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja, aida nakawala ishirini na tano mkazi wa kijiji cha chiwanda wilaya ya momba mkoa wa mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(quadliplets) katika usiku wa kuamkia mwaka mpya anaendelea vizuri.
kwa mujibu wa muguuzi wa hospitali ya wilaya ya mbozi aliyemfanyia huduma mwanamke huyo, grace konga alisema mzazi huyo ni miongoni mwa wazazi tisa waliojifungua katika mkesha wa mwaka mpya huku yeye akivunja rekodi kwa kujifungua watoto wanne kwa njia ya kawaida.
muuguzi huyo alisema watoto hao walizaliwa wakiwa na uzito uliotofautiana kwa mtoto wa kwanza hadi wa mwisho kuanzia kilogramu moja nukta sita,moja nukta tano,moja nukta tano na mbili nukta sifuri ambapo baada ya kuona hali hiyo ilibidi kumpa rufaa kwa ajili ya msaada zaidi katika hospitali ya wazazi ya meta ambapo wapo katika chumba cha joto hadi sasa.
aidha kwa mujibu wa muuguzi na msimamizi wa watoto katika chumba cha joto sista frolence maisa amesema hali za watoto ni nzuri ambapo mama mzazi anahitaji kupatiwa vyakula vinavyoweza kumuongezea maziwa mengi kutokana na idadi ya watoto aliyonayo.
kwa upande wake mzazi wa watoto hao aida nakawala alisema hali yake kiuchumi siyo nzuri kuweza kumudu kuwalea watoto hao na kuongeza kuwa mume wake ni mkulima aliyemtaja kwa jina la web simkanda hivyo anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa wasamaria wema.
alisema huo ni uzao wake wanne ambapo mtoto wake wa kwanza anaumri wa miaka saba, anayefuata ana miaka miwili na miezi tisa huku mwingine akiwa amefariki dunia mara baada ya kujifungua kabla ya uzao huu unaofanya kuwa na watoto sita.
alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa hali kama hiyo ya kujifungua watoto zaidi ya mmoja katika familia yao alisema mama yake mzazi amewahi kujifungua mapacha wawili tu na hakuna mtu mwingine aliyewahi kuzidisha idadi hiyo ya watoto kama yeye.
hata hivyo kutokana na kuguswa kwa mahitaji ya binti huyo na wanawe kikosi cha blog ya www.mbeyayetu.blogspot.com ambacho kilifika kumjulia hali kiliguswa na hali hiyo na kujitolea kamsaada kadogo hivyo kuwaomba wadau wengine kumsaidia mama huyo ili aweze kuwalea vizuri watoto wake.
kwa maelezo zaidi bofya picha hii
wasiliana nae moja kwa moja
jiunge nasi kwa barua pepe
mpyaa kabisa :tazama hapa matokeo ya kidato cha pili elfu mbili na kumi na tano/kumi na sita
baraza la mitiani necta limetangaza matokeo ya kidato cha mbili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi mia tatu na ishirini na nne,sitini na nane sawa ...
mpya kabisa : tazama hapa matokeo ya kidato cha nne na yale ya qt elfu mbili na kumi na nne hapa
mpya: tazama matokeo ya kidato cha pili mwaka elfu mbili na kumi na tano hapa
mpya: tazama matokeo ya kidato cha nne elfu mbili na kumi na tatu kwa mkoa wa mbeya
haya ndio matukio makubwa yaliyotokea elfu mbili na kumi na tatu mkoani mbeya na kuripotiwa na mbeya yetu blog.
tazama matokeo mapya ya kidato cha nne katika shule za mbeya
mpya kabisa: tazama matokeo ya darasa la saba mkoa wa mbeya hapa
kwa mujibu wa mtandao wa bongo5, umeeleza kwamba mabovu alifikwa na umauti baada ya kuugua mfululizo na kuongeza kuwa marehemu anatarajiwa kupumzishwa katika makazi yake ya milele siku ya alhamisi.
wadau na mashabiki wa muziki wa hip-hop wameendelea kutoa salamu za pole kwa familia ya marehemu.
mabovu atakumbukwa kwa ustadi wake wa kuimba, kushambulia jukwaa na kuachia ngoma kali ikiwemo ya ”mtoto wa kiume” ambayo ilitokea kuwabamba sana mashabiki kipindi hicho.
bwana ametoa, bwana ametwaa, mungu aiwekee roho ya marehemu pema peponi ameeen
geez mabovu alazwa baada ya kuugua ghafla muda mchache kabla ya kufanya show mkoani iringa.
tazama picha tatu za nguvu zikimuonyesha steven kanumba jr ambaye amezaliwa na dada wa marehemu steven kanumba.
picha za diamond na wema wakila ujana mkoani mtwara
← mama mzazi wa kim kardashian anasa kwa serengeti boy
ngoma mpya : stamina feat. ney wa mitego - huko kwenu vipi
saikolojia : pata kufahamu makundi manne ya tabia za binadamu.